Faida ya kuishi duniani ni ipi kama tulizaliwa ili tufe?

Kifo ni natural binadamu au kiumbe chochote kile hakijawahi kuishi milele Wala Biblia haijasema popote binadamu alikuwa anaishi milele, so tulia
Ataishi milele baada ya kuondoka Duniani.
Ukishasema natural hapo unamgusa Mungu.Inapoishia sayansi ndipo Mungu uanza.
 
Habari zenu,

Natumaini wote wazima.

Huwa najiuliza swali hili kila siku. Na jibu sijawahi kupata, sasa kuna umuhimu gani wa kuishi duniani hali ya kuwa utakufa?

Biblia inasema kuwa Adamu na Hawa walikula tunda pale edeni eti ndo sababu tunakufa. Ina maana kuwa kifo hakikuwa kabla ya kula lile tunda na hata sijui nitunda gani hilo, biblia imetuficha kutupa ukweli.

Sasa kifo na tunda linahusiana na nini? kama MUNGU hakutaka Adam na Hawa wale lile tunda yanini aliliweka kwenye bustani ya edeni? majaribio mengine bana.

Hilo tunda lina ubaya gani? Kitu umekiumba kwanini ukataze kisiliwe? Biblia imetudanganya hapo.

Jamani hata kwa akili ya kawaida kweli upande mazao yako shambani halafu ukataze familia yako kula kweli inakuja? Biblia imeficha ukweli.

Hivi kweli uzae watoto wako alafu uje kuwauwa kisa hawajakutii au hawajafanya utakacho??

Kama tuliumbwa ili tufe ina faida gani kuishi duniani. MUNGU angetuuliza kila mmoja kama utakubali kuishi ili uje kufa baadae kuliko kutufanyia umafia kama huu.

Mtu unahangaika kutafuta maisha kwa kila hali hata mda mwingine hupati milo yako vizuri ili kujibana upate maisha manzuri, sasa unafanya yote ya nini wakati utakufa?

Mambo haya yanachanganya kichwa sana.
MWILI unakufa. Roho haifi. Roho inaishi milele.
 
Maisha ni fumbo kubwa, mleta mada sidhani kama utapata jibu la kuridhisha humu... amini tu ndugu yangu.
Sometimes mimi naamini sisi yaani 'uumbaji' ni mradi wa Mungu. We are created at his pleasure , ili tumuabudu tuuu... yaani ni fahari ya Mungu tu sisi tuwepo, tumuabudu, na hiyo ndio lengo la uumbaji..., so usitafute faida ya maisha kwako, ila ujue wewe ni mradi wa Mungu. Ndio maana mtume Paulo alisema" Kuishi ni Kristo, na kufa ni faida", yaani tunaishi kwa faida ya Mungu...
 
Genesis 3:22
[22]Then the Lord God said, “Now the man has become like one of us and has knowledge of what is good and what is bad. He must not be allowed to take fruit from the tree that gives life, eat it, and live for ever.”

Ni wazi kuwa mwanadamu alivunja amri aliyopewa kwa kula tunda, ambapo inaonekana kutokana kuwa na ufahamu wa mema na mabaya, kungepelekea binadamu kuwa na kiburi cha uzima. Hivyo ili aendelee kumtii huyo aliyempatia pumzi ndio sababu Mungu aliona ni vema waondolewe katika ile bustani wasije wakaishi milele. Msingi wa yote haya ni kutii maagizo.

Muda pia uliwekwa kama kigezo cha kudhibiti mwanadamu ili atambue kusudi la uwepo wake hapa duniani. Mahala anapoishi si kigezo kwa wakati wa sasa kwasababu ya teknolojia ya usafiri kuimarika sana ila kwa wakati wao mambo hayo hayakuwepo.

Acts 17:26-28
[26] From one human being he created all races on earth and made them live throughout the whole earth. He himself fixed beforehand the exact times and the limits of the places where they would live.

[27] He did this so that they would look for him, and perhaps find him as they felt about for him. Yet God is actually not far from any one of us;
 
Kwa taarifa yako hata kama Adam na Eva wasingekula tunda la mti wa katikati bado tungekufa tu,isipokuwa kifo hicho kingekuwa tofauti na hiki tunachokufa sasa.Kifo ambacho tungekufa ni kile kifo cha Furaha na Amani,watu wangekuwa wanajua watakufa lini na wanaingoja siku hiyo kwa hamu kubwa ambapo wangekuwa wanafanya sherehe ya kuagana na wapendwa wao,aidha kifo kingekuwa ni namna tu ya kumtransform mtu kutoka maisha haya kwenda kwenye maisha yenye utukufu zaidi,miili yetu isingeozea udongoni tungekuwa tunakufa halafu tunapalizwa mbinguni km Bikira Maria vile,kifupi Kifo kingetamaniwa na wengi maana kisingeonekana km ni adhabu bali ni njia ya kumfikia Mungu wetu moja kwa moja.
 
Mkuu,
Mungu angekuwepo kweli kwa sifa alizo nazo wala hatukuhitaji kitabu kumuelewa.
Kitabu kinapitwa na wakati, Mungu hakujua haya kamaa yatatokea,
Hakujua kama kitabu kitapitwa na wakati aje asababishe utata na ugumu wa kuelewa maneno yake kulingana na tofauti ya tamaduni?

Kwasababu Huyo Mungu hajawahi kujionesha na kujihubiri mwenyewe na anategemea watu ndo wamhubiri huu pia ni udhihirisho kuwa Mungu muweza wa yote mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo na wala hana uwezekano wa kuwepo.

Ndio maana nasema unahitaji mwalimu sahihi kujifunza vizuri juu ya wasifu wa Mungu, utendaji wake, mipaka yake na yote anayoweza kufanya.
Taarifa ulizonazo kuhusu Mungu ni half baked, na sio za kweli.

Wengi wanaweza dhani wanamjua Mungu lakini ukweli
Tukubaliane tu kwamba kila elimu inahitaji ukutane na wataalamu wake ukajifunza sahihi.

Utahitaji kukaa darasani kama unataka kujifunza udaktari, uinjinia, uanasheria n.k

Lakini inapokuja suala la mambo ya Mungu, kila mtu kwa sababu anaweza kusoma bible basi anaamini anaweza kujua kila kitu na kuweza kuconclude mambo. Haiko hivo mkuu.

Elimu ya Mungu nayo inapitia mchakato ule ule kama elimu nyingine, mtu anakaa darasani anajifunza anapata kuelewa.

Sio kwasababu Mungu ni mweza yote basi tungepaswa kuwa tunajua yote automatically. No. Hapo hatungekuwa na maana ya kuwa binadamu. Tungekuwaga tu wote wanyama kama fisi n.k

Lakini fact ya Mungu kumuumba mtu ni ili mtu awe na uhuru wa kumchagua huyo Mungu.

Kama ambavyo wewe ndugu smotor umechagua kumkataa basi huo ndio mpango wa Mungu kwa kila binadamu kwamba achague Mungu au la. Na sio Mungu alazimishe mtu.
 
Ataishi milele baada ya kuondoka Duniani.
Ukishasema natural hapo unamgusa Mungu.Inapoishia sayansi ndipo Mungu uanza.
Sayansi haiishi that's the point. Dini ni kisingizio na Sayansi sio Kama kitabu kina mwanzo na mwisho wake. Everything in nature is science. It is the study of living and non living things so Kama Mungu yupo na ni yu hai angeweza kupimika kisayansi. Kama ni miujiza mbona haitokei in this era ya cameras na magazeti, Kama ni kuponywa mbona watu kibao wanaumwa na kufa wakisali, Kama bible ni historia mbona archeology na anthropology inatupa evidence tofauti, Kama yupo mawinguni mbona tumepanda ndege na rocket hatumwoni, 🤣eti Sayansi ikiisha Mungu anaanza, this is an excuse ili kumficha Mungu na kuweka wajinga in religious control. Leo hii ukiumwa malaria unaenda pharmacy/hospital au unaenda kanisani, Leo hii ukitaka kujua mvua itanyesha unasali uote majibu au unaangalia weather forecast, unategemea Sayansi katika maisha yako yote afu kwenye kufikiria unajikuta unasema Mungu Mungu, 😅 wenzetu washatoka huku
 
Maisha ni fumbo kubwa, mleta mada sidhani kama utapata jibu la kuridhisha humu... amini tu ndugu yangu.
Sometimes mimi naamini sisi yaani 'uumbaji' ni mradi wa Mungu. We are created at his pleasure , ili tumuabudu tuuu... yaani ni fahari ya Mungu tu sisi tuwepo, tumuabudu, na hiyo ndio lengo la uumbaji..., so usitafute faida ya maisha kwako, ila ujue wewe ni mradi wa Mungu. Ndio maana mtume Paulo alisema" Kuishi ni Kristo, na kufa ni faida", yaani tunaishi kwa faida ya Mungu...
1. Unajuaje Mungu kakuumba?
2. Unajuaje anataka umuabudu?
3. Unajuaje unamuabudu Mungu sahihi?
4. Kwa Nini Mungu aumbe galaxies billion zenye nyota billions alafu atake vibinadamu vimuabudu yeye anapata faida gani, ye Ni muweza yote angeweza tu kufanya tumjue na kumuabudu Ila anatumia nguvu nyingi vitisho vingi why...🤣 something isn't ryt
 
Genesis 3:22
[22]Then the Lord God said, “Now the man has become like one of us and has knowledge of what is good and what is bad. He must not be allowed to take fruit from the tree that gives life, eat it, and live for ever.”

Ni wazi kuwa mwanadamu alivunja amri aliyopewa kwa kula tunda, ambapo inaonekana kutokana kuwa na ufahamu wa mema na mabaya, kungepelekea binadamu kuwa na kiburi cha uzima. Hivyo ili aendelee kumtii huyo aliyempatia pumzi ndio sababu Mungu aliona ni vema waondolewe katika ile bustani wasije wakaishi milele. Msingi wa yote haya ni kutii maagizo.

Muda pia uliwekwa kama kigezo cha kudhibiti mwanadamu ili atambue kusudi la uwepo wake hapa duniani. Mahala anapoishi si kigezo kwa wakati wa sasa kwasababu ya teknolojia ya usafiri kuimarika sana ila kwa wakati wao mambo hayo hayakuwepo.

Acts 17:26-28
[26] From one human being he created all races on earth and made them live throughout the whole earth. He himself fixed beforehand the exact times and the limits of the places where they would live.

[27] He did this so that they would look for him, and perhaps find him as they felt about for him. Yet God is actually not far from any one of us;
1. Cha kwanza it's biologically impossible watu wawili kuanzisha species nzima ya watu Kama unabisha soma genetics
2. Una prove gani Mungu yupo
 
Kwa taarifa yako hata kama Adam na Eva wasingekula tunda la mti wa katikati bado tungekufa tu,isipokuwa kifo hicho kingekuwa tofauti na hiki tunachokufa sasa.Kifo ambacho tungekufa ni kile kifo cha Furaha na Amani,watu wangekuwa wanajua watakufa lini na wanaingoja siku hiyo kwa hamu kubwa ambapo wangekuwa wanafanya sherehe ya kuagana na wapendwa wao,aidha kifo kingekuwa ni namna tu ya kumtransform mtu kutoka maisha haya kwenda kwenye maisha yenye utukufu zaidi,miili yetu isingeozea udongoni tungekuwa tunakufa halafu tunapalizwa mbinguni km Bikira Maria vile,kifupi Kifo kingetamaniwa na wengi maana kisingeonekana km ni adhabu bali ni njia ya kumfikia Mungu wetu moja kwa moja.
🤣🤣🤣🤣🤣Hii story umeisoma wapi jamani
 
Ndio maana nasema unahitaji mwalimu sahihi kujifunza vizuri juu ya wasifu wa Mungu, utendaji wake, mipaka yake na yote anayoweza kufanya.
Taarifa ulizonazo kuhusu Mungu ni half baked, na sio za kweli.

Wengi wanaweza dhani wanamjua Mungu lakini ukweli
Tukubaliane tu kwamba kila elimu inahitaji ukutane na wataalamu wake ukajifunza sahihi.

Utahitaji kukaa darasani kama unataka kujifunza udaktari, uinjinia, uanasheria n.k

Lakini inapokuja suala la mambo ya Mungu, kila mtu kwa sababu anaweza kusoma bible basi anaamini anaweza kujua kila kitu na kuweza kuconclude mambo. Haiko hivo mkuu.

Elimu ya Mungu nayo inapitia mchakato ule ule kama elimu nyingine, mtu anakaa darasani anajifunza anapata kuelewa.

Sio kwasababu Mungu ni mweza yote basi tungepaswa kuwa tunajua yote automatically. No. Hapo hatungekuwa na maana ya kuwa binadamu. Tungekuwaga tu wote wanyama kama fisi n.k

Lakini fact ya Mungu kumuumba mtu ni ili mtu awe na uhuru wa kumchagua huyo Mungu.

Kama ambavyo wewe ndugu smotor umechagua kumkataa basi huo ndio mpango wa Mungu kwa kila binadamu kwamba achague Mungu au la. Na sio Mungu alazimishe mtu.
🤣Bible hata mtoto wa la Saba anaweza soma na akajua imetungwa na binadamu bana... Mungu mweza yote na mjua yote asingeruhusu kitabu Cha kuleta madhehebu laki moja kisa tu hakieleweki. Hata wewe unaweza soma ukatafsiri unavyoweza ukaanzisha dhehebu na we ukala sadaka za watu
 
Sayansi haiishi that's the point. Dini ni kisingizio na Sayansi sio Kama kitabu kina mwanzo na mwisho wake. Everything in nature is science. It is the study of living and non living things so Kama Mungu yupo na ni yu hai angeweza kupimika kisayansi. Kama ni miujiza mbona haitokei in this era ya cameras na magazeti, Kama ni kuponywa mbona watu kibao wanaumwa na kufa wakisali, Kama bible ni historia mbona archeology na anthropology inatupa evidence tofauti, Kama yupo mawinguni mbona tumepanda ndege na rocket hatumwoni, 🤣eti Sayansi ikiisha Mungu anaanza, this is an excuse ili kumficha Mungu na kuweka wajinga in religious control. Leo hii ukiumwa malaria unaenda pharmacy/hospital au unaenda kanisani, Leo hii ukitaka kujua mvua itanyesha unasali uote majibu au unaangalia weather forecast, unategemea Sayansi katika maisha yako yote afu kwenye kufikiria unajikuta unasema Mungu Mungu, 😅 wenzetu washatoka huku
Mbona bible archeology historical site nyingi tu zimeproof evidence mfano kutabiri matukio ya Leo ambayo hayakuwepo hata kabla ya sayansi kuproof mfano tawala za farao, utawala wa Rumi,kuibuka kwa uislam,nk.kaburi la Yesu, farao, pyramids,nk
Sio kila kitu upimika kisayansi, sayansi ni branch tu ya masomo katika aina zingine mamilioni za masomo yaliyopo Duniani,
 
[emoji1787]Bible hata mtoto wa la Saba anaweza soma na akajua imetungwa na binadamu bana... Mungu mweza yote na mjua yote asingeruhusu kitabu Cha kuleta madhehebu laki moja kisa tu hakieleweki. Hata wewe unaweza soma ukatafsiri unavyoweza ukaanzisha dhehebu na we ukala sadaka za watu

Hata elimu ya udaktari na uinjinia imetungwa na binadamu. Unaweza pia ukajifungia ukasoma vitabu vyake ukawa daktari au injinia bila mwalimu[emoji23]
 
We ukisoma gazeti unahitaji mwalimu

Kwani kusomea urubani unahitaji mwalimu? Kama ni ndio basi hata bible utahitaji mwalimu.

Bible sio gazeti, ile ni doctrine mzee, unakaa class unafundishwa, hutaki utaendelea kumjulia Mungu vijiweni
 
Mbona bible archeology historical site nyingi tu zimeproof evidence mfano kutabiri matukio ya Leo ambayo hayakuwepo hata kabla ya sayansi kuproof mfano tawala za farao, utawala wa Rumi,kuibuka kwa uislam,nk.kaburi la Yesu, farao, pyramids,nk
Sio kila kitu upimika kisayansi, sayansi ni branch tu ya masomo katika aina zingine mamilioni za masomo yaliyopo Duniani,
🤣Ehe mbona huongelei kwamba hamna archaeological evidence ya Musa au story nzima ya kutoka na vita za Joshua. Mbona husemi? Au ni Imani tu? Ila vingine unatafuta Sayansi ili ikusapoti
 
Hata elimu ya udaktari na uinjinia imetungwa na binadamu. Unaweza pia ukajifungia ukasoma vitabu vyake ukawa daktari au injinia bila mwalimu[emoji23]
Ndo hivyo so Biblia haina uspecial wowote Ila tofauti ya engineering magari yaliyotengenezwa miaka 1900 na saa hivi ni tofauti... Science accepts mistakes n changes to the better, religion denies mistakes and holds the world back from development
 
Back
Top Bottom