Faida za kupaka mafuta nyayoni wakati wa kulala (usiku)

Kunyweni Sana juice ya ndimu, limao, kunyweni chai ya majani ya ndimu, malimao, pakeni nyayoni mwenu mafuta ya vitunguu, vicks, mzeituni, aladari, ndimu msiugue. Tumieni madini mfano shaba halisi kufukuza nguvu za giza.
 
Tembeeni peku mchangani mfano beach, au nyumbani mwako palipo safi Ili mwili wako upate madini kupitia udongo, wewe ni udongo umeumbwa kwa udongo uhai wako upo udongoni.
 
Kuna vitu vingine mtu akikuambia unaweza uka mnasa kibao, tunapotezeana sana muda
Ukiwa na tatizo la kiafya e.g. hayo yaliyotajwa hapo ndani ya uzi, wazo la kumnasa kibao halitakuja akilini mwako bali utamshukuru na utatumia muda zaidi kumwuliza ili akujuze zaidi.
 
Aaaah ahsante mkuu ntajaribu hii leo kesho naleta mrejesho.
Unitag mkuu:
Fanya hivi; pasha maji ya uvugu vugu na uyaweke kwenye beseni.
Loweka miguu kama kwa dk 5 hivi.

Baada ya muda huo isafishe miguu yako na ukaushe kwa taulo.

Sasa paka au pata mtu wa kukupaka miguu yako mafuta na fanya kama unaichua chua au masaji kama kwa dakika tano.

Panda kitandani usikilizie musiki wake
 
Ahsante mkuu ntalifanyia kazi..
 
Reflexology
 
Tupia kidogo jinsi ya kuflash mkuu
 
Tunaomba elimu walau kwa uchache
 
Kunyweni Sana juice ya ndimu, limao, kunyweni chai ya majani ya ndimu, malimao, pakeni nyayoni mwenu mafuta ya vitunguu, vicks, mzeituni, aladari, ndimu msiugue. Tumieni madini mfano shaba halisi kufukuza nguvu za giza.
Mafuta ya vitunguu yanatengenezwajee
 
Mafuta ya vitunguu yanatengenezwajee
Unatumia cold press mashine kukamulia mafuta,mfano wa zile za kusagia nyama mbele kuna mould yake unafunga.
Au mfumo wowote wa kupress unaweza tengeneza tumia bomba la chuma
Yapo duka la dawa za asili au maduka ya dawa mbadala.
 
Mkuu Showmax; Tunashukuru hebu Tupia jicho koment #54 & #55. Tumesubiri mda mrefu mno.
 
Mkuu Showmax; Tunashukuru hebu Tupia jicho koment #54 & #55. Tumesubiri mda mrefu mno.
Hizi elimu za kujikinga dhidi ya hawa wapumbavu mbona zimejaa hata hapa if ni kupakua tu.
Ukienda google zimejaa na zinafanya kazi.
1.JESUS POWER:
Jina la Yesu Kristo linaouwezo 100% ya kublock nguvu zote za giza.
Nguvu za giza zipo nyingi common ni wachawi, majini,nk hizo zote hata awe mchawi konki hawezi zidi ACDS 40% wakati Jesus ana ACDs 💯%
Faida ya nguvu hii ni
a. Above all
b. Unlimited
c. Efficient 💯%
d. Abudant
f. Free ni bure ulipii.
g. Ina work kwa negative power zote.
h. Utumiwa na yeyeto anaeamini.
I.Haitaji elimu ni imani
J.inafanya Kazi on the spot yaani mda huo huo ukitamka tu Mchawi anapiga uturn akiwa mbishi anaungua.
2.Miti na Mimea
Ndimu, limao, kitunguu saumu, kivumbasi, msonobari, na Mimea mingine mingi.
3.Madini
Shaba, mkaa, chumvi,sunstone, nk
4.Nk.
Changamoto ya njia hizi.
a. Upatikanaji wake kwa wakati wa uhitaji.
b. Sio efficient kwa negative power zote.
c. Elimu inahitaji
KWA uchache tu kama mwanga zipo elimu nyingi sana zaidi ya hizi
 
Very nice. Ubarikiwe sana mkuu. Kumbe hivi vitu vipo in abundance, ni ss tu tushindwe wenyewe. Asante sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…