Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
Acha MARA MOJA kumpiga. Kuna siku atalala na koleo akuvizie ukiwa unakoroma akupasue hizo kengele zako ndipo akili itakukaa sawa.Ngoja niwape real story about my marriage....japokuwa sii ndoa kbs ya kufunga harusi ila NI tunaishi Zaid ya mwaka Sasa...Mimi nimeajiriwa fresh kbs na huyu shemeji/wifi yenu NI kwamba hajasoma hajamaliza la Saba ila NI mvumilivu Sana na ananitii Sana hana mambo mengi just imagine haniombi pesa yoyote kikubwa ninunue chakula,mavazi na kulipa bills...