Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

At first kwa nini mungu aruhusu hiyo dhambi itokee ?
 
Hivi kweli Mungu hakujua ya kwamba viumbe aliowaumba yeye watakuja kula tunda walilokatazwa?
Kama Mungu anajua future zetu iweje hakutambua hilo?
Nafikiri atakuwa alijua, lakini hakutaka kutuamlia...issue ya kula au kutokula ilikuwa juu ya adam na hawa hata kama Mungu aliona dhahiri kuwa wangekula...

af kuna mtu kasema kuwa bible ni coded book ukiangalia kwa upana its about nani anapaswa kutawala Mungu mwenyewe au mwanadamu ajitawale kwa msaada wa shetani., ndo maana hata ukiangalia kwa mapana unaona kabisa kuna mtu behind these big nations.
 
Usitegemee kupata majibu ya kueleweka hapa. Hakuna mwanadamu atakupa jibu sahihi kuhusu hili Jambo.
 

Sio kwamba Mungu aliweka mambo mawili ili Mwanadamu achague, bali Mungu alimpa mwanadamu offer ya uzima tu, hakuweka mauti mbele yake. Aliweka uzima tu kama chaguo moja
Shida ni kwamba mtu akikataa uzima ndio automatically inaelezewa kama amechagua mauti. Sio kwamba Mungu ameweka uzima na mauti mbele yake.

Au sio kwamba Mungu aliweka matunda ya uzima na matunda ya ujuzi wa mema na mabaya, hapana. Mwandishi wa Mwanza ametumia lugha hizo kuwasilisha doctrine yake kwa wepesi.
 

Maandiko ya agano la kale ni maandiko yameandikwa miaka elfu nyingi iliyopita.
Kuna gape kubwa sana la kitamaduni, mtindo wa mawasiliano, nk kati ya jamii ile na ya leo.

Hivo kuelewa nini maana ya kilochoandikwa utahitaji kuconsider mambo mengi sana ile uweze kujua mwandishi alikusudia nini katika uandishi wake.

Ndio maana bible study ni shughuli hasa, huitaji kuruka ruka na kuguess maana za maandiko.

Kukosa kufanya hivo, ni rahisi sana kuishia kuconclude kwamba story hii ni ya kijinga na ya uwongo.

Unahitaji mwalimu sahihi akufunze sahihi
 
Ukitaka kujua umuhimu wa wewe kuwa hapa duniani ni lazima kimoja katika miili yako miwili ife kwanza alfu mwili mwingine ubaki ndio waweza iona dunia katika hali ya utofauti
 
Sio tu kufa pekee!

Bali adhabu ya moto wa milele kwa wale ambao hawakumfurahisha aliewaumba hapa Duniani!!

Hayo nayo ni mateso makali mno kwetu tena unapowaza kwa kina!!!
 
Unamuuliza nani? Kamuulize aliyetuumba
 
Biggest robbery! Dunia haitajaa kamwe
Mkuu there is a new system of thngs coming

revelation 21:4:"AND HE WILL WIPE OUT EVERY TEAR FROM THEIR EYES, AND DEATH WILL BE NO MORE, NEITHER WILL MOURNING NOR OUTCRY NOR PAIN BE ANYMORE. THE FORMER THINGS HAVE PASSED AWAY".

Verse 5: "And the one seated on the throne said: LOOK I AM MAKING ALL THINGS NEW..
 

Mkuu, Mungu alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao mabaya hayawezi kutokea!?

Nkisema mabaya namaanisha uovu wote wa kuuana na kuibiana.
Mabaya kama vile matetemeko, Tsunami n. K

Je alikuwa anaweza kuumba ulimwengu ambao hayo mambo hayawezi kutokea?
 
Mkuu,
Mungu angekuwepo kweli kwa sifa alizo nazo wala hatukuhitaji kitabu kumuelewa.
Kitabu kinapitwa na wakati, Mungu hakujua haya kamaa yatatokea,
Hakujua kama kitabu kitapitwa na wakati aje asababishe utata na ugumu wa kuelewa maneno yake kulingana na tofauti ya tamaduni?

Kwasababu Huyo Mungu hajawahi kujionesha na kujihubiri mwenyewe na anategemea watu ndo wamhubiri huu pia ni udhihirisho kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo na wala hana uwezekano wa kuwepo.
 
🤣Story ya nuhu lazma uforce miujiza kila kipande ili imake sense
 
Big nation ipi Sasa maana zamani big nation ilikuwa Egypt baadae Roman baadae vikings baadae ottoman baadae Britain baadae USSR baadae USA...so bible inasema kuhusu big nation yupi
 
We ukisoma gazeti unahitaji mwalimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…