Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Waislam wanatumia Qur'an.

Agano la kale na jipya yote yako kwenye biblia. Au huelewi hilo?
hujui chochote kuhusu dini na maana undani wake umekuta ukaelekezwa na wewe una elekez.kasome
 
Faiza kwa mtazamo wako mafanikio ni kitu gani hasa kwa binadamu?
 
Safi sana mkuu Faiza umejibu vizuri sana . Be blessed.
 
Sawa, ila naomba ufafanue kidogo.. Tunaposema fulani kafanikiwa tutarajie nn kwake pesa, umaarufu, elimu ama nini!? Tafdhl naomba unijibu katka muktadha huo
Hakika aliye mbora kati yenu mbele ya Allah ni yule mcha-mungu zaidi kati yenu.
(Qur'an Sura ya
49, Aya ya 13)
 
Sina, binafsi nnaamini kuitumikia jamii si lazima uwe mbunge au uwe na wadhifa wowote serikalini.
unaweza ukawa mcha mungu lakini usiwe mwema, illa ukawa mtu wa watu na ukawa na haki kama kutoa sadaka na mengine
 
unaweza ukawa mcha mungu lakini usiwe mwema, illa ukawa mtu wa watu na ukawa na haki kama kutoa sadaka na mengine
Ukiwa si mwema ujuwe si mcha Mungu.

Ucha Mungu (Taqwa) Ni kutekeleza yaliyoamrishwa na Allaah سبحانه وتعالى na Mtumeصلى الله عليه وآله وسلم na kujiepusha makatazo Yao na kubakia katika mipaka". Hapo ndipo itakapopatikana taqwa. Na kuwa na taqwa ndio sababu ya furaha na kufuzu duniani na akhera, na pia ni sababu ya kuondoshewa shida na dhiki zote.
 
Assallam alaykum, sheria ya kiislam inasemaje katika tendo la ndoa, je ni halali kwa wawili hao kuvua nguo zote?
 
Kwanini swala ya al- asr na subhi hazina suna za baadiya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…