secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
HahahaHapana mjukuu wangu secretarybird na mkewe wananihudumia kwenye chakula na malazi still niko vzr Ila mambo ya sex nop nisije kufa na presha na kisukari mjukuu
HahahaHapana mjukuu wangu secretarybird na mkewe wananihudumia kwenye chakula na malazi still niko vzr Ila mambo ya sex nop nisije kufa na presha na kisukari mjukuu
Unacheka nn mjukuu 🤔Hahaha
We kijana wa buku Be unaniita mjukuu?Unacheka nn mjukuu 🤔
Unanikosea mjukuu wanguWe kijana wa buku Be unaniita mjukuu?
Kwa hakika heshima imeshuka.
Vijana siku hizi kweli mmeharibikaUnanikosea mjukuu wangu
Umesikia nashikwa matako au ?Vijana siku hizi kweli mmeharibika
Mmekosa chembe ya adabu.Umesikia nashikwa matako au ?
Ashuo 😏Mmekosa chembe ya adabu.
Niamke zangu me niende mikocheni nikasalimie watuMmekosa chembe ya adabu.
Nimecheka sanaNimekuelewa ila mimi sikutegemea faida kwenye ndoa ila nilivyoona ndoa inaniletea hasara nimeamua nijiweke pembeni watoto wale tu hasara
Fimbo irudishwe.Ashuo 😏
Km ni hivi hakuna faida ya kuoa, Ndoa ni Tendo la Ndoa km hakuna Tendo la Ndoa hakuna Ndoa hapo hata km mna watoto, na mahakama inaruhu ndoa kuvunjwa ikiwa hakuna Tendo la Ndoa, elewaTendo la ndo SIYO FAIDA YA NDOA, Bali FAIDA KUU YA ndoa ni kulea watoto katika umoja wa baba yao na mama yao
Tendo la ndoa SIYO FAIDA ya ndoa bali ni miongoni mwa MAJUKUMU ya WANANDOA!Km ni hivi hakuna faida ya kuoa, Ndoa ni Tendo la Ndoa km hakuna Tendo la Ndoa hakuna Ndoa hapo hata km mna watoto, na mahakama inaruhu ndoa kuvunjwa ikiwa hakuna Tendo la Ndoa, elewa
Niende mikocheni nikasalimie watu wangu ndo muda wa kuvizia Cha mchana mpk nifike wanaepuaFimbo irudishwe.
Kama hustahili kataa maana utawatesa watotoKataa ndoa
You're wrongTendo la ndoa SIYO FAIDA ya ndoa bali ni miongoni mwa MAJUKUMU ya WANANDOA!
Unaoa ili utumike na kutumikia kwa faida ya uzao wako na si kwa faida zenu wanandoa
You're rightYou're wrong