Faida ya kiuchumi kwa mkoa wa Kilimanjaro, kipindi watu wa kule tukienda kuhesabiwa

Faida ya kiuchumi kwa mkoa wa Kilimanjaro, kipindi watu wa kule tukienda kuhesabiwa

Naantombe Mushi

JF-Expert Member
Joined
Oct 16, 2015
Posts
6,253
Reaction score
15,748
Hii nadhani jamii nyingine pia wangeiga. Isiwe tu ni sisi wachaga ndo wakusafiri mwezi wa 12.

Iko hivi uchumi wa nchi au sehemu yoyote unakuwa driven sana sana na expenditure.

Watu wasipofanya spending, uchumi hauwezi kukua kamwe. Na nadhani hii ndio inafanya hata maeneo ya jamii nyingi za wachaga kuwa ni sehemu ambazo zina maendeleo fulani ya kiuchumi ukianzia level ya familia.

Kwanini?
Kwa kiasi kikubwa naweza sema hii tabia ya at least kurudi nyumbani haswa hiki kipindi cha sikukuu, ni moja wapo ya sababu kubwa ya ukuaji wa uchumi wa Kilimanjaro na maeneo mengi ya wachaga.

Kinachofanyika ni kwamba, tunavyoenda Moshi, maana yake ni kwamba tunahamisha consumption kutoka huku tulipo na kuzipeleka mkoa wa Kilimanjaro.

Kwa hiyo unakuta volume ya economic activities kwa mkoa wa Kilimanjaro zinakuwa maradufu kwa sababu kwenda kuhesabiwa inafanya kuwe na Capital inflows nyingi kwenye mkoa wa Kilimanjaro.

Maduka mengi, Bar, Hardware, Hotels, Masoko.. n.k huwa wanapata faida sana kipindi hiki.

Matokeo yake ni kwamba kasi ya kuzunguka kwa pesa inakuwa ni kubwa sana kipindi hiki, na unavyokuwa na kasi kubwa ya mzunguko wa pesa maana yake ni kwamba, Investment na production ya goods and services nayo inakuwa ni kubwa sana.

Impact ya kuongezeka kwa investment na production ya goods and services ndio hiyo sasa unaweza kuiita wealth creation. Utakuta ukienda Kilimanjaro watu wamejitahidi sana kujenga nyumba nzuri kwenye vihamba vyao, nyumba imekuwa fahari kubwa sana kwetu. Ingelikuwa sio hii movement ya mwisho wa mwaka, uchumi wa Kilimanjaro usingekuwa huu unaoonekana kwa sasa.

Ningewashauri na makabila mengine kuiga huu utaratibu, itasaidia sana kuinua uchumi wa maeneo husika, msijazane tu Dar, mkawanufaisha wahindi.. Rudini makwenu mkawanufaishe na wakina mzee Pwagu Pangu Pakavu.
 
Naunga mkono hoja yako kwa 100%, global expenditure ndiyo imekuza uchumi wa Dubai, Qatar, Paris na London.

Tena spenders wengi ni watu wa nje ya majiji hayo.

Watalii wanaospend Arusha mjini wanasababisha kuwe na cashflow kubwa sana kupitia shopping ya vitu, huduma kama vyakula, usafiri n.k

Ni mifano tu.....!

Wabillah Tawfiq,
 
Tatizo pia huko vijijini ndanindani kwao ni changamoto sana aisee kufikikaaa. Ni gharama mnoo. Wengine wanajionea stress tu maana hiyo safari ni mateso. Kuna sehemu nafarigi mpaka nasema ooppzzzz[emoji119][emoji119][emoji119] unarushwa mpaka figo na ini vinasema shameeshaaa mani. Ukundi ingwaa ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]
 
Ndo idea ya ukuaji wa uchumi popote pale duniani.

John Mynard Keynes ndo muasis wa hii falsafa ya kukuza uchumi kwa kufanya spending..
 
Tatizo pia huko vijijini ndanindani kwao ni changamoto sana aisee kufikikaaa. Ni gharama mnoo. Wengine wanajionea stress tu maana hiyo safari ni mateso. Kuna sehemu nafarigi mpaka nasema ooppzzzz[emoji119][emoji119][emoji119] unarushwa mpaka figo na ini vinasema shameeshaaa mani. Ukundi ingwaa ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]
Hahahahaaa.. wanavozidi kupachukia ndo wanakosea.. maana kutazidi kubaki hivo hivo
 
Naunga mkono hoja yako kwa 100%, global expenditure ndiyo imekuza uchumi wa Dubai, Qatar, Paris na London.

Tena spenders wengi ni watu wa nje ya majiji hayo.

Watalii wanaospend Arusha mjini wanasababisha kuwe na cashflow kubwa sana kupitia shopping ya vitu, huduma kama vyakula, usafiri n.k

Ni mifano tu.....!

Wabillah Tawfiq,
Hata economic crisis nyingi huwa zinatatuliwa kwa serikali kuweka mazingira yanayowezesha spending kuongezeka
 
Eeeek Mamtefu kwifo kudaaa
Salamaa mbeee. Hivi odeeee namndede manake nn vile?[emoji23][emoji23][emoji23] napapenda machameee. Kule uraa kule. Sema ni miaka zaidi ya 20 toka nije huko. Mdogo wangu akapiga baruti nyuma ya usharika wa Uraaa wakati mchungaji wenu akihubiri kanisa likatulia kama dk 5[emoji23][emoji23][emoji23] zamani sanaaaa. [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
 
Mimi sio Mchagga
Lakini nafurahishwa sana na hili Jambo lao kila Mwaka, Na Naunga mkono hii Mada mezani
Ingekuwa ni njia nzuri ya kufanya wealth distribution ..

Kwa mfano, ukiwa hata na laki tano ya kula bata hapa mjini ni kwanini usitumie laki usafiri hadi kijijini kwenu. Halafu hiko bata ukalie huko huko?

Maana yake ni kwamba ukifika kijijini ukiitumia ile laki tano huko, utakuwa umesaidia pia watu wakule kijijini. Mfano umeenda kununua mbuzi mnadani wa laki mbili, hapo si tayari umewezesha mwanafunzi wa kijijini kwenda shule na kupata madaftari?

Ndo dhana ya maendeleo inavokuwa hivo
 
Salamaa mbeee. Hivi odeeee namndede manake nn vile?[emoji23][emoji23][emoji23] napapenda machameee. Kule uraa kule. Sema ni miaka zaidi ya 20 toka nije huko. Mdogo wangu akapiga baruti nyuma ya usharika wa Uraaa wakati mchungaji wenu akihubiri kanisa likatulia kama dk 5[emoji23][emoji23][emoji23] zamani sanaaaa. [emoji23][emoji23][emoji119][emoji119]
Hahahahaaa.. uongo mbaya na mimi ni mchaga wa mjini.. nasikia kwa mbali sana.. nimebaki uchaga jina tu... Hahaha
 
Hahahahaaa.. uongo mbaya na mimi ni mchaga wa mjini.. nasikia kwa mbali sana.. nimebaki uchaga jina tu... Hahaha
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbeee. Mm kimachame nakisikia sikia ijapokua si kwetu. Kuna maneno yao. Na lile la laaalu leee...... hahaha kimarangu pia nakipenda sana maana wanakirembesha balaaa. Sema ndo siwapendi wenyewee[emoji23][emoji23][emoji23] wanaongea vzr hadi rahaaa. Sisi warombo ni shidaa kila mahali twaongea todauti
 
Back
Top Bottom