darubin ya mbao
JF-Expert Member
- Aug 3, 2016
- 2,863
- 6,041
Naunga hoja mkono.
Tumekufanya nni?[emoji23][emoji23][emoji23] kumbeee. Mm kimachame nakisikia sikia ijapokua si kwetu. Kuna maneno yao. Na lile la laaalu leee...... hahaha kimarangu pia nakipenda sana maana wanakirembesha balaaa. Sema ndo siwapendi wenyewee[emoji23][emoji23][emoji23] wanaongea vzr hadi rahaaa. Sisi warombo ni shidaa kila mahali twaongea todauti
Kachukuliwa mume na mmarangu huyo,Nitaendelea kuamini ni wivu tu, hadi nipate sababu za mashiko kuhusu chuki hizo... wewe una hasira hutaki kunipa ushirikiano!
Pamoja na population kuwa kubwa over 3m lakin ndo mkoa pia unaoongoza watu kuukimbia hivyo kuna wahaya wengi Tu nje ya mkoa wa kagera .
Mfano mwanza. Ndo maana meli inapataga abiria kibao
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Venye muna la kunifanya basi?[emoji28][emoji28] huwaga kelele tu.Tumekufanya nni?
Mpaka leo hii unawaza mambo ya kuibiana wanaume? No wonder ni mmarangu[emoji31][emoji31]Kachukuliwa mume na mmarangu huyo,
Ukiondoa wilaya za biharamulo na ngara bado wilaya zinazobaki za wahaya na wanyambo zina watu wengi na ndo wanaotumia usafiri wa meliLakini kumbuka kwamba robo tatu ya wakazi wa wilaya ya Biharamulo wanakaa wasukuma na kidogo waha
Ha ha ha ha balaaa balaaa balaaa. Hatari sanaa. Yaan kuna maeneo nilizunguka huko rufiji kwa ajili ya kilimo mazingira acha tu. Kwanza wenyewe wanakuonya kuwa makini usije ukapotea huku panatishaaa. Ila hui mradi wa stigo angalau umewabadilisha vijana wamekimbilia huko angalau wataanza kujenga makwao wapunguze wivu wa maendeleo maana unaweza ulime unashangaa majani ndo yanastawiWanaendaje kwao kwenye nyumba za tembe atapaki wapi ist yake,pia akienda kapendeza anarogwa anarukwa akili lazima wabaki mji tu
Ulikua siku zote hujui kama tarakea ndo kuna madon toka miaka? Kule ni boarder officially, kuna kilimo cha viazi mbatata aka viazi vya west, kule migomba haistawi ila mahindi na maharagwe ndo kwenyewe, kuna mlima kiutalii, kuna mahoteli ya kina maulidi etc, biashara kubwa kubwa, usisahau biashara za mbao enzi hizo ilikuaga huko ndo zikasitishwa wakahamia iringa. Matajiri kibao tu wapo. Na bado mkuu pia matajiri wapo usisahau mashati. Labda wewe ndo umechelewa kujua mwanjoKaribu marangu,rombo mnabaguana sana siku hizi watarakea ndio wamekua madon,mlikua mnawazarau sana
Khaaaa....Tumemkaza yeye bila kupaka grisi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weeee... siyo kijinini? Ila huyu instabul ana changanoto sana.Hapo ni mjini
Sijui aisee. Ila niliwasiliana nao huko naambiwa moto umekolea. Yaan vijana ndo wanaanza kujenga kwao. Nina mwaka sijaenda. Na sion nikienda karibuni. Ngoja kwanza wajenge jenge wapunguze uchawi[emoji23]Huko maendeleo hayatatokea,istoshe huo mradi utasikia chali mda si mrefu,toka 2016 anajenga sgr hata moro hajafika [emoji16][emoji16][emoji16]ndio aweze hilo bwawa kwa akili zipi
Naona unaweweseka sasa, hapo mjini sehemu ganHapo ni mjini
Umenena. Ni ukweli kabisa. Exposure tu ndo hawana. Kote kwetu. Mkuu na tarakea. Napajua vyema. We unapiga kazi tu ila mm kwetu. Na tunajulikana sana[emoji23] ila watarakea wamafia sana. Mtaa wetu wa nyumbani ni ule wa akina ngaleku ndugu yangu akina waha wa rombo green view etc. Kiujumla sasa rombo yote imechangamka. Wamashati ndo wana mabasi mengi bwana. Akina esther luxury, extra, tilisho etc. Meridian ndo aliwabebaga wa Mkuu ila wamekua wazembe wenyewe. Miaka zaidi ya 20 unaitawala barabara lkn hupigi hatua. Hubadiliki? Hata like jioya wamevuliwa.Mimi nawajua sana warombo cz ndio nafanya nao kazi tarakea ina matajiri wengi haswa wenye malori,mabasi,maduka ya jumla....ila kielimu wako nyuma tofauti na warombo wa mkuu na mashati
Mbona vyote tu ndo viko hivyo, kilimani, ngorongo, msona, mibuyu saba etc. Kumefanana tu. Na yale mafuriko ya mwaka huu balaaa. Hapakua na mawasiliano kbs kwa miez miwili. Walikua wanavuka kwa mitimbwi. Mpk nikaogopa sasa kujiwekeza huko. Ila wana umeme sema ndo kijiji kizima umeme unakya shule na mtu mmoja basi imeisha.Kijiji gani huko kiko hivyo,nimetembea sana huko napajua
Hahaha aiseee... kumbee? Maana huko rufiji unajikatia tuu eneo. Yaani wana maeneo mapori tupu. Mtu akishakua na mikorosho minne hapo uwani ndo basiHuko kimbia nenda ikwiriri ndio kuna mashamba na wengine wa dar wanalima ufuta huko
Wasukuma wamejaa. Nikichoka kuwakuta. Na wafuga ng'ombe. Wana mabifu balaa. Yaan hawafaiAkiwa na mikorosho 10 lazima awe na wake kadhaa huyo ni don,wasukuma wako huko wanalima ufuta
Mjini wap[emoji23][emoji23][emoji23]Hapo ni mjini
Akwambie mji gan huo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] weeee... siyo kijinini? Ila huyu instabul ana changanoto sana.