Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

Ustadh wewe ni mende?
Unapendaje wanaume wenzio au siku hizi sio dhambi?

Bibie sikufichi wanaume tuna sifa zetu, wewe huwezi kuwa Mwanaume.

Mimi nakupenda wewe na hili nilishakwambia ila unaogopa ogopa. Sababu wewe ni mwanamke tena binti mrembo.

Uzuri Maustadh tunajua kupenda na huwa ving'ang'anizi sana, na tunapenda sana.
 
Nacheza magame yale ya Playson na Amatic mara nyingi

Meridian nacheza casino kama tatu hivi ila real na zinazotema ila ninayoipenda na inayotema Sana ni Golden 7
Mkuu nacheza John hunter and Mayan gods aisee Jana imenibabimiza kisawa sawa Kama laki 5 hivi..
Nipo hapa napanga majeshi nirudi tena vitani no retreat...
 
Mimi ni mlevi wa online CASINO hasa kutoka play Master na Meridian bet.
Nimeanza kuzicheza 2018 hivi.
Nilizikuta tu mtandaoni bila kuelekezwa na mtu, nikajiunga na kuanza kucheza kwa dau dogo dogo la mia mia ila sasa hivi nacheza dau kubwakubwa.
Faida nilizozipata ni hizi;
1. Muda wa kufanya uzinzi umepungua. Niko busy na gamble.
2. Kwenye utafutaji pesa sina masihara
3. Point nambari 2 imenipelekea kujenga kwa haraka na kununua vyombo vya moto(usafiri).
4. Nimekuwa nikiwasaidia ndugu, marafiki na wazazi kwenye mambo ya pesa kwani kila nikipata pesa nyingi kidogo naona kama nimepata bure.
Hasara nilizozipata;
1.Uraibu. nimefikia hatua mpaka nisipocheza casino sina raha. Mpaka kazini niko ofisini nacheza casino.
2. Sometimes napoteza pesa nyingi nilizozipata kwenye mishe zingine au nilizozipata kwenye mshahara au posho.
3.Kujamiiana kwangu ni adimu. Kujamiiana ni ile ya kushare mambo mbalimbali na jamii na si kufanya sex.
4. Akili yangu na mtazamo wangu vinaniambia maisha ni bahati kitu ambacho si kweli.
5. Wito wangu wa mambo ya kiroho unadidimia.
Nilipanga niache 30 Nov 2020, nimeshindwa. Nilipanga niache 31. December yaani leo nimeshindwa pia. Ila wife ananiambia nisiache kwakuwa anaona pesa ndani hazikauki. Mimi sitaki hii hali maana ni ulevi kamili.
Siku nikipata pesa nyingi huko casino nitaacha rasmi.
Niombeeni nizipate ili niache
Mkuu Mimi naomba nisaidie jinsi y akujiun a na kucheza kitu
 
Wanazipenda kwakuwa wanazicheza na hawana mbadala ila kwa hakika machines za casino za Wachina ni utapeli mkubwa uliopata baraka za serikali.
 
Hebu nifundishe na mimi mkuu. Sometimes nakuwa na kiasi fulani humu kwa simu,niwe najaa huko. Ila sihitaji ile beting ya mikeka ya timu. Huko kumenishinda
Nenda chrome andika play Master jiunge, simple tu. Ukijiunga niambie nikupe ujanja ili usiishie kutoa sadaka tu
 
Mkuu Mimi naomba nisaidie jinsi y akujiun a na kucheza kitu
Nenda Google au chrome direct andika play Master au meridian Tanzania. Jiunge. Simple tu kujiunga, ukishajiunga niambie nikupe ujanja ili usiishie kutoa sadaka tu
 
😂 oyaaaaa! mnazingua bhnaaa na mambo yenu ya jinsia.... watu tumeingia humu kupata some fckn tips about CASINO GAMES na sisi tuingie mzigoni then mnaleta udananda wa kujuana jinsia.... kama vipi kila mtu atume location mtimbiane then muonyeshane mijulubeng na nyapu ndo kila mmoja wenu aelewe mwenzake ni jinsia gani.... 😬...

mleta siredi njoo tuendelee mwaya... 😂 😂 😂
Kwa atakayejiunga playmaster au meridian Tanzania nitamsaidia kumpa hints
 
Mimi ni mlevi wa online CASINO hasa kutoka play Master na Meridian bet.
Nimeanza kuzicheza 2018 hivi.
Nilizikuta tu mtandaoni bila kuelekezwa na mtu, nikajiunga na kuanza kucheza kwa dau dogo dogo la mia mia ila sasa hivi nacheza dau kubwakubwa.
Faida nilizozipata ni hizi;
1. Muda wa kufanya uzinzi umepungua. Niko busy na gamble.
2. Kwenye utafutaji pesa sina masihara
3. Point nambari 2 imenipelekea kujenga kwa haraka na kununua vyombo vya moto(usafiri).
4. Nimekuwa nikiwasaidia ndugu, marafiki na wazazi kwenye mambo ya pesa kwani kila nikipata pesa nyingi kidogo naona kama nimepata bure.
Hasara nilizozipata;
1.Uraibu. nimefikia hatua mpaka nisipocheza casino sina raha. Mpaka kazini niko ofisini nacheza casino.
2. Sometimes napoteza pesa nyingi nilizozipata kwenye mishe zingine au nilizozipata kwenye mshahara au posho.
3.Kujamiiana kwangu ni adimu. Kujamiiana ni ile ya kushare mambo mbalimbali na jamii na si kufanya sex.
4. Akili yangu na mtazamo wangu vinaniambia maisha ni bahati kitu ambacho si kweli.
5. Wito wangu wa mambo ya kiroho unadidimia.
Nilipanga niache 30 Nov 2020, nimeshindwa. Nilipanga niache 31. December yaani leo nimeshindwa pia. Ila wife ananiambia nisiache kwakuwa anaona pesa ndani hazikauki. Mimi sitaki hii hali maana ni ulevi kamili.
Siku nikipata pesa nyingi huko casino nitaacha rasmi.
Niombeeni nizipate ili niache
Sentensi yako ya mwisho ndio inawacost watu wengi sana!
 
Unajua maana ya 'Uraibu'?
Najua tena sana ni adctn, ndio maana nakwambia ni akili yako tu. Mimi nilikuwa nacheza dubu (korokoro) hilo hadi nalala huko, familia inayumba na hata kazini sisikii ushauri na ni kwamba bila kucheza kamari nahisi kuumwa kabisa. Ila siku moja nilipata likizo hivyo nikaenda kuwatembelea jamaa zangu huko Tanga. Mara baada ya kufika huko nikaulizia sehemu nzuri ya kiutalii ili nirefresh mind kidogo. Hapo nikapelekwa sehemu moja inaitwa magoroto forest nikakaa pale siku moja naangalia uzuri wa Tz yetu mixer story na wazungu kadhaa ndipo nikajisemea mwenyewe this is how a human being anapaswa kuishi na sio anashinda na wapumbavu muda wote. Ile sprt ya kujiondoa na upumbavu ndio ikanifanya niache kabisa vitu hivyo maana unamaliza pesa na muda tu.
 
Back
Top Bottom