Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
- Thread starter
-
- #181
Si wamewategea walevi. Wakilewa wanapigwa kiroho safi hawana pa kushitakiYaani bonge la umasikini hili dubwasha siyo zuri kabisa,,, yamejaa mpaka vilabuni wameyaweka
Kwanza lazima ujue unahitaji sh.ngapiIli utoboe mtaji unaanzia kiasi gani?
Mkuu nikuulize kitu.
Kwa maelezo yako nilivyoyasoma je inawezekana mtu kutoboa maisha kwa kufanya gambling tu bila kufanya kazi/biashara nyingine?
Sasa hela ya kubetia utapata wapi?.
nimekupataKwanza lazima ujue unahitaji sh.ngapi
Huwezi kusema nahitaji milioni 5 huku umeweka mtaji wa buku 10.
Mbona huweki hayo may janja hapa. Kunasiku nilijaribu kucheza ya huko ugaibuni wakanila pesa. Nikaacha. Chakushangaza baada ya mda waka charge kadi yangu. Nilikuwa nimekaa nashangaa benji wananipigia simu kama nime authorise huo muamala.Kwanza lazima ujue unahitaji sh.ngapi
Huwezi kusema nahitaji milioni 5 huku umeweka mtaji wa buku 10.
unatafuta kianzio kama kweli hiyo betting ni kitu cha uhakika
Mbona huweki hayo may janja hapa. Kunasiku nilijaribu kucheza ya huko ugaibuni wakanila pesa. Nikaacha. Chakushangaza baada ya mda waka charge kadi yangu. Nilikuwa nimekaa nashangaa benji wananipigia simu kama nime authorise huo muamala.
Toka siku hiyo nikaacha japo nina hamu kubwa
Sio kweli.
Kampuni za betting zenyewe zinasubiri hela zako .
Kumbuka pale unacheza na computer.
COMPUTER INA AKILI NYINGI KUKUSHINDA WEWE.
usidhani kila siku unaweza ukaishinda computer .
Na kuna kiwango Chao Cha computer kuliwa wakiona unaipiga Sana wanakugeuzia kibao.
Kuna sehemu umeona nimeandika kuwa nataka kucheza kama chanzo changu cha kipato ili nipate kula?Chezeni casino kujifurahisha.
Ila isiwe chanzo chako Cha mapato.
hakuna kampuni ya betting inayopenda wewe ule.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Ina maana kumbe ule mchezo wa betting haiko free yaani kwamba hao wachezeshaji wanaamua kuadjust muda wowote wanaotaka?Kama ni hivyo kumbe haina maana.
Ukioma we Mwanaume huna ulevi mmoja wapo kati ya hii hapo. Mshukuru MunguUnga, betting, pombe, sigara, nyapu, punyeto na ushabiki wa mpira Ni ngumu Sana kuacha!
Kati ya watu 100 anatokaga huko mmoja tu.
Bora bangi hata
Mi hapo Ni viwili vya uwakika huu mwaka wa tano nimeshindwa kuacha kabisa sijui nitaacha mwaka huuUkioma we Mwanaume huna ulevi mmoja wapo kati ya hii hapo. Mshukuru Mungu
Faida zipo 4, hasara zipo 5...Faida nilizozipata ni hizi:
1. Muda wa kufanya uzinzi umepungua. Niko busy na gamble.
2. Kwenye utafutaji pesa sina masihara
3. Point nambari 2 imenipelekea kujenga kwa haraka na kununua vyombo vya moto(usafiri).
4. Nimekuwa nikiwasaidia ndugu, marafiki na wazazi kwenye mambo ya pesa kwani kila nikipata pesa nyingi kidogo naona kama nimepata bure.
Hasara nilizozipata:
1. Uraibu. Nimefikia hatua mpaka nisipocheza casino sina raha. Mpaka kazini niko ofisini nacheza casino.
2. Sometimes napoteza pesa nyingi nilizozipata kwenye mishe zingine au nilizozipata kwenye mshahara au posho.
3. Kujamiiana kwangu ni adimu. Kujamiiana ni ile ya kushare mambo mbalimbali na jamii na si kufanya sex.
4. Akili yangu na mtazamo wangu vinaniambia maisha ni bahati, kitu ambacho si kweli.
5. Wito wangu wa mambo ya kiroho unadidimia.
bado hujafika home?Kuna magame zaidi ya 1000 ila mengi yanamaliza mfuko wa mteja. Subiri nifike home nitawapa maujanja. Niko mbali kidogo
Nitaacha betting siku nikifa
Kuna muda mwingine kwenye vikao vya kiume wamama msiwe mnaingia.
[emoji3][emoji3]Dini bhana..zinafanya watu tunakuwa mazezeta.