Faida na hasara za kujenga nyumba yenye flat roof

Bati za guage 26 ndio the best! Hizi wanajengeaga majengo ya serikali zaidi. Ila kwa makapuku wengi ndio hutumia 28 na kuendelea bati kama za vibanda vya mbwa ukikangaga mgongo inapinda!
Standard gauge ni 28
 
Huo mjengo ni wa hovyo kama yalivyokuwa maslope ya zamani ya waarabu na wahindi. Super roof ndio habari ya mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwonekano huo wa hovyo. Labda kwako wewe
Sent using Jamii Forums mobile app
 
We tembea na plan yako mzee ulisha panga na ukajua kila kitu initially ulitakiwa ufikirie unataka roof ya aina gani way back japo huja chelewa chamsingi ww fanya kinacho kupendeza
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumba gani hivyo. Hovyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo fasheni itaondoka kwa kasi ya 4G

Sent using Jamii Forums mobile app
Huo mjengo ni wa hovyo kama yalivyokuwa maslope ya zamani ya waarabu na wahindi. Super roof ndio habari ya mjini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo fasheni itaisha sasa hivi kama ilivyoisha msumbiji. Mimi ningekuwa yeye ningejenga tu super roof.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unatumia nguvu kubwa kuponda,unasahau kuwa kila mtu na mapenzi yake. Wewe unaona ya hovyo wengine wanaona ndio bora.
 
Unatumia nguvu kubwa kuponda,unasahau kuwa kila mtu na mapenzi yake. Wewe unaona ya hovyo wengine wanaona ndio bora.
Mzee baba baada ya kimya cha muda mrefu humu jamvini naona finally umejitokeza ukiwa tayari kabisa kwa ajili yaku-party hapo kesho kwny Corona day,hahah.

Nakuzingua aisee.
 
Napenda sana flatroof


Sent from my iPhone using JamiiForums

Maana yake unapenda sana hasara? waulize yaliyotupata...just think kuezua nyumba yote na kupiga bati mpya ina gharimu kiasi gani tena ukiwa umeingizwa mkenge ukajengea haya mabati ya chuma chakavu toka Mlandizi ndio kabisaa baada ya miaka mitatu ukiwa ndani ya nyumba unaweza chungulia ndege ya Emirates inapita juu ya paa lako bila taabu
 
Itakuwa hukupata mtaalam wa kuezeka. For the past eight years nimekuwa nikiishi kwenye contempo house Kama inayojadiliwa hapa sijakumbana na kuvuja wala dalili Kama iyo. Fundi wako alikuwa NI maiko?
 
Watanzania walio wengi huwa wanaogopa mabadiliko, sio kwa nyumba tu hata magari, siasa technology na kila kitu, mtu anaweza kushupaza shingo mara ooh hii design ni mbaya mara ooh itapotea, nani kakwambia kuna style ya myumba iliyowahi kudumu, zinakuja zinapita .Me binafsi ni mpenzi wa majengo hayo na kwa sasa naijenga nikiipaua ntashea na nyinyi. Kwa ambao mmtembelea mji wa Dubai nadhani mnaelewa hzi nyumba zilivyopendezesha mji huo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…