Faida ya kiuchumi kwa mkoa wa Kilimanjaro, kipindi watu wa kule tukienda kuhesabiwa

Vakaenda vendedhaa mba ingai[emoji23] ehe ndiakwa. Ngeidima iamba sila ni mba kuee
Yetegemea sha swe kabla ye jenga mmba kunu Mjini twajenga fo mndeni kwanza. Dakai ngaenda ngete handu helala mamtefu sho.
 
Nani awapende waanjo. Naona hawapemdwi kotekote tu... kujishaua ma hela hamna[emoji23][emoji23] kazi kuja kuchuna kwa kala zetu tu. Ila siku hizi wanapigwa chini. Wanajikuta sana keki

Uongo mbaya warombo mna wivu kwa wamarangu, mabinti zao wengi ni wazuri sio wakubwa juu wadogo chini nyie mnawaona mashauzi.... bado nitarudi marangu kwa uwakilishi niliotunukiwa.

Labda ni kwa sababu mi bahili, nipo na mrombo ila sijui kama ananiogopa au vipi... imani yangu wachaga wanapenda hela ila ajabu huyu najitafunia bwerere tu jamani!![emoji39]
 
.
IMG_20201224_225540_4.jpg
 
Unaonge kwa kujifurahisha tu ila ukweli tunajuana. Hakuna watu hipeless kama wamarangu. Thread kibao zimefutwa humu. Wivu kwa kipi? Uzuri? Ndo unaowaapa hela? Wivuu. Kwamba warombo ndo hakuna wazuri?[emoji23][emoji23] we kaka tema mate chini. Mashauzi gharama. Byee
 
Sababu ni ipi hasa ya kutosha kuwaona wamarangu hopeless?
 
Uongo mbaya warombo mna wivu kwa wamarangu, mabinti zao wengi ni wazuri sio wakubwa juu wadogo chini nyie mnawaona mashauzi.... bado nitarudi marangu kwa uwakilishi niliotunukiwa.

Labda ni kwa sababu mi bahili, nipo na mrombo ila sijui kama ananiogopa au vipi... imani yangu wachaga wanapenda hela ila ajabu huyu najitafunia bwerere tu jamani!![emoji39]
Halaf umavyofurahisha zaidi sasa... unapondea mrombo halaf unajibrag tena uko sijui na mrombo sijui ubajilia bure blah blah. Mbona kama hujielewi. Rombians are humble. Respect her with such bad language... kwaheri bwana
 
Faida Kuu / ya Kipekee nadhani ni vile vyote vilivyoibiwa, dhulumiwa na kutapeliwa hapa Dar es Salaam sasa vinahamia rasmi Mkoani Kilimanjaro.
 
Halaf umavyofurahisha zaidi sasa... unapondea mrombo halaf unajibrag tena uko sijui na mrombo sijui ubajilia bure blah blah. Mbona kama hujielewi. Rombians are humble. Respect her with such bad language... kwaheri bwana

Sijapondea mtu, nimehoji sababu za wewe personally juu ya chuki za warombo kwa wamarangu... sina nia ovu nimesema tu huenda ni wivu au sthng else sisi wa mbali hatujui.
 
Kwanini uconclude ni wivu na wewe ni wa mbali. Smfh
 
Duh,mbona Bukoba land ni kubwa sana kiasi wananchi kujenga karibu karibu hivi? Na mpangilio wa kijiji vipi?
Natamani sana mkoa Wa Kilimanjaro ungekua na eneo kubwa. Nahisi ni kimkoa cha pili kwa udogo hapa tz
Yap ni mkoa mkubwa lakin Una watu wengi .kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu nchini. Na population density pia.

Lakin pia watu wamerundikana Sana hayaland kwa sababu ya rutuba na mvua za kutosha.

Tazama hiyo report. Kagera inazidi Hadi KLM kwa population density tena mbali sana
Screenshot_20201220-130344.jpg
Screenshot_20201220-130401.jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Yap ni mkoa mkubwa lakin Una watu wengi .kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu nchini. Na population density pia.

Lakin pia watu wamerundikana Sana hayaland kwa sababu ya rutuba na mvua za kutosha.

Tazama hiyo report. Kagera inazidi Hadi KLM kwa population density tena mbali sanaView attachment 1658695View attachment 1658696

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kilimanjaro watu wake wako scattered
Hatuishi kilimanjaro. Isitoshe mkoa ni mdogo sana hata sisi wenyewe haitutoshelezi. Si unajua kuna wachagga wamegaiwa maeneo Handeni huko na Morogoro eh? Sema vitu vingine vyote vyafanana. Ila mpango mji na vijiji ndo kidogo naona mmesogeleana japo haijakaa vibaya pia still. Watu wa kanda ya ziwa pia mnakula vizuri na kuzaliana vizuri kwa sana[emoji23][emoji23]
 
Pamoja na population kuwa kubwa over 3m lakin ndo mkoa pia unaoongoza watu kuukimbia hivyo kuna wahaya wengi Tu nje ya mkoa wa kagera .

Mfano mwanza. Ndo maana meli inapataga abiria kibao

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Pamoja na population kuwa kubwa over 3m lakin ndo mkoa pia unaoongoza watu kuukimbia hivyo kuna wahaya wengi Tu nje ya mkoa wa kagera .

Mfano mwanza. Ndo maana meli inapataga abiria kibao

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Hilo la kukimbia silijui sana kwa huko kwakua si mwenyeji nitakua muongo. Ila vijana huenda tafuta fursa kungineko. Huko hukimbia ila kwetu kumezidi. Utakuta maboma mpaka manne halaf anayeishi na kulinda ni mbibi mmoja peke yale. Hata mashule mengine yalifungwa kwakua hakuna wanafunzi. Kila mtu amekimbilia dunia nyingine
 
Ingekuwa ni njia nzuri ya kufanya wealth distribution ..

Kwa mfano, ukiwa hata na laki tano ya kula bata hapa mjini ni kwanini usitumie laki usafiri hadi kijijini kwenu. Halafu hiko bata ukalie huko huko?

Maana yake ni kwamba ukifika kijijini ukiitumia ile laki tano huko, utakuwa umesaidia pia watu wakule kijijini. Mfano umeenda kununua mbuzi mnadani wa laki mbili, hapo si tayari umewezesha mwanafunzi wa kijijini kwenda shule na kupata madaftari?

Ndo dhana ya maendeleo inavokuwa hivo
Ukinunua ndizi mikungu 2, sado ya nyanya, vitunguu, halafu ukapitia Grocery kwa Masawe na kupiga bia, soda na machalari ya utumbo, kichwa cha mbuzi, mtura etc... Tayari imewezesha watu kibao....
 
Back
Top Bottom