Mwili ni zaidi ya computer, kusudi la Mungu halikuwa kuishi kwenye nyumba na kuota moto Wala kuvaa majaketi na masweater. Alikusudia mwili wenyewe upambane na joto, baridi, mvua, upepo na majanga mengine kwa mtindo wa survival of the fittest. Kubali mwili wako upambane badala ya kuupambania.