Hakuna shida kwa sababu roof inakuwa na slope ya kumwaga majiMzee hapo mvua ikinyesha inakuaje??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna shida kwa sababu roof inakuwa na slope ya kumwaga majiMzee hapo mvua ikinyesha inakuaje??
Hapa umejibu kisiasa sana, inaelekea huna utalaamu hata kidogo kuhusu flat roofKunakua na gutter inayokusanya maji kwa pembeni, kuhusu mvua usiwaze kabisa
Tusaidie basi jibu la kitaalam.Hapa umejibu kisiasa sana, inaelekea huna utalaamu hata kidogo kuhusu flat roof
Siku hizi?Flat roof siku hizi hutii slab. Unatumia bati za kawaida tu
Nadhani anabishana na vitu asivyovielewaSoma vizuri andiko langu
ni mtazamo wakoHuyo boss wako itakuwa kaona weevu! 🙄🙄🙄 Na siku za hivi karibuni jiandae kisaikolojia kupokea warning letter zinazofululiza bila sababu maalum!
Mambo ya maendeleo sio ishu za ku expose sana ofisini.
Kuna jamaa yangu alikuwa procurement kwenye kampuni yetu. Akanunua gari kali sana ila ya bei nafuu.
Nilimkataza sana asije nayo ofisini yeye hukunisikia. Alipoanza kuja nayo kazini, hakumaliza mwezi wakamuundia zengwe wakamfukuza kazi.
Binafsi huwa nashauri Pitched roof, flat roof ina madhara makubwa kwa nyumba kuliko pitched, posibility ni kubwa ya kuwa na penetration ya rain water kwenye kuta hivyo inasababisha fungus katika kuta, matumizi ya waterproofing membrane yanaweza kuongeza gharama pia, mfano huwezi kuchoma bitumen membrane juu ya bati ya gauge 30 au 32 na hata gauge 28 haishauriwi sana.Tusaidie basi jibu la kitaalam.
Maintenance kwa maana ya kuvuja kunakoweza kujitokeza mara kwa mara kunakotokana na either kuachia mwanya kidogo kwa bati toka kwenye ukuta au kuziba kwa gutter kutokana na majani yaliyoletwa na upepo au wanyama kama ndege, au mawe yaliyorushwa na watoto watukutuHapo kwenye maintenance naomba ufafanue zaidi kwasababu zinatumika mbao na mabati kama nyumba nyingine sema hii roof inakuwa imefichwa na matofali.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Inageuka swimming pool
Flat roof ni paa la zege sio bati wala vigae.Flat roof, kama utakuwa unaamanisha paa ambalo halijainuka sana.
Faida.
-utatumia material chache hasa mbao ila
Hasara
- tegemea corrosion ya bati baada ya mda
- kama ukiwa mikoa yenye joto tegemea ndani kutakuwa na joto sana
Kaka tafadhali mjibu muuliza swali naona umeishia kumtolea mifano ya life spans tu. Tafadhali nakuomba elezea kinachopelekea tuwe na design yenye life span ya mida tofauti. G+ 1 roof na nyumba ya kawaida zina tofauti Gani????Katika design nyingi hua kunakua na life span kaka,
Mfano barabara kuna rigid pavement (ile ya zege rejea barabara ya mwendokasi) na flexible pavement zote zinakua na muda ambao itaanza kuchoka...
Hata ktk hiyo design, ongea na engineer wako akuambie ila kama nyumba ni G+1, kama ni mfuto basi usijali sana
ondoa shaka boss wangu ni kama mshkaji wangu na ameshajenga nyumba nyingi ndio maana nikaona niombe ushauri kwa mzoefu wa hizi mamboHuyo boss wako itakuwa kaona weevu! 🙄🙄🙄 Na siku za hivi karibuni jiandae kisaikolojia kupokea warning letter zinazofululiza bila sababu maalum!
Mambo ya maendeleo sio ishu za ku expose sana ofisini.
Kuna jamaa yangu alikuwa procurement kwenye kampuni yetu. Akanunua gari kali sana ila ya bei nafuu.
Nilimkataza sana asije nayo ofisini yeye hukunisikia. Alipoanza kuja nayo kazini, hakumaliza mwezi wakamuundia zengwe wakamfukuza kazi.
fafanua tafadhali, baada ya miaka 15 natakiwa kuweka paa jipya au?Kwa vile umeomba ushauri basi wacha tushauri....
Flat roof ni cheaper sana kuliko pitched roof, lakini kama kutakua na leakage ili ufanye maintenance basi pitched roof ni cheaper kuliko flat roof,
Pia kwa life span , flat roof ni kuanzia 10 -15 years, ukipita huo mda basi inaanza kusumbua,
Kama nipo kwenye nafasi yako ningechagua pitched roof
Hilo sikujua kwamba kuna flatroof za bath,na nilikuwa naumiza kichwa kwa mahesabu ya nondo na zege wakati kumbe kuna alternative.Flat roof siku hizi hutii slab. Unatumia bati za kawaida tu
Kuna flatroof za tangu miaka ya 80,na zipo zinadunda tu,na wala sijaona zinasumbuaSiku hizi?
Hizo shida zote mnazosema kabla ya kuweka hii roof zimezingatiwa. Nikuulize hizi pitched roof hakuna ambazo huwa zinavuja? Sababu ni nini? Obvious ni makosa ya fundi. Kwahio hata hizi fundi anakuwa makini na anajua changamoto yake.Maintenance kwa maana ya kuvuja kunakoweza kujitokeza mara kwa mara kunakotokana na either kuachia mwanya kidogo kwa bati toka kwenye ukuta au kuziba kwa gutter kutokana na majani yaliyoletwa na upepo au wanyama kama ndege, au mawe yaliyorushwa na watoto watukutu
Watu mna majibu jamani [emoji23][emoji23]Inageuka swimming pool