Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

Faida na hasara nilizozipata kutokana na CASINO za mtandaoni

Nimgefungua pm watu wangejua kuwa ninalengo la kuleta utapeli, kumtangaza business n.k , yaani hata muda wa mujibu post za watu sina, naupata kwa taabu
Hapana ndugu, fungua tu tujr utupe maujanja, ukiweka hapa hao wenye website za betting watazidaka na kubadilisha settings zao, game litazidi kuwa gumu, bora Pm.
 
Nimekupa swali rahisi sana, lakini hujalijibu na nina jua huwezi kujibi mpaka unakufa.

Tuthibitishie ya kuwa wewe ni Mwanaume.

Au twende kwa mtindo huu. Mimo katika vitu ambavyo huwa navitamani sana, nahisi kama nimewahi kukwambia natamani sana uwe mke wangu wa nne, hakika nitafurahi sana.

Yaani mimi Ustadh Zurri/Jurjani nakupenda wewe bibie, leo hii watu wajue.
Kumbe wewe Ni zurri yule mbishi jukwaa la dini[emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu hata hizi online virtula za sport zina pesa sana
 
Bibie sikufichi wanaume tuna sifa zetu, wewe huwezi kuwa Mwanaume.

Mimi nakupenda wewe na hili nilishakwambia ila unaogopa ogopa. Sababu wewe ni mwanamke tena binti mrembo.

Uzuri Maustadh tunajua kupenda na huwa ving'ang'anizi sana, na tunapenda sana.
Na mnajua kuroga sana na mnajua kufunga wakeze kwa majinn
 
Mkuu nacheza John hunter and Mayan gods aisee Jana imenibabimiza kisawa sawa Kama laki 5 hivi..
Nipo hapa napanga majeshi nirudi tena vitani no retreat...
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]laki 5
 
Back
Top Bottom