Faida ya kiuchumi kwa mkoa wa Kilimanjaro, kipindi watu wa kule tukienda kuhesabiwa

Faida ya kiuchumi kwa mkoa wa Kilimanjaro, kipindi watu wa kule tukienda kuhesabiwa

Kijiji gani huko kiko hivyo,nimetembea sana huko napajua
Wee uchaga unakusumbua

Eti ametembea kagera anaijuax[emoji23][emoji23] haya hapo unaposema mjini ni mji gani[emoji23]

Tena kama hujui bukoba vijijini kuna nyumba Kali Sana kuliko hata mjini

Serikali sio wajinga kusema kagera ina watu 3 million na population density ya 119 per km .
JamiiForums-1391642016.jpg
2452784_Bukobawadau_on_Instagram3A_E2809CTaswira_katika_picha_kutoka_Nyumbani_kwa_Mkubwa_Justi...jpg
FB_IMG_16083049167619464.jpg
tapatalk_1600550226057.jpg

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Akwambie mji gan huo[emoji23]

Kama ni mji. Bukoba mjini hakuna sehemu tambalale za hivyo

Bukoba mjini hiyo hapoView attachment 1659341

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Kiukweli nimewahi ona picha za vijijini kwa jamaa zangu kadhaa. Na ni wa kishua balaa hapa town ila hiko vijijini sikuamini. Mpk nilijisikia vibaya. Mbaya zaidi wanaishi na wengine wameishi marekani. Na sinkwamba masikini. Yaan mazingira kwanza palivyo pachafu ila nilijikaza asione nimenote kitu. Tupapende kwetu kwanza jamani
 
Serikali sio wajinga kuuona mkoa huu Una population kubwa vijijini.

Tembea uone. Siku wahaya sifa zimepungua sanaView attachment 1659358View attachment 1659359View attachment 1659360View attachment 1659361View attachment 1659362View attachment 1659363

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Ila huwa unanifurahisha ndugu yangu[emoji23][emoji23]
Tukikutumia maghorofa ya kwetu tutayanaliza? Yaan huwa unajikusanyie tupicha tuwili tutatu watutumia huku tu. Tukikutumia miji yetu utachoka ndugu yangu. Ndo maana huonagi tukihangaika kutuma mapicha. Toka miaka hiyo kumejengeka tayari. Mitaa imepangika.
 
[emoji23][emoji23] picha ziko wap?

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
 
Kilimanjaro viwilaya vitatu Tu ambavyo kwa kagera ni kama Kata Tu .

Hebu tz hii ripotiView attachment 1659973

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Hiyo sio hoja hata tungekuwa na limkoa likubwa Kama nyie ndio tungefanya maajabu zaidi
Hamuoni aibu nyie kagera limkoa likuubwa lakini hamjaizid Kilimanjaro kwa kitu hata kimoja? Sio GDP,sio shule,sio miundombinu, everything tungekuwa na mkoa mkubwa tungefanya maajabu Hadi wazungu waje kujifunza
 
Yap ni mkoa mkubwa lakin Una watu wengi .kagera ni mkoa wa tatu kwa idadi ya watu nchini. Na population density pia.

Lakin pia watu wamerundikana Sana hayaland kwa sababu ya rutuba na mvua za kutosha.

Tazama hiyo report. Kagera inazidi Hadi KLM kwa population density tena mbali sanaView attachment 1658695View attachment 1658696

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Huko cindo tunaongoza hadi kwa ukimwi sisi wahaya?? Ama kweli tuko vizuri..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Mi sio Mchaga ila hiyo naiunga mkono,Pia inawafanya wanafamilia kuona jinsi ya kurekebisha majumba ya vijijini kwao,tofauti na makabila mengine tusioenda makwetu mpaka msiba yaani unakuta mtu alikua na uwezo mkubwa tu sana lakini kwao nyumba ya nyasi na mliosindikiza mwili mnajisaidia kama mnasafiri mnachimba dawa hata choo tu hakuna.
Ni kweli kabisa mkuu..hasa sisi WAHAYA tumejazana mjini dar na mwanza lakini kule kwetu ni aibu tupu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wee uchaga unakusumbua

Eti ametembea kagera anaijuax[emoji23][emoji23] haya hapo unaposema mjini ni mji gani[emoji23]

Tena kama hujui bukoba vijijini kuna nyumba Kali Sana kuliko hata mjini

Serikali sio wajinga kusema kagera ina watu 3 million na population density ya 119 per km .View attachment 1659342View attachment 1659343View attachment 1659344View attachment 1659345

Sent from my Nokia 1 using JamiiForums mobile app
Huku ni mwanza nyamagana kule mkuu.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Jedwali la viwango vya umaskini kwa kila mkoaView attachment 1660096
Mkuu watu wa kagera wengi ni wasomi lakini masikini sana. Kuna lecturer katufundisha sisi chuo ..jamaa ana mjengo Atari..sasa aliugua akafariki, tukaja kwai kagera ..dah huwezi amini ni yule lecturer mwenye discover 6 na mansion ya maana hapa Arusha. Tulikosa had sehemu za kukaa maana ni pako hii hapaelezeki..ndo nikaamini wahaya ni tabu tupu

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom