Unazunguka tena kwenye maswali yale yale ambayo nimeshakujibu.
Roho na rohoni nimeshakuelezea vizuri kabisa.
Bro if the shoe fits, wear it.
Huwezi shindana na facts
Kweli zitabaki kuwa kweli
Ninao uhakika kwamba kadamnasi yake ilikuwa haiwezi kuelewa kwa sababu Mwandishi mara nyingi katika uandishi wake amekuwa akiwashutumu kama ni watu wenye mioyo mizito na migumu kuelewa au kuamini mambo ya rohoni (Kumb 30:11-16)
Pia Mwandishi wa Waebrania anaaddress the same issue ya kutokuamini kwao (Ebrania 4:1-4)
Soma hizo scriptures then come back
Hujanieleza roho ni kiti gan, maybe ni mtu mwingine.
Hapo umeleta ushahidi wa kifungu mtunzi akielezea watu wenye moyo mzito ambao kwanza haiendani na muktadha.
Hiyo inaitwa bible falacy.
Ujue mtindo na dhima ya fasihi yoyote ile huwa inabaki kwa mtunzi mwenyewe.
Unaweza kunieleza nini kimekufanya kudhani kuwa mwandishi alipokuwa akisema mbingu hakumaanisha mwisho wa uono hapo kwenye mawingu (firmament) na ukachukulia kuwa alikuwa anatumia kama mifano tu eti kisa wana mioyo mizito?
Unadhani kwanini mwandishi aliamua kutumia lugha hiyo kwa watu wale ilihali kitabu alikuwa anakitunga kwa ajili ya kusomwa hadi zama kama hizi!?
Tuelewane tu, huu ni ukweli usiopingika Ukisoma kwa uelewa na action unajua kabisa kuwa Mungu yuko juu tena ni kwenye mawingu.
Wajenzi wa mnara wa babeli walitaka kumuona Mungu, sasa jamaa alikuwa mawinguni akapelekewa taarifa kuwa watu wake wanataka kumfikia,
Sasa jamaa huyo wa mawinguni akastuka akaja kukwamisha project.
Inamaana walifikia height gani ya kujenga mnara huo hadi jamaa astuke!?
Hii ni moja ya hadithi ukisoma kwa uelewa unajua kabisa kuwa huyu Mungu anaishi juu hapo kwenye tu kwenye mawingu.
Embu niambie sasa Nini kimekufanya wewe kujua kuwa mbingu hakumaanisha ni hapo mawinguni tu?