Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mh...kwenye macho? balaa gani hilo unatafuta? kwenye macho yafaa kuwekea wezi wa wake za watuMadokta tupeni ukweli kama kweli zinaongeza nguvu za kiume,wengine karibia tunaachika!
Madokta tupeni ukweli kama kweli zinaongeza nguvu za kiume,wengine karibia tunaachika!
hutibabu maradhi ya cancer pia😛opcorn:
hapa itabidi nijiongezee dozi
Mataifa yenye kuongoza kwa kula pilipili.. waHindi, waMexico,waIndonesia,WaSpaini, wamarekani.... !!
Pilipili nyingi kupita kisi zinasababisha vichomi
Wanigeria wanakula sana pilipili, wao hata kwenye wali wanaweka, (jolouf rice), pepper soup ndiyo usiseme, hata kama umelewa kiasi gani, pombe inakwisha.
A Niger man can make pepper soup ohh!!!!!
Nimekutana na mtu anakula wastani wa pilipili kumi kwa siku na amepewa ushauri na madakatari kwamba hazina madhara yoyote na wala haihusiani na ulevi (sbb yeye wala hanywi pombe) na kwamba pilipili faida yake kubwa ni kuongeza immunity na kukupa UJASIRI
Je unafahamu faida au hasara yyte ya kula pilipili?
Ni nzuri kwa kuongeza hamu ya kufanya mapenzi una enjoy sana.
Mkuu jogoo ashagoma kupanda mtungi!!!!!! :twitch:
hapa inabidi utupe chanzoNa kwa wale wenye virus wasiziguse, zinawafanya virus wachangamke , ongezeko la multiplication na hivyo viral load
Pilipili ni one of the Highest Thermic Food. It takes a lot of calories from the body to digest, absorb and convert it in a form usable to the body than the calories gained from Pilipili.
So kwa wanaofanya diet, hii ni one of the recommended food ya kukata weight.
hutoa vitamini c na pia kuongeza spidi ya sperm kufly..
kama pilipili kichaa au mbuzi iliyovuna wakati wa kiangazi ukila kumi kwa siku lazima utapata madhara flani hivi....lakini kama ni pilipili hoho iyo hata ukila 20...kwa mlo mmoja haina madhara.nimedokeza kwamba kwa mujibu wa madakatari haina madhara, nyingi kupita kiasi ni ngapi? huyu anakula 10