Afrolink-Tz Consult Ltd
JF-Expert Member
- Feb 25, 2018
- 424
- 950
Mm niliwasiliana moja kwa moja China yutong, then wakanirudisha Tanzania kwa ajent wao BENBROS kule mikocheni. Hivyo gharama hizo ni kwa mujibu wa Benbros plsawa sawa . mkuu katika web za mabus nmeona zhongtong climber ni 98500usd CIF cost. sasa inakujaje 400mil kama ndo cost ya bus hadi liwe barabarani. inamaan ushuru tra wa climber ni zaidi ya 120mil?
100mWakuu hiv zile Eicher ama Tata zinazo piga ruti katika jiji la Dar es Salaam ni bei gani ikiwa mpya?
Uchawi unahusika?Ukipata dereva mzuri ambaye anaheshimu kazi na gari pia itakuwa nzuri sana,,,Pia biashara sio nzuri sana sababu unashindana na mtu ambaye anapiga hesabu za mafuta tu basi,,,mfano kutoka Moshi to Dar ,nauli nauli ata charge 18k kwahyo ni hasara kwako utakosa wateja
2 ukianza hii biashara fitina lazima upige Lazima yani kwahyo jipange
3 Faida kwa mwezi 10000000
4 ukiweza kukwepa kupata ajali kama kilimanjaro ya moshi to Dar utapata wateja wakudumu kama Juma nature alivyo na mashabiki wakudumu
Zangu dua ufanikiwe mwamba
Hahahaaukileta usomi sana kwenye tasnia hii unafilisika mara moja
Si kweli. DAR-Mbeya-Tunduma-Kapiri Mposhi, Nairobi-Mombasa kuna SGR tayari but mabasi bado yapoSGR ikikamilika mabasi ya njia ya moro dodoma yatapaki.
Kwanza Dar mbeya tunduma siyo SGR.Si kweli. DAR-Mbeya-Tunduma-Kapiri Mposhi, Nairobi-Mombasa kuna SGR tayari but mabasi bado yapo
Pengine elewa maana ya SGR kwanza kwa taarifa tu TAZARA (Dar-Kapiri Mposhi) ni SGR...Nrb-MSA ni full operational.....Pengine tuache siasa na tuongeze pesa kwa contractor atutengenzee SGR mfano wa GAUtrain au ile Metro ya Kutoka Dubai l, new delhi airports pia tukajifunze. Kubana matumizi tuuu bila kutumia si afya kwa maendeleo. Asante.Kwanza Dar mbeya tunduma siyo SGR.
PILI Nairobi mbombasa haijawa fully operational ndio maana kuna abiria wengi wengine hupanda basi.
Tatu Nairobi Mombasa hakuna ujinga wa mabasi kulala njiani eti saa 6 usiku imefika. Hakuna ujinga wa mabasi kutembea mwendo wa kobe na hata kusimama kwenye alama zoooteee za pundamilia hata kama hakuna wanaovuka.
Labda jiulize. Nani atapanda basi toka Dar-mwanza akae masaa 16 njiani wakati treni ipo na inatumia masaa 6 pekee?
Acha ujuaji na fujo zako.Pengine elewa maana ya SGR kwanza kwa taarifa tu TAZARA (Dar-Kapiri Mposhi) ni SGR...Nrb-MSA ni full operational.....Pengine tuache siasa na tuongeze pesa kwa contractor atutengenzee SGR mfano wa GAUtrain au ile Metro ya Kutoka Dubai l, new delhi airports pia tukajifunze. Kubana matumizi tuuu bila kutumia si afya kwa maendeleo. Asante.
***Google/ Youtube: Nairobi-Mombasa SGR pia Gautrain, south Africa ili tujifunze kwa pamoja.
mawazo yako binafs ni yapiMuulizen SUMRY ana majibu mazur ya kwanini kaamua kulima huko Sumbawanga. Kuna clip yake YouTube kaeleza kwa undani changamoto ya biashara hiyo!. Alifikisha mabasi 80 lkn aliamua kuyauza yote na kununua mitambo ya kilimo
serious broo, hii biashara haitaki ulete masters zako wala degree zako ziishie hukohuko, otherwise utasahaulika mapemaHahahaa
kuna abiria wa bus na abiria wa tren, trust meKwanza Dar mbeya tunduma siyo SGR.
PILI Nairobi mbombasa haijawa fully operational ndio maana kuna abiria wengi wengine hupanda basi.
Tatu Nairobi Mombasa hakuna ujinga wa mabasi kulala njiani eti saa 6 usiku imefika. Hakuna ujinga wa mabasi kutembea mwendo wa kobe na hata kusimama kwenye alama zoooteee za pundamilia hata kama hakuna wanaovuka.
Labda jiulize. Nani atapanda basi toka Dar-mwanza akae masaa 16 njiani wakati treni ipo na inatumia masaa 6 pekee?
Sina hata bodaboda unataka nichangie mawazo ya mabasi!. Nmekueleza angalia mawazo ya wenye uzoefu(sumry-failure) then changanya na waliofanikiwa utapata kitu cha kujifunza wewe unakomaa mawazo yangu. Tatizo la JF ni ujuaji mwingi hapa kila MTU atajifanya ana mabasimawazo yako binafs ni yapi
kweli kabisa hata dar es salaam kuna mwendokasi lakini wapo wanaopanda daladalaKila aina ya usafiri ina wateja wake....mfano dar-kigoma....kuna treni, ndege na mabasi mwamuzi ni mfuko wako
Kuna wakati nilikuwa namshangaa AZAM pamoja na utajiri woote yeye amelenga aina fulani za biashara/wateja..kweli kabisa hata dar es salaam kuna mwendokasi lakini wapo wanaopanda daladala
Sana tuu mkuuUchawi unahusika?
kwa upande wangu mimi kwanza kabisa naiona biashara ya mabasi kama biashara inayotaka mtaji mkubwa sana maana wateja wengi kwa sasa huangalia ubora wa vyombo husika na huduma zake.Ukipata dereva mzuri ambaye anaheshimu kazi na gari pia itakuwa nzuri sana,,,Pia biashara sio nzuri sana sababu unashindana na mtu ambaye anapiga hesabu za mafuta tu basi,,,mfano kutoka Moshi to Dar ,nauli nauli ata charge 18k kwahyo ni hasara kwako utakosa wateja
2 ukianza hii biashara fitina lazima upige Lazima yani kwahyo jipange
3 Faida kwa mwezi 10000000
4 ukiweza kukwepa kupata ajali kama kilimanjaro ya moshi to Dar utapata wateja wakudumu kama Juma nature alivyo na mashabiki wakudumu
Zangu dua ufanikiwe mwamba
MAELEZO YAKO MAZURI SANA, kwa swala la FITNA hata mm siaafiki kabisa, Hoja zako hizo zingine zime Base sana kwenye THEORIES za business schools kama zitakusaidia labda 10% kwenye operation and managementskwa upande wangu mimi kwanza kabisa naiona biashara ya mabasi kama biashara inayotaka mtaji mkubwa sana maana wateja wengi kwa sasa huangalia ubora wa vyombo husika na huduma zake.
kwangu mimi sioni fitna kama chachu ya mafanikio katika biashara hii kwa sababu kama utatoa huduma nzuri ni wazi kwamba sifa zako zitasambaa sokoni na hata wengine watajifunza kupitia kwako. hebu jiulize, kuna kampuni yoyote ya mabasi hapa tz inawapa hata refresher course wafanyakazi wake? ni ubunifu tu ndio utakufanya uonekane umekuja na kitu kipya sokoni
kingine mzee usisahahau kujitangaza, utafahamika mapema kabisa sokoni na itakusaidia kupta hata wateja watakaotaka kuona umeleta mapya gani sokoni
wish you best of lucky