Faida na hasara ya kumiliki gari ya kutembelea

Braza Kede

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2012
Posts
3,840
Reaction score
6,844
Kwanza tuanze na faida.

Sio siri kumiliki gari kunaimarisha hadhi yako hapo kitaani kwako. Unaonekana wa tofauti mwenye hadhi ya juu. Si ajabu watu wakamwacha mjumbe au balozi wa mtaa wakaja kwako wakidai eti uwasaidie pesa au kusuluhisha migogoro yao.

Unaonekana una fedha na uwezo hata kama ni apeche alolo.

Unaonekana mwenye furaha na amani hata kama kiukweli kwa ndani una huzuni ya moyo na masikitiko.

Unaonekana mwenye kujiamini hata kama ukweli haiko ivo.

Hasara kubwa ya kuwa na gari ya kutembelea ni hii hapa.

Gari ya kutembelea haiingizi pesa yoyote badala yake inakutaka utumie pesa yako kwa ajili ya kununua mafuta, spea na kugharamia matengenezo mbalimbali.

Kifupi kama una pesa ya mawazo au pesa yako ni ya ngama ni heri uachane kabisa kufikiria kumiliki gari au vinginevo nunua gari ya biashara ikuizingie pesa.
 
Fact.
 
Uko sawa mkuu, gari ya usafiri binafsi unatakiwa angalau kila siku uwe na uwezo wa kupata faida ya TSH 100k kutoka kwenye miradi yako vinginevyo ukitegemea kukopa, mshahara kununua na kiendeshea gari utahangaika sana, muda mwingi gari utalipaki kwa kukosa spares, matengenezo oils na mafuta
 
Unamaanisha gari linahitaji 2,800,000 kulelewa kila mwezi?
 
Nasoma huu uzi baada ya kutembea kutoka Victoria hadi Morocco na hapa nipo kituoni Morocco nasubiri gari.

Lile jua limenipiga ndoige hakuna pa kujificha. Kisha nione gari halifai?
Hakuna anayesema gari halifai bali faida na hasari ya kulimiliki
 
iwe ya kutembelea au ya biashara hamna utofauti. maana gharama ya matengenezo inategemea unagari gan na linafanya kitu gani mda mref na matunzo yake yakoje.

swala ni umiliki wa gari usibadiri namba angalau mbili za mwanzoni kuanzia kulia kwenye bank a/c balance bali paonekane ongezeko zaidi ya kabla hujamiliki gari.

as fundi and nobody😎
 
ok,

hadi mtu anatoa zaidi 100million kununua gari la kutembelea au biashara inamaana uwezekano wa kuipata hio hela ndani ya miezi michache baadae upo kwa 100 %, na matumizi ya gari hilo co ya hovyo ni saw na malengo yake, na hata akiligaragaza kesho yake mtaloni hashituki, sasa mtu atoke alipo toka akanunue hilo gari na a/c yake ni 120M, na michongo haieleweki.

mikopo inamuita ili asiue brand ya kununua gari la gharama kushtua kijiji :furryRun: 😷
 
Tafsiri ya gari ni pana, mimi hata paso ya milioni 4 ni hatua kubwa,
 
Huu Uzi wako ni Kwa ajili ya wasio na stable income, ukiona gari inakuumiza na faida kubwa inakupa status Bora kuvua hiyo pride utembee Kwa miguu ukiwa na furaha.
Basic human needs in Africa are;
Food
Shelter
Clothes and
Car
 
Back
Top Bottom