Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

Yeye ni muweza wa kila kitu alikuwa na uwezo kutuumba bila hayo tunayoita madhambi!!
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Okay basi wewe ni samaki na ni mbuzi upo katikati... Ongea point sio shiti sawa

Immortality na Mortality sio viumbe mkuu.. unaweza ukagugo kama huelewi.

Inawezekana kabisa this is beyond your comprehension ndio maana unaona ni shit. Utakuwa unafanya vema sana kama utaweza kudigest hii idea. Anyways, ukitulia na kuthink through this ni rahisi sana kukubaliana na mm

Kama Mungu alimuumba Adam na Hawa katika state ya kifo, then tunaweza kuconlude pia kwamba Kifo ni uumbaji wa Mungu. And you will be doctrinally incorrect
 
I also tell young men God is real

Means, ulitaka safari ya moja kwa moja. Lakini hata kusingekwepo na kifo, bado binadamu angeomba afe.
To bealive in God is not about argumentative battle , believe for ur own or not.
 
Sas kama lengo la Mungu mwenye uwezo na ujuzi wote ilikuwa kuumba watu wasife, huoni kuwa project yake ilifail!?

Ilikuwaje akatengeneza mazingira ya dhambi kuwezekana!??

Hujawaza kuwa huyo Mungu ndiyo yuko accountable na mazingira ya dhambi kuwezekana?
 
Habari za jioni waungwana !!

Kwa mwenye mahitaji ya digital BP machine na glucometers kwa ajili ya kumonitor blood pressure na blood sugar anicheki inbox. Bei ni very affordable [emoji1545]

Nawakaribisha PM
 
Kuna tofauti gani ya ulichosema na kitu ambacho hakipo...yaani nothing..

Neno ‘Nothing’ Nii katika ukomo wa uelewa wa five senses. Kinaweza kuwepo lakini haimaanishi ni ‘nothing’

Five senses zinaweza kung’amua as ‘Nothing’ na inaweza kuwa sawa kabisa kwa muktadha huo.

I hope unaelewa.
 
Haya maisha hayana formula, ishi kwa kutenda mema na kuyaacha mabaya huku ukimpendeza Mwenyenzi Mungu
 
Mkuu, unajua kusoma kwa uelewa!?

Saiz hamuwezi kukubali kwasababu watu wamefika huko.

Nkisema Mungu wa mawinguni ndo huyo huyo wa mbinguni.

Unaelewa kuwa mwandishi wa hadithi ya biblia alikuwa na mawazo kuwa mbinguni ni hapo kwenye anga/mawingu kama ilivyo kawaida kuonekana?

Bisha.
 
Then njibu maswali yangu nliyokuuliza kwanini umeyaacha.!?
 
Biblia ni kitabu ambacho mwenye akili timamu akikisoma kwa lengo la kutafuta majibu, anajikuta anaongeza maswali tu.
 
Then njibu maswali yangu nliyokuuliza kwanini umeyaacha.!?

Maswali yote uliyouliza yana-stem up from this incorrect idealogy ya Mungu wa Mawinguni.

So nimedeal na mzizi

I hope it’s clear
 
Je unaamini kila chenye mwanzo kina mwisho? Kama kifo hakingekuwepo, hii dunia ingetosha kubeba watu wote?
Unataka kusema kuwa Mungu muweza wa yote angeshindwa kuumba ulimwengu huo ambao kifo hakiwezekani na dunia ikatosha watu wote milele?
 
Neno ‘Nothing’ Nii katika ukomo wa uelewa wa five senses. Kinaweza kuwepo lakini haimaanishi ni ‘nothing’

Five senses zinaweza kung’amua as ‘Nothing’ na inaweza kuwa sawa kabisa kwa muktadha huo.

I hope unaelewa.
Ukomo wa fibe senses!?

Mkuu sijakuelewa hapa, kuna senses zingine labda!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…