Alvajumaa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 5,039
- 6,253
Katika design nyingi hua kunakua na life span kaka.Inaanzaje kusumbua baada ya huo muda? Fafanua please.
Mfano barabara kuna rigid pavement (ile ya zege rejea barabara ya mwendokasi) na flexible pavement zote zinakua na muda ambao itaanza kuchoka.
Hata ktk hiyo design, ongea na engineer wako akuambie ila kama nyumba ni G+1, kama ni mfuto basi usijali sana