Faida za kupaka mafuta nyayoni wakati wa kulala (usiku)

Faida za kupaka mafuta nyayoni wakati wa kulala (usiku)

Mleta mada hujawa specific. Mafuta ya aina gani unazungumzia yoyote ama. Em jazia jazia tu nyama nyama tukuelewe!
 
Nilipoanza kusoma post nilihisi mwishoni itahitimishwa na tangazo, je yanapatikana wapi na bei gani?
Ndg yangu haya ni mafuta ya kawaida tu mfano vasseline ya mgando.
Unapjifanyia masaji nyayo zako jiandae kwa usingizi mnono.
Kuna siri kubwa sana katika kutreat nyayo zako vizuri.
Kuwa makini na aina ya viatu unavyovaa na uhakikishe ndani ya kiatu kuna ulaini mzuri unapokanyaga
 
Je unafahamu faida za kutembea peku?, Kwanini wa tembea peku hawazeeki upesi na hawapati utipwatipwa bali miili yao huwa imara zaidi ya nyie maofisa?
Unapotembea peku unaruhusu mchanga uufanyie unyayo wako masaji bora kabisa
 
Ndg yangu haya ni mafuta ya kawaida tu mfano vasseline ya mgando.
Unapjifanyia masaji nyayo zako jiandae kwa usingizi mnono.
Kuna siri kubwa sana katika kutreat nyayo zako vizuri.
Kuwa makini na aina ya viatu unavyovaa na uhakikishe ndani ya kiatu kuna ulaini mzuri unapokanyaga
Ukitaka Ubongo wako usifanye kazi kabisa vaa kiatu kinachokubana au kisicho sababisha mguu ukarilax
 
Hili ni kweli kabisa, hata wewe au mtoto akiwa na homa au mafua mpake mafuta ya kitunguu saumu au kitunguu maji nyayoni au vicks nyayoni na pali la uso usiku atapona, pia atalala vizuri, tatu Hakuna nguvu yeyeto ya giza itaweza mdhuru.
 
Je unafahamu faida za kutembea peku?, Kwanini wa tembea peku hawazeeki upesi na hawapati utipwatipwa bali miili yao huwa imara zaidi ya nyie maofisa?
Hata wenye shida ya stroke hutembea peku na huwa inashauriwa mtoto apate mda wa kutembea peku kwa wakati flani kwa siku,ikiwa ufukweni hupendeza zaidi
 
Ndg yangu haya ni mafuta ya kawaida tu mfano vasseline ya mgando.
Unapjifanyia masaji nyayo zako jiandae kwa usingizi mnono.
Kuna siri kubwa sana katika kutreat nyayo zako vizuri.
Kuwa makini na aina ya viatu unavyovaa na uhakikishe ndani ya kiatu kuna ulaini mzuri unapokanyaga
🤣
 
I agree with you.
Hii imenipa matokeo makubwa sana kwa muda naitumia. Huwa napaka mafuta ya mzeituni ama ya nazi
 
Safi Sana mkuu, unaishi kitafiti ipo siku utagundua mazito, lakini bila tafiti dunia isingefika hapa, all the best mkuu.
Tafiti ndio maisha ukijua mambo unakuwa huru.Mimi wachawi na majini hayanisumbui nawaona ni SAwa tu na mende kunguni viroboto tu baada ya kutafiti nguvu zao wapi hazifanyi Kazi au kipi kinaua nguvu zao ndicho nakitumia, au wakinitupia uchawi nifanye nini niiuflash.
Tafuteni Elimu muwe huru utohitaji mganga au nabii akutatulie shida zako. Utajiganga mwenyewe kupitia maandiko na maarifa.
 
Back
Top Bottom