Faida ya mabarafu kwenye recovery ya wachezaji

Faida ya mabarafu kwenye recovery ya wachezaji

Umeandika vyema na umeelewweka mkuu ila Kuna watu ukimwambia akae hata kwa sekunde 5 hawez
 
Umeandika vyema na umeelewweka mkuu ila Kuna watu ukimwambia akae hata kwa sekunde 5 hawez
Hata wachezaji wenyewe wanauma meno wakiwa mule hasa kwa sekunde za kwanza ndani ya mabarafu. Ila kuna muda maalumu wa kukaa mule.
 
Weka mkazo hapo kwenye "mwili kuwasha mitambo yake yote...!"

Nimepata shule ya muhimu sana. Thanks sana
Mwili ni zaidi ya computer, kusudi la Mungu halikuwa kuishi kwenye nyumba na kuota moto Wala kuvaa majaketi na masweater. Alikusudia mwili wenyewe upambane na joto, baridi, mvua, upepo na majanga mengine kwa mtindo wa survival of the fittest. Kubali mwili wako upambane badala ya kuupambania.
 
Back
Top Bottom