Yani kuna maswali mengi sana hapo."MUNGU angetuuliza kila mmoja kama utakubali kuishi ili uje kufa baadae kuliko kutufanyia umafia kama huu."
Nakazia ni umafia wa hali ya juu sana.
Kwahyo hata swali langu la mwisho nalo umeliinclude humo.Maswali yote uliyouliza yana-stem up from this incorrect idealogy ya Mungu wa Mawinguni.
So nimedeal na mzizi
I hope it’s clear
Unaelewa kuwa mwandishi wa hadithi ya biblia alikuwa na mawazo kuwa mbinguni ni hapo kwenye anga/mawingu kama ilivyo kawaida kuonekana?
Bisha.
Mimi ni mkristo na nina amini katika kuishi kufa na ufufuo.Ni hivi kijana Mungu alimuumba binadamu na lengo la Mungu ni kwamba binadamu asife ,kifo kilikuja baada ya binadamu kutenda dhambi ya kula lile tunda ambalo lilikuwa la kutambua mema Na mabaya Na kabla ya kula tunda binadamu alikua haujui ubaya wowote so kula tunda kulifanya binadamu aondoke kwenye lengo la Mungu Kwa kuujua ubaya,na ubaya ndio uliozaa mauti so mauti ilikuja baada ya binadamu kuujua ubaya automatically kifo kikatokea
Hii ndio hatua ya mwisho ya mtu anaejitoa uhai husema maneno hayoKama tuliumbwa ili tufe ina faida gani kuishi duniani.
Ukomo wa fibe senses!?
Mkuu sijakuelewa hapa, kuna senses zingine labda!?
Tungekua tunaonyeshwa upande wa Pili upoje kabla ya kuvushwa au kutwangwa maswali ya kuelekea hukoMUNGU angetuuliza kila mmoja kama utakubali kuishi ili uje kufa baadae kuliko kutufanyia umafia kama huu.
Mchezo mtamu huuna itakuwa kama paka kuukimbiza mkia wake.
Ndio ipi hio mkuu ?hujakutana na doctrine sahihi ya Mungu.
Ni programming tu hakuna dhambi ni fikra na uelewa wa mwanadamu kuambiwa hiki ni sawa na hiki si sawa kutokana na mafundisho wanayopitiayaani Mungu muweza ya yote alishindwa kubaini kwamba ipo siku binadamu aliyemuumba atakuja kutenda dhambi?
Mkuu, unajua kusoma kwa uelewa!?
Saiz hamuwezi kukubali kwasababu watu wamefika huko.
Nkisema Mungu wa mawinguni ndo huyo huyo wa mbinguni.
Unaelewa kuwa mwandishi wa hadithi ya biblia alikuwa na mawazo kuwa mbinguni ni hapo kwenye anga/mawingu kama ilivyo kawaida kuonekana?
Bisha.
Sasa kama lilishaliwa kwann tufelilishaliwa
Unajua kuna vitu huvielewi I used to be like u but elimu ya mambo ya kiroho ni elimu pana sana na inahitaji imani kuielewa Kuna for nutshell mambo ya rohoni yanaongozwa Kwa kanuni binadamu tuliumbwa Kwa mfano wa Mungu so tuna uwezo mkubwa sana ndani yetu nafsi yako inauwezo wa kufanya maamuzi binafsi rejea kwenye mfano wa ibrahim wakati Mungu anampa mtihani wa kumpima imani Kwa kumtoa sadaka mwanawe so kama Mungu angekua anajua ya kwamba ibrahimu hawezi Kwa nn Mungu alimjaribu ibrahimu so Kuna nguvu flani Au nafsi flani binadamu kapewa ambayo Mungu hawezi kuijua
Hujajibu maswali yangu bado.Nimekuuliza swali juu ya source ya mtu..
Umejibu haujui nini source yake
Then kama hujui, naweza kusema pasipo shaka kwamba umekurupuka sana kujibrand ATHEIST kama kuna mambo kwako bado hayaeleweki.
Yaani uko katika upande ambao bado una sintofahamu nyingi. Ungekuwa muungwana sana kubaki hapo katikati huku ukiendelea kufanya research
Hujanijibu swali langu kabla ya kukataa Huyo Mungu wa kwenye biblia siyo wa mawinguni.Ufahamu ulionao ni wa kutoka kwenye mafikara ya watu, mfano. Mungu wa mawinguni, and then kutokea hapo unajenga endless chain of theories na maswali ambayo namna pekee ya kujibu ni kuweka sawa msingi wako wa uelewa.
Sikuzote tunaaddress shida inakoanzia
Shida yako wewe, ni hujakutana na doctrine sahihi ya Mungu.
Hujajibu maswali yangu bado.
Wapi atheism inadai kuwa inajua asili source ya mwanadamu!?
Nani aulimsikia wewe akisema kuwa anajua watu walitokea wapi!?
Hauelewi hata atheist ni mtu wa aina gani.
Kwahyo wewe upande wako hauna sintofahamu kwa kujipa jibu la uongo.?
Hujanijibu swali langu kabla ya kukataa Huyo Mungu wa kwenye biblia siyo wa mawinguni.
Kwanza hujathibitisha kuwa huyo Mungu wako yupo, halafu unataka nitafute muongo aliyesahihi ili anifunze.
Halafu Nmekwambia kuwa mwanafasihi yule wa biblia aliandika mbinguni akimaanisha kuwa ni mawinguni. Ila saiz watu wanafika hawaoni kitu mawinguni nyie kizazi kipya mmeamua kubadilisha.
Nkakwambia bisha..!
Ni hivi kijana Mungu alimuumba binadamu na lengo la Mungu ni kwamba binadamu asife ,kifo kilikuja baada ya binadamu kutenda dhambi ya kula lile tunda ambalo lilikuwa la kutambua mema Na mabaya Na kabla ya kula tunda binadamu alikua haujui ubaya wowote so kula tunda kulifanya binadamu aondoke kwenye lengo la Mungu Kwa kuujua ubaya,na ubaya ndio uliozaa mauti so mauti ilikuja baada ya binadamu kuujua ubaya automatically kifo kikatokea
Unauhakika gani kuwa kadamnas yake ilikuwa haiwezi kuelewa.Hapana Mwandishi alielewa wazi kabisa kwamba Mungu haishi katika mawingu.
Alitumia mawingu kama kielelezo kufundisha mambo ya rohoni.
Kumbuka kadamnasi yake ilikuwa haiwezi kuelewa kwa ufasaha mambo ya rohoni. Hivo kama mwandishi na mwalimu ilimpasa kutumia vielelezo kama mawingu, matunda, miti n.k ili kufundisha mambo yasiyoonekana yaani mambo ya rohoni
Unauhakika gani kuwa kadamnas yake ilikuwa haiwezi kuelewa.
Mambo ya rohoni ni yapi!?
Rohoni ni wapi?
Hujanieleza roho ni kiti gan, maybe ni mtu mwingine.Unazunguka tena kwenye maswali yale yale ambayo nimeshakujibu.
Roho na rohoni nimeshakuelezea vizuri kabisa.
Bro if the shoe fits, wear it.
Huwezi shindana na facts
Kweli zitabaki kuwa kweli
Ninao uhakika kwamba kadamnasi yake ilikuwa haiwezi kuelewa kwa sababu Mwandishi mara nyingi katika uandishi wake amekuwa akiwashutumu kama ni watu wenye mioyo mizito na migumu kuelewa au kuamini mambo ya rohoni (Kumb 30:11-16)
Pia Mwandishi wa Waebrania anaaddress the same issue ya kutokuamini kwao (Ebrania 4:1-4)
Soma hizo scriptures then come back