Faida za kupaka mafuta nyayoni wakati wa kulala (usiku)

Faida za kupaka mafuta nyayoni wakati wa kulala (usiku)

Kunyweni Sana juice ya ndimu, limao, kunyweni chai ya majani ya ndimu, malimao, pakeni nyayoni mwenu mafuta ya vitunguu, vicks, mzeituni, aladari, ndimu msiugue. Tumieni madini mfano shaba halisi kufukuza nguvu za giza.
 
Tembeeni peku mchangani mfano beach, au nyumbani mwako palipo safi Ili mwili wako upate madini kupitia udongo, wewe ni udongo umeumbwa kwa udongo uhai wako upo udongoni.
 
Kuna vitu vingine mtu akikuambia unaweza uka mnasa kibao, tunapotezeana sana muda
Ukiwa na tatizo la kiafya e.g. hayo yaliyotajwa hapo ndani ya uzi, wazo la kumnasa kibao halitakuja akilini mwako bali utamshukuru na utatumia muda zaidi kumwuliza ili akujuze zaidi.
 
Aaaah ahsante mkuu ntajaribu hii leo kesho naleta mrejesho.
Unitag mkuu:
Fanya hivi; pasha maji ya uvugu vugu na uyaweke kwenye beseni.
Loweka miguu kama kwa dk 5 hivi.

Baada ya muda huo isafishe miguu yako na ukaushe kwa taulo.

Sasa paka au pata mtu wa kukupaka miguu yako mafuta na fanya kama unaichua chua au masaji kama kwa dakika tano.

Panda kitandani usikilizie musiki wake
 
Ahsante mkuu ntalifanyia kazi..
 
FAIDA ZA KUPAKA MAFUTA NYAYONI WAKATI WA KULALA USIKU

1. Mwanamke mmoja anasema babu yake aliishi miaka 87 bila ya kuumwa na mgongo, viungo, kichwa, meno wala mwili baada ya kufunzwa siri na mzee mmoja wa Kolkata alipokuwa anafanya kazi ya kuweka mawe juu ya reli akamuambia apake mafuta nyayoni kabla kulala.

2. Mwanafunzi mmoja anasema mama yake alikuwa anahakikisha kila siku lazima apake mafuta nyayoni kabla kulala. Na yeye alipodhoofika macho mama yake alimuanzilisha dawa hii na macho yake yakapona.

3. Mfanyabiashara mmoja anaeleza kuwa alipoenda safari mji wa Chitral kwa likizo alishindwa kupata usingizi na akatoka nje kutembea. Askari wa hotel ile akamuuliza shida ni nini, akamuambia hapati usingizi. Yule askari akamuuliza kama anayo mafuta, akasema hana. Askari akamletea mafuta kwenye kichupa akamuambia kusugua nyayoni dakika chache. Baada ya muda mfupi alikuwa anakoroma usingizini.

4. Mimi pia nimeanza kusugua mafuta nyayoni mwangu usiku kabla kulala, sasa nalala vizuri na sina machofu.

5. Nilikuwa na maumivu ya tumbo. Baada ya kusugua mafuta nyayoni siku mbili tu nikapona maumivu.

6. Hii dawa ni kama uchawi. Nilisugua mafuta kwa nyayo yangu kabla ya kulala usiku na nilipata usingizi mtamu sana.

7. Mimi natumia hii dawa kwa miaka 15 sasa na inanipa usingizi muruwa sana. Nawasugulia wanangu pia nyayoni na wamekuwa na afya njema.

8. Miguu yangu ilikuwa inaniuma sana, nilianza kusugua nyayo yangu kwa mafuta kwa dakika mbili kila usiku kabla ya kulala. Maumivu yangu yamepotea yote.

9. Miguu yangu ilikuwa imevimba na nilikuwa nachoka haraka kila napotembea. Nilipoanza kusugua nyayo zangu kwa mafuta, zimerudi kawaida baada ya siku 2 na machofu pia imepotea.

10. Nilianza kusugua mafuta kwenye nyayo yangu kwa dakika mbili kila usiku kabla ya kulala na nimeanza kupata usingizi mtamu sana.

11. Hii dawa ni ya ajabu sana. Ni bora kuliko vidonge vya usingizi. Sasa nasugua mafuta kwenye nyayo kila usiku kwa ajili ya kupata usingizi murwa.

12. Babu yangu alikuwa anawashwa nyayo na maumivu ya kichwa. Alianza kusugua mafuta ya boga nyayoni na mwasho pamoja na maumivu ya kichwa yalipotea.

13. Nilikuwa na ugonjwa wa thyroid na ilikuwa inasababisha maumivu makali miguuni. Niliambiwa nianze kusugua mafuta kwanyayo kabla kulala. Sijaacha hata siku moja. Sasa sina maumivu.

14. Miguu yangu ilifanya mapele. Nilipoanza kusugua mafuta kwenye nyayo kabla kulala nilikuta tofauti kubwa baada ya siku nne tu.

15. Nilikuwa nina bawasili miaka 13 iliyopia. Sahib wangu mmoja alinipeleka kwa mhenga mmoja mwenye umri wa miaka 90. Alinishauri nianze kusugua mafuta kwa vidole vya mikono, kwenye kucha na pia matone machache kwenye kitovu. Nilianza kutekeleza ushauri wake na nilipata unafuu mara mmoja mpaka kwenye tatizo la kupata choo. Machovu ya mwili yalipotea na pia kukoroma usingizini, nilijsiikia huru.

16. Dawa ya kusugua mafuta kwenye nyayo ni dawa mujarrab.

17. Kusugua mafuta kwenye nyayo yangu ilinisababishia kupata usingizi haraka.

18. Nilikuwa naumwa na miguu na magoti lakini tangu nimeanza kusugua mafuta kwenye nyayo kila usiku nimepata nafuu na Napata usingizi mtamu.

19. Tangu nimeanza kusugua mafuta kwenye nyayo yangu kila usiku kabla kulala nimepata nafuu kwenye maumivu ya mgongo na Napata usingizi murwa sana.

Siri yenyewe ya kutoka India ni sahali, nyepesi na fupi sana kwa kila mtu popote alipo: Sugua mafuta ya aina moja kati ya hizo tatu – ya zaituni au ya haradali au ya Boga Pamkin Oil – kwenye nyayo yako kwa muda wa dakika tatu na ukiweza kwenye mguu zima kwa muda wa dakika tatu zingine kila mguu. Usisahau wala usidharau hata siku moja kusugua mafuta kwenye nyayo na uwasugulie watoto pia hivyo hivyo.

Ifanye kuwa desturi kwenye maisha yako kisha usubiri kuona matokeo ya qudra yake muumba.

Kama unavyochana nywele yako kila siku basi uwe unasugua mafuta kwa nyayo kila siku.

```Kwa mujibu wa tiba za asili za wataalamu duniani na wachina, nyayo za binadamu zina nukta zaidi ya mia zenye kutibu viungo mbalimbali vya mwili zinaposuguliwa. Unaweza kutumia Mafuta ya Zaituni au Mafuta ya Nazi kujipaka Unyayoni.

Au ukiweza kupata hayo mafuta ya aina tatu zote nilizotaja hapo juu kisha uchanganye vyema na uanze kutumia bila shaka yoyote utanitafutia zawadi na unitumie popote pale ulipo.

Hii si ya kawaida ni zaidi ya tiba zote ulimwengu.

Mlete mrejeshooo.
Reflexology
 
Tafiti ndio maisha ukijua mambo unakuwa huru.Mimi wachawi na majini hayanisumbui nawaona ni SAwa tu na mende kunguni viroboto tu baada ya kutafiti nguvu zao wapi hazifanyi Kazi au kipi kinaua nguvu zao ndicho nakitumia, au wakinitupia uchawi nifanye nini niiuflash.
Tafuteni Elimu muwe huru utohitaji mganga au nabii akutatulie shida zako. Utajiganga mwenyewe kupitia maandiko na maarifa.
Tupia kidogo jinsi ya kuflash mkuu
 
Tunaomba elimu walau kwa uchache
 
Kunyweni Sana juice ya ndimu, limao, kunyweni chai ya majani ya ndimu, malimao, pakeni nyayoni mwenu mafuta ya vitunguu, vicks, mzeituni, aladari, ndimu msiugue. Tumieni madini mfano shaba halisi kufukuza nguvu za giza.
Mafuta ya vitunguu yanatengenezwajee
 
Mafuta ya vitunguu yanatengenezwajee
Unatumia cold press mashine kukamulia mafuta,mfano wa zile za kusagia nyama mbele kuna mould yake unafunga.
Au mfumo wowote wa kupress unaweza tengeneza tumia bomba la chuma
Yapo duka la dawa za asili au maduka ya dawa mbadala.
 
Mkuu Showmax; Tunashukuru hebu Tupia jicho koment #54 & #55. Tumesubiri mda mrefu mno.
 
Mkuu Showmax; Tunashukuru hebu Tupia jicho koment #54 & #55. Tumesubiri mda mrefu mno.
Hizi elimu za kujikinga dhidi ya hawa wapumbavu mbona zimejaa hata hapa if ni kupakua tu.
Ukienda google zimejaa na zinafanya kazi.
1.JESUS POWER:
Jina la Yesu Kristo linaouwezo 100% ya kublock nguvu zote za giza.
Nguvu za giza zipo nyingi common ni wachawi, majini,nk hizo zote hata awe mchawi konki hawezi zidi ACDS 40% wakati Jesus ana ACDs 💯%
Faida ya nguvu hii ni
a. Above all
b. Unlimited
c. Efficient 💯%
d. Abudant
f. Free ni bure ulipii.
g. Ina work kwa negative power zote.
h. Utumiwa na yeyeto anaeamini.
I.Haitaji elimu ni imani
J.inafanya Kazi on the spot yaani mda huo huo ukitamka tu Mchawi anapiga uturn akiwa mbishi anaungua.
2.Miti na Mimea
Ndimu, limao, kitunguu saumu, kivumbasi, msonobari, na Mimea mingine mingi.
3.Madini
Shaba, mkaa, chumvi,sunstone, nk
4.Nk.
Changamoto ya njia hizi.
a. Upatikanaji wake kwa wakati wa uhitaji.
b. Sio efficient kwa negative power zote.
c. Elimu inahitaji
KWA uchache tu kama mwanga zipo elimu nyingi sana zaidi ya hizi
 
Very nice. Ubarikiwe sana mkuu. Kumbe hivi vitu vipo in abundance, ni ss tu tushindwe wenyewe. Asante sana.
 
Back
Top Bottom