Mmmm! kama baniani, najua baniani wengi wanapata shida toilet kwa kula pili pili kupindukia, na wengi nasikia huweka feni ya kuwapepea makalioni
Mmmm! kama baniani, najua baniani wengi wanapata shida toilet kwa kula pili pili kupindukia, na wengi nasikia huweka feni ya kuwapepea makalioni
Mkuu X-PASTER si wapenda pilipili wote wapenzi wa kukamata masanga na si wapenda masanga wote walaji wa pilipili na nimeshakutana na wengi katika makundi hayo mawili. Kwa hiyo unaweza kumkuta mpenda pilipili ambaye staftahi ni kama kazi hawezi kuikosa siku yoyote labda kama ni mgonjwa na chakula kimegoma kabisa kupita.
Dah! yaani umenikumbusha pweza weye, Mate yamejaa mdomoni.duh nilipooona kichwa cha habari tu, akili yangu ikakimbilia bongo fasta kwenye meza ya pweza, sasa sijuhi ile ni pilipili au chachandu
hapa itabidi nijiongezee doziNasikia pia ni tiba ya nguvu za kiume .
nimedokeza kwamba kwa mujibu wa madakatari haina madhara, nyingi kupita kiasi ni ngapi? huyu anakula 10Pilipili nyingi kupita kisi zinasababisha vichomi
Wahindi wanafuata taste, ndio maana wanatumia maziwa kuondoa ukali wa makaliMataifa yenye kuongoza kwa kula pilipili.. waHindi, waMexico,waIndonesia,WaSpaini, wamarekani.... !!