Faida na hasara za kuoa mwanamke msomi na mtumishi

Hivi ushauri ushatolewa eehhh!! Ngoja nisome koments zote!
 
Hivi kuna wanawake wanaochangia hela katika uendeshaji wa familia? wangu hata kibiriti ca 100 kikiisha napigiwa simu, SIjawahi kuona hela yake zaidi ya kuona akiwapa ndugu zake na kuchangia michango ya harusi za marafiki.
Haya nayo makubwa. Ndio wanawake wasiojielewa hawa
 
Ni ndoto za wanaume wengi kuoa mwanamke mrembo na mwenye kipato ili wasaidiane kutengeneza familia bora ikiwa ni pamoja na kujenga nyumba nzuri, kusomesha watoto kwenye shule bora n.k [/B][/URL]

Hebu tengua Hii kauli,
Sema Ni "ndoto yangu" sio ndoto ya Wanaume wengi.

Binafsi sijawahi kuota upuuz Kama huo
 
Ukioa mke msomi akaajiliwa akipangiwa dodoma ukimpigia video call usiku lazima uone kivuli chenye madevu au chenye kitambi kinavaa kondomu
Ha ha ha...[emoji16]
 
Sahii kabisa[emoji106]
 
Aisee, Kuoa mwisho form 4 .afu mfungulie biashara kubwa tu

Jifanye unataka msomi, akienda fieldwork analiwa kimasihara.
kazini huko ni full kutoana out
 
Nimeishia kucheka Tu kwakweli mkuu
 
Kama mwanamke yupo busy na majukumu kwanini na wewe usiwe busy na majukumu ili kukuza kipato kuliko kufikiria kukata viono

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daaahh,mkuu,ukweli mchungu Sana huu mkuu,inamaanisha tusiconcetrate na k Tu,tuwaze mambo mengine
 
Kote huko ntamvumilia lakini kwenye namba 8 atakula makofi na vitu vyangu ntakula,hata kama huku tumenuna potelea mbali...
 
Umemaliza mkuu
 
wana harakati za mwanamke wanasema "pesa ya mwanamke ni ya mwanamke".
 

Tumeshaambiwa tuishi nao kwa akili sasa unashidwaje kuishi kwa akili na hawa mama zetu? Mwanamke kuwa na pesa au kukuzidi elimu Sio kweli kwamba wengi wao ni watata......

Ila sisi wanaume tunapoteza kule kujiamini nakuhisi kila kitu kinacho tokea ni kwasababu ya elimu au pesa ya mwanamke!!!!!

Mwanamke ni mwanamke tu, tutimize wajibu wetu kwenye familia zetu, kuzarauliwa kwa mwanaume sababu utakuwa ni wewe mwenyewe nwanaume kama ambavyo hatupendi kuzidiwa kipato na kina dada basi wakituzidi ndo balaa linaanzia hapo unaona kama ukiwa mtata au mbabe itasaidia hapana” achana nae tafuta saizi yako

Kuna pisi kali hazijasoma wala hazina pesa zinasumbua wanaume uko ndani ile balaa Yani Kwa mfano ile pisi ya mwanza mpaka jamaa anaichapa risasi...... si jamaa alikuwa na pesa kuliko demu? Lakini mliona jinsi kazi ilivyosimama na mwisho wa siku pisi ikamuuwa adi jamaa kwakujipiga risasi.... Haya mambo hayapo ivyo, tuishi nao kwa akili na tuwe na mipaka ya mazoea
 
Peace,

Tangu wakiwa wadogo watoto wa kike wanajengwa na jamii kushindana na wanaume, mifumo yote inamtia jeuri mwanamke, harakati za haki sawa, madawati ya jinsia yote haya yanamjaza upepo mwanamke.

Hata mwanamke mwenye maadili anajikuta tu yumo katika mkumbo wa kujitunisha misuli dhidi ya wanaume.

Kuna kabinti kamoja kazuriii mwaka jana kalimaliza hapo UDSM kalikua kanapiga Public Relations nilikatafuna mara kadhaa siku moja katika story nikakauliza kwanini kanajuhudi sana katika masomo jibu lake lilikua " nataka kujikomboa mimi sitaki kuja kunyanyaswa na mwanaume" na mawazo hayo ndio wanayo wasichana wote "kujikomboa" yani wao kua na elimu na kijiajira ni ngao dhidi ya mwanaume.

Fanya utafiti wako uliza watoto wa kike wengi uwezavyo waulize kwanini wanasoma, HAKUNA ata mmoja atakaekwambia "nasoma ili kuja kumsaidia mume wangu" ooh ooh HAKUNA anaetaka wala anaewaza kumsaidia mume wake wanawaza "kujikomboa" na kwao kujikomboa ni kua na uhuru usio na mipaka, uhuru wa kufanya lolote bila kuulizwa maana anakipato chake.

Pesa ya mwanamke NI YAKE na kamwe hayuko tayari kuiwekeza kwa mwanaume, they are selfish enough to admit so na hata kama akisema ooh "tutasaidiana maisha bla bla blah" negitive, she just wants to keep you in that frame of thinking.

Pia ni ngumu sana kumridhisha mwanamke mwenye ajira kila utakalofanya hatakua na fadhila kwacho ataona haujafanya vya kutosha daima constantly demanding and pushing atakuona "mwanaume suruali" hata kama unajitahidi kutimiza majukumu yako kwa uaminifu.

Kuoa mwanamke mwenye ajira nikujitangazia vita ya amani ya nafsi yako, hata hayo maendeleo yatachelewa sana na hata yasije kabisaaa kutokana na mivutano. Niambie ni nani aliyetajirika kwa kuoa mwanamke mwenye ajira ili wasaidiane na wakatajirika ?!

Wanapiga mark time miaka nenda rudi. Nitajie wapi alikua anafanya kazi mke wa Mengi ?!, au wapi ameajiriwa mke wa Mo Dewji ?!, je mke wa Bakhresa ameajiriwa wapi ?! Bakhesa hajasaidiwa maisha na mwanamke alianzia chini na leo ni Billionare na mke yuko nyumbani, nyie mnaosaidiwa maisha na wake zenu mmefika wapi ?! Waswahili walisema panya wawili hawachimbi shimo, ni mivutano na kila mtu kujifanya mwenye maono sahihi.

Mwanamke hana sababu yoyote ya kukuheshimu kama anauwezo wa kujihudumia mwenyewe, atajifanya kukuheshimu kwa vipindi vifupi tu, ila ukweli KAMWE hawezi kukuheshimu.

Kuoa mwanamke mwenye ajira haitakusaidia lolote ila itakupatia ulingo murua wa mapambano, mivutano na minyukano. Niambie ni lini ulishaona mwanamke anatoa hela kumsaidia mwanaume ?! By default mwanamke hajaumbwa kutoa msaada na hata kusaidia kwa lolote zaidi sana hiyo ajira itamjaza kiburi na jeuri na atafanya uchafu mwingi kwa kujua hutamfanya lolote si "ana kiajira chake"
 
Una mtoto wa kike?umezaa?najua hauna mtoto wa kike wala hujazaa but kama Mungu akijujalia mtoto wa kike umpeleke shule apate degree then awe Mama wa nyumbani basi utakuwa ni baba punguani tangia Dunia iumbwe
 
Tafuta hela timiza wajibu wako km Mwanaume. Piga shoo takatifu azae watoto hela zake achana nazo. Ipo siku atajiona ajajikomboa.[emoji4][emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…