Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Uko sahihi 💯 kwanza tujitambue nafasi yetu sisi wanaume kuhudumia hamna kingine mm dini yangu ya kiislamu nimeona majukumu mengi sana kama mume nikioa kwa mke kumuhudumia ngua, malazi mpaka mavazi

Ukikubalu tu mke awe na kipato umeumia akiwa na kipato labda angalau kitokane na wewe mfano umemfungulia biashara
 
Kaka yote yanawezekana ila kumuhudumia mwanamke ndo heshima yetu sisi maana mapenzi ya ndoa huisha ndani ya mwaka au mwaka na nusu kuliko baki ni heshima tu si ushawai sikia mty baada ya kufilisiwa kakimbiwa na mke ndo hayo mambo kuhudumia muhimu hata mke awe vip
 
Hili la kugongewa wala usiseme kabisa,kuna kipindi Fulani nilikuwa morogoro na wafanyakazi WA serikali walienda ktk Yale mashindano Yao ya michezo,wkt nipo restaurant napata chakula,pembeni walikuwa wadada wawili wanamsema mwenzao ambae ndoa yake mpya,inaonekana Yule dada hakuwa tayar kufanya uzinzi na hasa ukichukulia kaolewa hivi karibuni Tu,wakasema muache anajifanya anaendekeza ndoa,kwasababu ni mpya Tu lkn baadae mwenyewe atajichanganya,so hapo unaona kuwa wanapokuwa mbali na familia zao wanagongeka Tu kama kawa
 
Hilo la kumpiga Kaka unafeli Sana,ebu Acha hiyo tabia
 
Halafu sasa mtaalam mzabzab , huyo anayeoa mwanamke ili wasaidiane, unaweza ukute huyo mke hatoi hela. Kwa hiyo jamaa anatoa hela kuendesha familia, mwanamke za kwake ana save. 5 years later, mwanamke ana saving ya 300m mwanaume ana saving "zero" .

Mwisho mwanaume anaanza kupoteza confidence, anaanza kufokewa ndani ya nyumba, Anapoteza nguvu za kiume. Anazidi kupelekwa mpela mpela. Anajifanya ameanza kuipenda yanga, vile vile anampenda mayele ilimradi tu achelewe kurudi nyumbani akirudi mke kalala. Hahahahahah

Swali, je hao wenye elimu, pesa,vyeo na.k wasiolewe? Nadhani suala hili litachambuliwa zaidi na wasomi a.k.a scholars ila kwa sisi wananchi wa kawaida tunachotaka ni katiba mpya hehehehe.
 
Alafu jana mayele kashindwa tetema bwana...dah.
Anyways kwa kweli kuoa mwanamke mwenye kazi na hajitambui ni shidaaaa. Bora tuu tuoe hawa form four B.
 
Basi tena kashanikosa na change gear angani simuoi kumbavu mwache abaki na li masters lake maana nilitaka nimuoe nimfanyie connection ya maana aingie kazini imeisha iyoooo. And No more [emoji135]
 
Mada yako iko vizuri mkuu, ingawa hii nadharia ina apply mwanzoni wa mahusiano/ndoa yenu.. mwanamke asiye msomi atagain experience ya uhanarakati overtime... at the end of the day naye atakuwa sumu kama msomi vilevile... changa tu karatazako vizuri.
 
Basi tena kashanikosa na change gear angani simuoi kumbavu mwache abaki na li masters lake maana nilitaka nimuoe nimfanyie connection ya maana aingie kazini imeisha iyoooo. And No more [emoji135]
Nimemhurumia,mpe tu japo hiyo connection afu umwache aende zake!
 
Mada yako iko vizuri mkuu, ingawa hii nadharia ina apply mwanzoni wa mahusiano/ndoa yenu.. mwanamke asiye msomi atagain experience ya uhanarakati overtime... at the end of the day naye atakuwa sumu kama msomi vilevile... changa tu karatazako vizuri.
Ndio maana nimewaka faida na hasara.Kila mtu na vipaombele vyake. Kimfaacho mtu chake.
 
Hii ya saving ni jambo la kweli aiseee mwanamke uishi nae kwa akilii lasivyo atakuona falaaa atasahau kama wew hela yako yote ulikuw unatoa kuhudumia familia ndo maana ni Vizuri hela ya mwanaume ndo ifanye mambo ya maendeleo alafu ya mwanamke ilishe familiaaa....
 
Kiufupi

Acha tabia za kumpiga

Acha ulevi usio na sababu ya msingi kunywa kistaarabu

Mtafutie kibiashara na yeye afanye dunia ya sasa sio kama ya zamani kuna kukwama asiwe golikipa ( hapa sasa ndio kipimo cha tabia yake halisi akishika pesa maana huwezi jua hapo kwako kajifichia shida)


Kuhusu hilo la mwisho kitanda usichokilalia hujui kunguni wake

Na haya mambo hayanaga formula bwana john
 
Na akianza kulisha mfano tu anunue hata gunia la mchele kukusaidia jua tu ataanza kukudharau

Kiufupi uwe makini kwenye machaguzi kama una mpango wa kuoa epuka mwanamke mchoyo

Na oa mwanamke anayekupenda sio wewe unaempenda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…