Faida na hasara za kujenga nyumba yenye flat roof

Halafu matofali mzunguko mzima na gata za zege huoni kama mtu anakuwa hakuna anachokimbia. Gharama zinarudi pale pale tu.


Kama ishu ni design sawa lakini kwa swala la gharama sikubaliani nalo.
Tofali moja bei gani? Mfano ninayoweka mimi tofali zimeongezeka kozi mbili (matofali 350) hizo ni 350,000/- na mkanda juu. Sasa badala ya bati kama 100 hivi nitatumia bati zisizozidi 50(Naokoa bati 50 bei gani hio?)! Kwenye mbao ndio kabisaaaaaa! Bado unaona tofali zilizoongezeka zinaathiri?
 
Hii kwako haipendezei? Ama kweli uzuri upo machoni kwa mtu!
 
Mkuu, asante saana.
 
Wenzako wanasema inaokoa gharama wewe umekazana kupinga bila hoja za maana, wabongo ni shida aisee. Kama ni ujenzi unaopunguza material kama mbao huoni unasaidia pia kwenye uhifadhi wa mazingira
Mimi nimejifunza mengi saana na nimeona ni kweli kabisa gharama zapungua, sijui wanaopinga wanapinga kitu gani.
 
Ila Mkuu si waweza kuweka tofali tupu juu bila bati?
 
Flat roof, kama utakuwa unaamanisha paa ambalo halijainuka sana.

Faida.
-utatumia material chache hasa mbao ila

Hasara
- tegemea corrosion ya bati baada ya mda
- kama ukiwa mikoa yenye joto tegemea ndani kutakuwa na joto sana
Joto linategemea Na headroom ya nyumba yenyewe Na openings Na wala sio roof type

Pitched roof Na flat Roof tofauti wake ni Kwenye material tu pitched roof inakula material ya Mengi (mbao misumali, bati capping etc), gharama kubwa ya uezekaji etc

Flat roof hvyo vyote hapo inaweza kua nusu tu hapo

Matumizi
Pitched roof inatumika zaidi Kwa maeneo ambayo barafu zinaanguka mfn Russia Japan, Korea etc

Lkn pia inaweza kutumika Kwa sehem zenye mvua nyingi ili ku-drain faster maji ya mvua

Ila pia inaweza kutumika Kwa matumizi ya kawaida tu hasa kwetu hapa.

Flat roof ni delicate Sana haiitaji hzo bughuza kabisa ila by appearance ina muonekano mzuri Sana na inaleta nakshi
Mfan
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…