Faida ya ndoa ni hii kama hujui hili usioe wala kuolewa bakia single tu hustahili

Kwamba kila wanandoa wana familia? Au malengo ni familia? (Watoto)?

Umepuyanga, faida ya ndoa ni tendo, na ndio muungano husika, bila tendo hiyo sio ndoa na ni ubatili.

Hilo la kutumikiana ni sawa, ila sio kwa hoja ya watoto.

....
 
Tendo la ndoa siyo faida ya ndoa bali ni miongoni mwa majukumu ya wanandoa!

Ukioa ukitegemea faida ya tendo hiyo ndoa imekufa kabla ya kuanza ni suala la muda tu!

Matamanio ya tendo la ndoa huwa yana nguvu zaidi kwa siku 90 tu baada ya hapo mazoea yanaendelea!
 
Back
Top Bottom