Faida ya kiuchumi kwa mkoa wa Kilimanjaro, kipindi watu wa kule tukienda kuhesabiwa

Faida ya kiuchumi kwa mkoa wa Kilimanjaro, kipindi watu wa kule tukienda kuhesabiwa

[emoji23][emoji23][emoji23] kumbeee. Mm kimachame nakisikia sikia ijapokua si kwetu. Kuna maneno yao. Na lile la laaalu leee...... hahaha kimarangu pia nakipenda sana maana wanakirembesha balaaa. Sema ndo siwapendi wenyewee[emoji23][emoji23][emoji23] wanaongea vzr hadi rahaaa. Sisi warombo ni shidaa kila mahali twaongea todauti
Kirombo naonaga kama ni kirahisi kiasi.. kipindi nipo mdogo kuna warombo nilikuwa nawasaidia kazi za duka, mda mwingi nlikuwa nao.. ikafika kipindi nikawa naelewa karibu maneno yote walikuwa wanaongea.. ila sasa tangu hapo, ni miaka zaidi ya 15 na nimeshasahu na kusahau..
 
Tatizo pia huko vijijini ndanindani kwao ni changamoto sana aisee kufikikaaa. Ni gharama mnoo. Wengine wanajionea stress tu maana hiyo safari ni mateso. Kuna sehemu nafarigi mpaka nasema ooppzzzz[emoji119][emoji119][emoji119] unarushwa mpaka figo na ini vinasema shameeshaaa mani. Ukundi ingwaa ama?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2088][emoji2088]
[emoji23][emoji23][emoji23] Lunu shuru ngaita shimbi ngaamba mushindana ijenga ama?..Mwamere duita vandu va mamsera kwa ijenga mmba ngsha..
 
Kingine ni kuwa wakiiga hili vijiji vyao vitaanza kupendeza maana watu watapa mbana wajenge ili wakija nyumbani waishi sehemu nzuri na kupata furaha ya kweli..
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Lunu shuru ngaita shimbi ngaamba mushindana ijenga ama?..Mwamere duita vandu va mamsera kwa ijenga mmba ngsha..
[emoji23][emoji23][emoji23] ngoja ngishe fo chumbeni kwansaa
 
Kirombo naonaga kama ni kirahisi kiasi.. kipindi nipo mdogo kuna warombo nilikuwa nawasaidia kazi za duka, mda mwingi nlikuwa nao.. ikafika kipindi nikawa naelewa karibu maneno yote walikuwa wanaongea.. ila sasa tangu hapo, ni miaka zaidi ya 15 na nimeshasahu na kusahau..
Hahaha kirombo.chetu cha mkuu ndo kirahisi, kuanzia mashati kuendelea hujo useri ndo wanavutaaa balaaa[emoji23][emoji23] utasikia abayooooooooo waaambaaaaajaaa shomlyaaaaaa
 
Kingine ni kuwa wakiiga hili vijiji vyao vitaanza kupendeza maana watu watambana wajenge ili wakija nyumbani waishi sehemu nzuri na kupata furaha ya kweli..
Yaan hakuna kitu kinakupa confidence kama kuwa na mahali pazuri pa kuishi. Yaan unakua na amani yote. Tusiishie kutamba mjini tuu
 
Naboa sirikidogo uku uchagani serehe huanza tarehe 19 Hadi 3janury ni hivi wenye pesa ndefu uwwai nakuanza kuchinja majumbani mwao wageni ni wazee , majirani hujikusanya kila siku nyumbani kwa alie tangulia kufika wakila. na kunywa hakuna kwenda baa.
Halii huendelea akikarbia kuishiwa kulingana na buget yake Basi utakutahapo kuna mdogo wake wa Mwanza kaja basi yeye na waliokuwa wageni wake kijiwe kina hamiajirani kwa uyo mdogo wake Basi cheni uenda hivyo mpaka kwa yule anae wasili tarehe 31 nakufanya kufuru yasiku moja nakusepa
 
Hata economic crisis nyingi huwa zinatatuliwa kwa serikali kuweka mazingira yanayowezesha spending kuongezeka
Unatoka Dsm unaenda na pesa say Kibosho au Machame, unanunua pombe na soda...inamuungisha mwenye Bar, mwenye Bar naye ana shamba lake huko alikosa mbolea mkimuungisha ananunua mbolea mazao yanatoka anapeleka sokoni, aliyeuza mbolea naye anaenda kuspend kwa kununua maziwa kumuungisha mfugaji.....lastly uchumi unakuwa

No one stands alone in economic sphere mazee,
 
[emoji23][emoji23][emoji23] kumbeee. Mm kimachame nakisikia sikia ijapokua si kwetu. Kuna maneno yao. Na lile la laaalu leee...... hahaha kimarangu pia nakipenda sana maana wanakirembesha balaaa. Sema ndo siwapendi wenyewee[emoji23][emoji23][emoji23] wanaongea vzr hadi rahaaa. Sisi warombo ni shidaa kila mahali twaongea todauti
Utasikia Nyuura...
 
Back
Top Bottom