MR LINKO
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,034
- 3,526
hujui chochote kuhusu dini na maana undani wake umekuta ukaelekezwa na wewe una elekez.kasomeWaislam wanatumia Qur'an.
Agano la kale na jipya yote yako kwenye biblia. Au huelewi hilo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hujui chochote kuhusu dini na maana undani wake umekuta ukaelekezwa na wewe una elekez.kasomeWaislam wanatumia Qur'an.
Agano la kale na jipya yote yako kwenye biblia. Au huelewi hilo?
kujua kitu kwa undani na huakika zaidi.Hivi kusoma maana yake nini?
Sawa, ila naomba ufafanue kidogo.. Tunaposema fulani kafanikiwa tutarajie nn kwake pesa, umaarufu, elimu ama nini!? Tafdhl naomba unijibu katka muktadha huoKuwa mcha Mungu.
Hakika aliye mbora kati yenu mbele ya Allah ni yule mcha-mungu zaidi kati yenu.Sawa, ila naomba ufafanue kidogo.. Tunaposema fulani kafanikiwa tutarajie nn kwake pesa, umaarufu, elimu ama nini!? Tafdhl naomba unijibu katka muktadha huo
unaweza ukawa mcha mungu lakini usiwe mwema, illa ukawa mtu wa watu na ukawa na haki kama kutoa sadaka na mengineSina, binafsi nnaamini kuitumikia jamii si lazima uwe mbunge au uwe na wadhifa wowote serikalini.
Ukiwa si mwema ujuwe si mcha Mungu.unaweza ukawa mcha mungu lakini usiwe mwema, illa ukawa mtu wa watu na ukawa na haki kama kutoa sadaka na mengine
Huwezi kuwa mcha Mungu halafu usiwe mwema!unaweza ukawa mcha mungu lakini usiwe mwema, illa ukawa mtu wa watu na ukawa na haki kama kutoa sadaka na mengine
we kunna watu wana roho mbaya vibaya mno angalia asilimia kubwa ya masista kama umesha wai kuishi nao.Huwezi kuwa mcha Mungu halafu usiwe mwema!
Mh ata cheti cha mapishi tu kutoka amazon college huna !!Nna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in (Tele)communications (Canada, 1982).