Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

kwako faiza kupitia elimu uliyoipata canada je umewasaidia watu wangap kupitia career yako pili una kampuni yoyote inayodili na kile ulicho kisomea canada........
 
Rudi darasani kasome dini yako vema mkuu.
Acha kupotosha jamii maana hii ni dhima mbele ya Allah kesho Akhera.
JANABA si kutoka kwa manii. Janaba ni kitendo cha uume kuingia kwenye uke. Ata kama manii hayakutoka hiyo inabaki kuwa janaba.
Again rudi darasani mkuu!
 
Unamzungumziaje Aboubakar Shekau,aliyekua kiongozi wa kundi la bokoharam?
 
Mimi na wewe nani anastahili akasome vizuri ! Eti si kutoka kwa manii haahaa Mkuu huo ni uongo wa kiwango cha juu na nakushauri ukasome vizuri ukaelewe usilopoke unajitia aibu kwa taarifa yako kama unajichezea uume mpaka ukatokwa manii fahamu tayari utakua na janaba na hakuna haja ya kunisha bisha waweza Google vitabu vya dini ili uongeze maalifa zaidi usijidanganye
 
Kwa sababu kuwa Muislam maana yake ni kujisalimisha kwa Muumba aliyekuumba na wala si kujisalimisha kwa mtu aliyezaliwa. Hakuna kufaulu zaidi ya huko.
Nitamjuaje Muumba wa kweli aliyeniumba?
 
Kiswahili chenyewe kina maneno mengi sana ya Kiarabu. Labda wewe unaona ni Kiarabu lakini ni Kiswahili, labda useme nnachanganya Kingereza na Kiswahili hapo ntakuelewa.

Nipe mfano wa wapi nimechanganya Kiswahili na Kiarabu?
Tuanze na hili la Kwenye kichwa cha mada.
Neno darsa? Ni darasa hata kama ni la kiarabu likiletwa katika kiswahili lazima lifuate taratibu za lugha ya kiswahili.
 
Sawa, mm ntarudi darasani kusoma ili nipate elimu zaidi.
Sasa nipe ushahidi wa uzinzi wangu, maana umeniambia mm ni mzinzi!
 
Mbona hujibu maswali yote? Usinge sema tukuulize maswali basi

Maswali yaliyopo ni zaidi ya 500 mpaka sasa hivi na yanaendelea na nnaendelea kuyajibu, kama unaona sijakujibu nnaomba niwie radhi na nieleze swali unalotaka nilijibu lipo post namba ngapi, ntalipa "priority".
 
Sawa, mm ntarudi darasani kusoma ili nipate elimu zaidi.
Sasa nipe ushahidi wa uzinzi wangu, maana umeniambia mm ni mzinzi!
Usipende League Mkuu kama wewe si mzinzi basi unakaa unatulia na kutafakari niliyokuelekeza, soma zaidi dini ukiielewa haitakupa shida ya kubisha bisha
 
Tuanze na hili la Kwenye kichwa cha mada.
Neno darsa? Ni darasa hata kama ni la kiarabu likiletwa katika kiswahili lazima lifuate taratibu za lugha ya kiswahili.


Ukifika kwetu, uswahilini, hilo neno ni la kawaida sana tena tunaamini ni Kiswahili safi.

Darasa ni lile lenye vyumba vinne lipo shule rasmi. Darsa, ni hili tunalopeana hapa au pale ambapo si shule rasmi.
 
Usipende League Mkuu kama wewe si mzinzi basi unakaa unatulia na kutafakari niliyokuelekeza, soma zaidi dini ukiielewa haitakupa shida ya kubisha bisha
Umeniambia niache uzinifu.
Sasa nipe ushahidi wa uzinifu wangu mkuu tafadhali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…