Faida/Changamoto za biashara ya Mabasi

Faida/Changamoto za biashara ya Mabasi

sawa sawa . mkuu katika web za mabus nmeona zhongtong climber ni 98500usd CIF cost. sasa inakujaje 400mil kama ndo cost ya bus hadi liwe barabarani. inamaan ushuru tra wa climber ni zaidi ya 120mil?
Mm niliwasiliana moja kwa moja China yutong, then wakanirudisha Tanzania kwa ajent wao BENBROS kule mikocheni. Hivyo gharama hizo ni kwa mujibu wa Benbros pl
 
Ukipata dereva mzuri ambaye anaheshimu kazi na gari pia itakuwa nzuri sana,,,Pia biashara sio nzuri sana sababu unashindana na mtu ambaye anapiga hesabu za mafuta tu basi,,,mfano kutoka Moshi to Dar ,nauli nauli ata charge 18k kwahyo ni hasara kwako utakosa wateja
2 ukianza hii biashara fitina lazima upige Lazima yani kwahyo jipange
3 Faida kwa mwezi 10000000
4 ukiweza kukwepa kupata ajali kama kilimanjaro ya moshi to Dar utapata wateja wakudumu kama Juma nature alivyo na mashabiki wakudumu
Zangu dua ufanikiwe mwamba
Uchawi unahusika?
 
Muulizen SUMRY ana majibu mazur ya kwanini kaamua kulima huko Sumbawanga. Kuna clip yake YouTube kaeleza kwa undani changamoto ya biashara hiyo!. Alifikisha mabasi 80 lkn aliamua kuyauza yote na kununua mitambo ya kilimo
 
Si kweli. DAR-Mbeya-Tunduma-Kapiri Mposhi, Nairobi-Mombasa kuna SGR tayari but mabasi bado yapo
Kwanza Dar mbeya tunduma siyo SGR.

PILI Nairobi mbombasa haijawa fully operational ndio maana kuna abiria wengi wengine hupanda basi.

Tatu Nairobi Mombasa hakuna ujinga wa mabasi kulala njiani eti saa 6 usiku imefika. Hakuna ujinga wa mabasi kutembea mwendo wa kobe na hata kusimama kwenye alama zoooteee za pundamilia hata kama hakuna wanaovuka.

Labda jiulize. Nani atapanda basi toka Dar-mwanza akae masaa 16 njiani wakati treni ipo na inatumia masaa 6 pekee?
 
Pengine elewa maana ya SGR kwanza kwa taarifa tu TAZARA (Dar-Kapiri Mposhi) ni SGR...Nrb-MSA ni full operational.....Pengine tuache siasa na tuongeze pesa kwa contractor atutengenzee SGR mfano wa GAUtrain au ile Metro ya Kutoka Dubai l, new delhi airports pia tukajifunze. Kubana matumizi tuuu bila kutumia si afya kwa maendeleo. Asante.
***Google/ Youtube: Nairobi-Mombasa SGR pia Gautrain, south Africa ili tujifunze kwa pamoja.
 
Acha ujuaji na fujo zako.

Hivi uwezo wa reli ya Mombasa to Naii ni kusafirisha abiria wangapi kwa siku? Je kwa sasa inasafirisha wangapi?

Ukijibu hilo na hizo gooogle zako utaelewa maana ya fully operational.

Hizo za new delhi na south sio inter city trains bali ni za kwenda umbali mfupi. Ni light trains.

Reli ya DAR-KAPILIMPOSHI sito STANDARG GAUGE
 
Muulizen SUMRY ana majibu mazur ya kwanini kaamua kulima huko Sumbawanga. Kuna clip yake YouTube kaeleza kwa undani changamoto ya biashara hiyo!. Alifikisha mabasi 80 lkn aliamua kuyauza yote na kununua mitambo ya kilimo
mawazo yako binafs ni yapi
 
Kwanza Dar mbeya tunduma siyo SGR.

PILI Nairobi mbombasa haijawa fully operational ndio maana kuna abiria wengi wengine hupanda basi.

Tatu Nairobi Mombasa hakuna ujinga wa mabasi kulala njiani eti saa 6 usiku imefika. Hakuna ujinga wa mabasi kutembea mwendo wa kobe na hata kusimama kwenye alama zoooteee za pundamilia hata kama hakuna wanaovuka.

Labda jiulize. Nani atapanda basi toka Dar-mwanza akae masaa 16 njiani wakati treni ipo na inatumia masaa 6 pekee?
kuna abiria wa bus na abiria wa tren, trust me
 
mawazo yako binafs ni yapi
Sina hata bodaboda unataka nichangie mawazo ya mabasi!. Nmekueleza angalia mawazo ya wenye uzoefu(sumry-failure) then changanya na waliofanikiwa utapata kitu cha kujifunza wewe unakomaa mawazo yangu. Tatizo la JF ni ujuaji mwingi hapa kila MTU atajifanya ana mabasi
 
Kila aina ya usafiri ina wateja wake....mfano dar-kigoma....kuna treni, ndege na mabasi mwamuzi ni mfuko wako
 
Uzi mzuri sana huu.
Naomba wenye uzoefu na biashara za daladala kwa mikoa ya dsm, dodoma , na mwanza mtupe uzoefu wenu. Route gan nzur , gharama za uendeshaji, changamoto ktk biashara hii, mtaji kiasi gan kuanzia, mwisho makadirio ya faida kwa siku au week.
 
Ukipata dereva mzuri ambaye anaheshimu kazi na gari pia itakuwa nzuri sana,,,Pia biashara sio nzuri sana sababu unashindana na mtu ambaye anapiga hesabu za mafuta tu basi,,,mfano kutoka Moshi to Dar ,nauli nauli ata charge 18k kwahyo ni hasara kwako utakosa wateja
2 ukianza hii biashara fitina lazima upige Lazima yani kwahyo jipange
3 Faida kwa mwezi 10000000
4 ukiweza kukwepa kupata ajali kama kilimanjaro ya moshi to Dar utapata wateja wakudumu kama Juma nature alivyo na mashabiki wakudumu
Zangu dua ufanikiwe mwamba
kwa upande wangu mimi kwanza kabisa naiona biashara ya mabasi kama biashara inayotaka mtaji mkubwa sana maana wateja wengi kwa sasa huangalia ubora wa vyombo husika na huduma zake.

kwangu mimi sioni fitna kama chachu ya mafanikio katika biashara hii kwa sababu kama utatoa huduma nzuri ni wazi kwamba sifa zako zitasambaa sokoni na hata wengine watajifunza kupitia kwako. hebu jiulize, kuna kampuni yoyote ya mabasi hapa tz inawapa hata refresher course wafanyakazi wake? ni ubunifu tu ndio utakufanya uonekane umekuja na kitu kipya sokoni

kingine mzee usisahahau kujitangaza, utafahamika mapema kabisa sokoni na itakusaidia kupta hata wateja watakaotaka kuona umeleta mapya gani sokoni

wish you best of lucky
 
MAELEZO YAKO MAZURI SANA, kwa swala la FITNA hata mm siaafiki kabisa, Hoja zako hizo zingine zime Base sana kwenye THEORIES za business schools kama zitakusaidia labda 10% kwenye operation and managements
 
Back
Top Bottom