OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,961
- 25,325
Siyo uchawi ndugu ni akili tu ..nyie mumekaa kizembe sanaUchawi wanaoutumia siyo wa nchi hii Ndugu.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Siyo uchawi ndugu ni akili tu ..nyie mumekaa kizembe sanaUchawi wanaoutumia siyo wa nchi hii Ndugu.
Kwani Ukirogwa huwezi Kusababishiwa Uzembe?Siyo uchawi ndugu ni akili tu ..nyie mumekaa kizembe sana
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kwan wachaga wote wamejenga moshi.Mkuu watu wa kagera wengi ni wasomi lakini masikini sana. Kuna lecturer katufundisha sisi chuo ..jamaa ana mjengo Atari..sasa aliugua akafariki, tukaja kwai kagera ..dah huwezi amini ni yule lecturer mwenye discover 6 na mansion ya maana hapa Arusha. Tulikosa had sehemu za kukaa maana ni pako hii hapaelezeki..ndo nikaamini wahaya ni tabu tupu
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kagera inaonekana Maskini kwa sababu ya population kubwa iliyopo kulinganisha na kipato cha mkoa.Jedwali la viwango vya umaskini kwa kila mkoaView attachment 1660096
[emoji3][emoji3] ukichukua nyumba za wilaya moja ya muleba ukapeleka Kilimanjaro Wachaga wote wataishi nyumba Bora na za kisasaKilimanjaro viwilaya vitatu Tu ambavyo kwa kagera ni kama Kata Tu .
Hebu tz hii ripotiView attachment 1659973
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Ulivyo wa ajabu mbona husemi hizo nyumba nzuri ulizopishana nazo njiani, maana bk hamna tembeMkuu watu wa kagera wengi ni wasomi lakini masikini sana. Kuna lecturer katufundisha sisi chuo ..jamaa ana mjengo Atari..sasa aliugua akafariki, tukaja kwai kagera ..dah huwezi amini ni yule lecturer mwenye discover 6 na mansion ya maana hapa Arusha. Tulikosa had sehemu za kukaa maana ni pako hii hapaelezeki..ndo nikaamini wahaya ni tabu tupu
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Kagera umaskini asilimia 39.3[emoji2]Jedwali la viwango vya umaskini kwa kila mkoaView attachment 1660096
Mimi sio Mchagga
Lakini nafurahishwa sana na hili Jambo lao kila Mwaka, Na Naunga mkono hii Mada mezani
Aseee arawa kumbe wa kibosho tupo wa kutosha eeeh, wachagga tulio kuwaga kimya ila kwa sasa tunawanyoosha.Hahaha kiokii sir[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app