Samico Tanzania
JF-Expert Member
- Feb 6, 2022
- 791
- 1,852
No! Marry for Purpose, peace is for you're choiceMarry for peace
Marry for peace
Marry for peace
Marry for peace
Marry for peace.
Hujaelewa wapi mpendwaYani nimesoma na sijaelewa
Sijui ndio nyagi au nini
Ndoa bora huleta taifa bora, malezi bora huleta taifa bora na viongozi boraKunyweni pombe zilizopimwa
Hukutegemea faida lakini ulipoona inakuleta hasara ukaiacha!Nimekuelewa ila mimi sikutegemea faida kwenye ndoa ila nilivyoona ndoa inaniletea hasara nimeamua nijiweke pembeni watoto wale tu hasara
Kiasi fulani umeongea facts,kongole kwakoHabari wapendwa!
Taasisi ya ndoa imekumbwa na mitikisiko mingi hivi karibuni kutokana na changamoto mbali mbali!
Sababu kubwa inayopelekea hayo yote ni matarajio makubwa ya wenza katika ndoa.
UKWELI ni kwamba WANUFAIKA WAKUBWA WA NDOA NI WATOTO Siyo WANANDOA!
Wanandoa ni watu wawili waliokubaliana kutumikiana!
Ndoa nyingi zinakufa siku hizi kwasababu wenza wanataka kuona faida kwenye ndoa zaidi kuliko kutumika!
Ukikataa kuitumikia ndoa yako hufai kuwa miongoni mwa wanandoa!
Kama hukupata FAIDA YA NDOA YA WAZAZI WAKO usitumike kuwakatili watoto wako kuona faida ya ndoa yenu kama wazazi!
Tendo la ndo SIYO FAIDA YA NDOA, Bali FAIDA KUU YA ndoa ni kulea watoto katika umoja wa baba yao na mama yao
Kabla ya kuoa au kuolewa tambua unakwenda kutumika kwa faida ya uzao wako!
WASIOTAKA KUTUMIKA WASIPOTEZE MUDA HAKUNA FAIDA KWENYE NDOA!
Bali nyie wenza wawili (wanandoa) ndiyo mtaji kwa faida ya watoto wenu!
Mkioana ninyi faida ni kwa watoto; Mkiachana ninyi HASARA ni kwa watoto wenu.
NGONO IPO KWA WOTE WENYE UCHI LAKINI NDOA NI YA WACHACHE WALIOJITOA KUTUMIKIANA KWA FAIDA YA WENGINE
Lakini nanyi wazee si huwa mnaoa mabinti ili wawatumikie na kuwahudumia katika uzee wenu ...huko chumbani ukishindwa kujihudumia mtoto hawezi kuingia chumbani bali ni mke au mjukuuOeni vijana na umri wangu 70yrs nipo single kma macmuga
Wanandoa wajiheshimu wao kwanza kwa kutambua wajibu wao ili waheshimike na wote!Ndoa na iheshimiwe na watu wote!
Ndoa si kwa watu legelege - hasa wanaume
SawaKunyweni pombe zilizopimwa
One for the roadKunyweni pombe zilizopimwa
Hapana mjukuu wangu secretarybird na mkewe wananihudumia kwenye chakula na malazi still niko vzr Ila mambo ya sex nop nisije kufa na presha na kisukari mjukuuLakini nanyi wazee si huwa mnaoa mabinti ili wawatumikie na kuwahudumia katika uzee wenu ...huko chumbani ukishindwa kujihudumia mtoto hawezi kuingia chumbani bali ni mke au mjukuu
Sasa kama hukuoa, hujaoa huoni ni changamoto babu yangu?