Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 135,167
- 160,806
Nikiwa juu yako respect na mambo yataenda...Mi nimemfahamu sura majuz wakati anatoatoa tuzawadi🤣
Ukiwa juu yangu, respect zero, na mambo yatasusasua sana... (Tafuta hela...)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikiwa juu yako respect na mambo yataenda...Mi nimemfahamu sura majuz wakati anatoatoa tuzawadi🤣
Hakika, always mwanamke anatakiwa awe chini na akiwa na hela kuliko mwanaume inabidi ajikaze kushuka chini pia😶Nikiwa juu yako respect na mambo yataenda...
Ukiwa juu yangu, respect zero, na mambo yatasusasua sana... (Tafuta hela...)
Hamuwezagi kujishusha nyie... sababu mnaendeshwa kwa hisia...Hakika, always mwanamke anatakiwa awe chini na akiwa na hela kuliko mwanaume inabidi ajikaze kushuka chini pia😶
😳kumbe!Hamuwezagi kujishusha nyie... sababu mnaendeshwa kwa hisia...
Ukiwa na uwezo mkubwa kwa uliyopitia unaweza kujishusha kwa mwanaume au zaidi ya kumuona marioo...😳kumbe!
Inafuatana na mwanaume anavyobehave😔Ukiwa na uwezo mkubwa kwa uliyopitia unaweza kujishusha kwa mwanaume au zaidi ya kumuona marioo...
Ngoja tuone...Inafuatana na mwanaume anavyobehave😔
[emoji16][emoji16][emoji16]Mwanamke msomi PhD masters hata ukinipa bure sichukiwi ni kama kubeba gunia la misumari kichwani.
[emoji16][emoji16][emoji16]Atakusaidia kuongeza kipato mkuu[emoji1]
Siku hizi wanawake Wana angalia porn pamoja na wanaume gheto na Hawa noma Wala Nini yaani aibu utaiona wewe mwanaume lakini sio wao [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kwa mtizamo wangu, ukioa mke kwa mtizamo kuwa aje akusaidie a.k.a kusaidiana, unakuwa ushaanza kwa mguu wa kushoto. Ni suala la mda tu utalia kimanga.
I seeFaida ni 3 na hasara ni 6?
Hili la kugongewa mbona ni fashion now daysHili la kugongewa wala usiseme kabisa,kuna kipindi Fulani nilikuwa morogoro na wafanyakazi WA serikali walienda ktk Yale mashindano Yao ya michezo,wkt nipo restaurant napata chakula,pembeni walikuwa wadada wawili wanamsema mwenzao ambae ndoa yake mpya,inaonekana Yule dada hakuwa tayar kufanya uzinzi na hasa ukichukulia kaolewa hivi karibuni Tu,wakasema muache anajifanya anaendekeza ndoa,kwasababu ni mpya Tu lkn baadae mwenyewe atajichanganya,so hapo unaona kuwa wanapokuwa mbali na familia zao wanagongeka Tu kama kawa
Si munaona munavyojichanganya? Hamutaki wanawake wasomi lakini munataka kuendelea kusomesha watoto wenu wa kike kwa kuhofia watapata shida.Tusipo wasomesha watapata tabu maishani bora tuwasomeshe hata kama hawatakuja kuolewa lakini waweze kujitegemea kiuchumi.
Tusipo wasomesha watapata tabu maishani bora tuwasomeshe hata kama hawatakuja kuolewa lakini waweze kujitegemea kiuchumi.
Si munaona munavyojichanganya? Hamutaki wanawake wasomi lakini munataka kuendelea kusomesha watoto wenu wa kike kwa kuhofia watapata shida.
Watapata shida gani wakati nyinyi ndiyo mumeamua hivyo?
Hao ndiyo akina 'do as I say'......That’s it… maana wachangiaji wanaowaponda wanawake wasomi basi wasisomeshe mabinti zao ili falsafa zao za wanawake ambao hawajasoma ndo wake bora iendelee na kwa vizazi vyao
Oa wewe [emoji16][emoji16]Kuoa mmmh!