medson jonasan
Senior Member
- Jan 14, 2014
- 145
- 27
wanawake madhara ni yapi
Kuna madhara gani mkuu? Unaweza kutufafanulia?
Kwa sababu kama joto lingekuwa madhara kwenye utengenezaji wa mayai basi ovaries nazo zingekuwa zinaning'inia nje kama korodani.
Ila kama una maelezo ya kisayansi basi tuwekee ili tuelimike!
Kwani mwanamume akioga maji ya moto anaziloweka korodani na kuziacha kwenye maji siku nzima??
Ni kweli korodani hazihitaji hali ya joto ili ziweze kuendelea na uzalishaji wa mbegu. Hii haina maana kwamba mtu akiwa kwenye mazingira ya baridi aziache korodani zifreeze. Na pia kwenye suala la kuoga, mtu anaoga maji ya moto kutegemeana na mahali alipo. Kwa mfano, ukiwa maeneo ya pwani kipindi kama hiki, hali ni joto sana kiasi kwamba hata maji ya bomba yanakuwa ya moto. Kwa hiyo suala la kuoga maji ya moto linategemea hali ya joto ya nje na haliwezi kuathiri utendaji kazi wa korodani!
hhhhhhaaaaahhhaaa!!!Kwani mwanamume akioga maji ya moto anaziloweka korodani na kuziacha kwenye maji siku nzima??
!
Kila siku naoga maji ya moto na kila kitu kiko vizuri kabisa!
kama Babu nimepata wallah
ninaomba ifahamike kuwa sio joto tuu linalo athiri korodani katika uzalishaji wa mbegu bali hata baridi ndio maana kukiwa na baridi zinakimbilia ndani kufuata joto na hili halina uhusiano kabisa na kuoga maji ya moto
Habari gani wanajamvi?,kuna madhara gani kwa mwanaume kuoga maji ya moto kwa upande wa mfumo mzima wa uzazi? kwani inasemekana eti corodani hazitaki joto ndo maana ni organ iliyoko nje. naomba kuwasilisha.
njo nikukague. lol
Kwani mwanamume akioga maji ya moto anaziloweka korodani na kuziacha kwenye maji siku nzima??
Ni kweli korodani hazihitaji hali ya joto ili ziweze kuendelea na uzalishaji wa mbegu. Hii haina maana kwamba mtu akiwa kwenye mazingira ya baridi aziache korodani zifreeze. Na pia kwenye suala la kuoga, mtu anaoga maji ya moto kutegemeana na mahali alipo. Kwa mfano, ukiwa maeneo ya pwani kipindi kama hiki, hali ni joto sana kiasi kwamba hata maji ya bomba yanakuwa ya moto. Kwa hiyo suala la kuoga maji ya moto linategemea hali ya joto ya nje na haliwezi kuathiri utendaji kazi wa korodani!
Habari gani wanajamvi?,kuna madhara gani kwa mwanaume kuoga maji ya moto kwa upande wa mfumo mzima wa uzazi? kwani inasemekana eti corodani hazitaki joto ndo maana ni organ iliyoko nje. naomba kuwasilisha.
Kwanza si kweli hasa kwamba hazihitaji "joto" (labda tuzungumzia kiasi!).....ndio sababu pia ukioga maji baridi au hata wakati wa baridi ngozi (scrotum) inasinyaa ili korodani zipande juu na kupata "joto" (linalotakikana) kutoka kwenye mwili...joto likizidi inajirudisha tena chini ili kupunguza. Hiyo mifuko inafanya kazi kama ilivyo "thermostat" tu.
Wataalamu wanasema joto linalotakikana ni kazi ya centigrade 3 mapa 5 chini ya joto la mwili.
Mwanaume haogi maji ya moto bana...