Halafu mjini abaki nani?Lifanyike sera ya kitaifa, kila watu warudi kwao mwisho wa mwaka!
Wahaya wameingiaje hapo.Kuna msukuma mmoja alijaribu kuharibu hii tamaduni yetu wachaga eti kukaza vyuma tumemkaza yeye. Chezea wachaga wewe. Yaani tuko vizuri chezea watu wa Chato sio taifa takatifu la Kilimanjaro. Wahaya hooooiiiii
Exactly hivo ndo uchumi unavofanya kaziUnatoka Dsm unaenda na pesa say Kibosho au Machame, unanunua pombe na soda...inamuungisha mwenye Bar, mwenye Bar naye ana shamba lake huko alikosa mbolea mkimuungisha ananunua mbolea mazao yanatoka anapeleka sokoni, aliyeuza mbolea naye anaenda kuspend kwa kununua maziwa kumuungisha mfugaji.....lastly uchumi unakuwa
No one stands alone in economic sphere mazee,
Kida Sa munamaKida kiwoso,Konshaama boo?
Ina maana hujaelewa mkuu.. usijesema na hii ni utapeli 😆😆😆Hahahaaa
Alie elewa anaieleweshe vizuri!
Ekaa ma[emoji23][emoji23][emoji23] kumbeee. Mm kimachame nakisikia sikia ijapokua si kwetu. Kuna maneno yao. Na lile la laaalu leee...... hahaha kimarangu pia nakipenda sana maana wanakirembesha balaaa. Sema ndo siwapendi wenyewee[emoji23][emoji23][emoji23] wanaongea vzr hadi rahaaa. Sisi warombo ni shidaa kila mahali twaongea todauti
Duh,mbona Bukoba land ni kubwa sana kiasi wananchi kujenga karibu karibu hivi? Na mpangilio wa kijiji vipi?Wahaya wameingiaje hapo.
Mbona kama Una insecurity?
Bukoba ruralView attachment 1658435
Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Siku hz miko yote watu wanasafiri sana,ila kanda ya kaskazini ndio huongoza kwa watu wengi,njia ya mbeya,njombe, tunduma nazo tiketi zimekuwa shida.Watu wanapanda costa jioniHii nadhani jamii nyingine pia wangeiga. Isiwe tu ni sisi wachaga ndo wakusafiri mwezi wa 12.
Iko hivi uchumi wa nchi au sehemu yoyote unakuwa driven sana sana na expenditure.
Watu wasipofanya spending, uchumi hauwezi kukua kamwe. Na nadhani hii ndio inafanya hata maeneo ya jamii nyingi za wachaga kuwa ni sehemu ambazo zina maendeleo fulani ya kiuchumi ukianzia level ya familia.
Kwanini?
Kwa kiasi kikubwa naweza sema hii tabia ya at least kurudi nyumbani haswa hiki kipindi cha sikukuu, ni moja wapo ya sababu kubwa ya ukuaji wa uchumi wa Kilimanjaro na maeneo mengi ya wachaga.
Kinachofanyika ni kwamba, tunavoenda Moshi, maana yake ni kwamba tunahamisha consumption kutoka huku tulipo na kuzipeleka mkoa wa Kilimanjaro.
Kwa hiyo unakuta volume ya economic activities kwa mkoa wa Kilimanjaro zinakuwa maradufu kwa sababu kwenda kuhesabiwa inafanya kuwe na Capital inflows nyingi kwenye mkoa wa Kilimanjaro.
Maduka mengi, Bar, Hardware, Hotels, Masoko.. n.k huwa wanapata faida sana kipindi hiki.
Matokeo yake ni kwamba kasi ya kuzunguka kwa pesa inakuwa ni kubwa sana kipindi hiki, na unavokuwa na kasi kubwa ya mzunguko wa pesa maana yake ni kwamba, Investment na production ya goods and services nayo inakuwa ni kubwa sana.
Impact ya kuongezeka kwa investment na production ya goods and services ndo hiyo sasa unaweza kuiita wealth creation. Utakuta ukienda Kilimanjaro watu wamejitahidi sana kujenga nyumba nzuri kwenye vihamba vyao, nyumba imekuwa fahari kubwa sana kwetu. Ingelikuwa sio hii movement ya mwisho wa mwaka, uchumi wa Kilimanjaro usingekuwa huu unaoonekana kwa sasa.
Ningewashauri na makabila mengine kuiga huu utaratibu, itasaidia sana kuinua uchumi wa maeneo husika, msijazane tu Dar, mkawanufaisha wahindi.. Rudini makwenu mkawanufaishe na wakina mzee Pwagu Pangu Pakavu.
Hahah napendaaa mnavyoongeaaEkaa ma
Umelenga mule mule.. wanakivutaga balaaa waromboHahaha kirombo.chetu cha mkuu ndo kirahisi, kuanzia mashati kuendelea hujo useri ndo wanavutaaa balaaa[emoji23][emoji23] utasikia abayooooooooo waaambaaaaajaaa shomlyaaaaaa
Kida munamaKida Mushi kiwoso kukeri eeh!
Ekamaa pendoHahah napendaaa mnavyoongeaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sindisa mbee... kufoenda rokyaaaaa... najaribu kimachame jamani[emoji23]
Naantoo mbee.
Kido sirKida munama
Lifanyike sera ya kitaifa, kila watu warudi kwao mwisho wa mwaka!
Kido tubu mnama eeh kukeri nicha kunu jf, kujie maeleso machaa kowandu. Forex kutawana eeeh 🤣🤣🤣🤣🤣Kida munama