Binafsi siamini kama kuna maisha ya kaburini.Vipi kuhusu maisha ya kaburini, kuna kuonana kama tunavyoonana kwa hapa duniani, hiyo baada ya kufa?, na kutembeleana ?
Na mwili wako utakuwa unauona kama unavyouona ukiwa hai?
Shukralaki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona ume quote post wrong. Hiyo nilikuwa namjibu mtu mwengine.Nimeshakujibu
Sasa kwa mujibu wa aya je mtume alikuwa anakosea kukata watu viganja badala ya mkono kama isemavyo Qurani?
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Mada hizi ndo shule sasa, wakija malaika wasikutishe.Binafsi siamni kama kuna maisha ya kaburini.
Naamini maisha ni uhai na ukiuacha uhai unaingia kwenye umauti na utahuishwa tena siku ya Qiyama. Pia naamini hautaihisi tofauti ya muda, ni kama kulala na kuamka tu.
Allahu 'allam
SawaSimjui hanijui. AlhamduliLlah ndoa yangu ni moja tu kwa takriban miaka 40 sasa.
Wewe Bibi acha mikwara yako au mwambie MOD afuteHussein Melkiory na Malcom Lumumba
Hili siyo jukwaa la chitchat, nawaomba muheshimu nyuzi za watu na maudhui zake. Nawaomba futeni hizo chitchat posts zenu msiniharibie uzi wangu.
Hili ni ombi kwenu.
Naona licha ya kujaribu kukufahamisha kuwa weka swali au hoja moja moja haikuingii. Ngoja nikusaidie. Tuanze na hilo la juu kwanza.Kama Qurani pekee inatosha bila hadithi n.k
Kama Qurani pekee inatosha,Kwa nini Allah aliwafunza mitume Kitabu na HIKMA?
Hahahaaa sawa bibi nitafuta ila wasalimie mkurangaKukuomba imekuwa "mikwara"? Kama ni hivyo nisameh sana.
Unajina zuri, Hussein, lakini haliakisi manano yako, pole sana.
Binafsi siamni kama kuna maisha ya kaburini.
Naamini maisha ni uhai na ukiuacha uhai unaingia kwenye umauti na utahuishwa tena siku ya Qiyama. Pia naamini hautaihisi tofauti ya muda, ni kama kulala na kuamka tu.
Allahu 'allam
Nnaipinga Qur'an? Mbona swali la kiajabu sana hilo?Unaipinga Qurani?
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
daaah, subiri nikaushe na toniks yangu ya vetaNna shahada ya kwanza ya Electronics Engineering, Major in (Tele)communications (Canada, 1982).
Mwenyezi Mungu ni mmoja, Allah, lakini anatumia uwingi, kwa mfano anasema "tumekutelemshieni..., tumekuumba..." hatumii umoja, kwanini?Hili ni darsa siyo darasa. Kuna tofauti ya darasa na darsa. Darasa ni lile lenye kuta nne shuleni. Darsa ni elimu inayotolewa popote kwa njia yoyote.
Hapa unaweza kuuliza chochote au kujibu chochote kwa swali lolote ili wote tuelimishane. Rejea post namba moja.
Nnaipinga Qur'an? Mbona swali la kiajabu sana hilo?
Nipinge muongozo wetu kutoka kwa Allah?
Astaghafiru Allah. Naona sasa tunakoseana heshima.
NinI kilichokufanya mpaka uulize swali hilo la ajabu?
Sijapinga pahali bali nimesema siamini kuhusu "maisha" ya kaburini. Ukinipa aya ya Qur'an nitaamini kweli kuna "maisha ya kaburini".Naona unapinga maisha ya kaburi ilhali Qurani imezungumza wazi juu ya kuwepo maisha ya kaburini.
Au hujapinga kuwepo kwa maisha ya kaburi nilikunukuu vibaya mama yangu?
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
Amefariki amaTunakumiss sana
Sijaona kwenye Qur'an hayo maisha ya kaburini. Weka aya.
Ingawa umerukia swali la mtu mwengine, yako yanakungoja juu huko.
Sijapinga pahali bali nimesema siamini kuhusu "maisha" ya kaburini. Ukinipa aya ya Qur'an nitaamini kweli kuna "maisha ya kaburini".
Mpaka dakika hii hujanipa aya. Na ukishindwa kunipa aya ya "maisha ya kaburuni" basi nawe ukiri kuwa hakuna maisha hayo na usiamini hivyo.
Sawa?
Nasubiri.
Pitia uzi juu kidogo utayakuta. Usiwe na haraka, nenda soma taratibu ujibu.Swali gani ambalo sijajibu la kwako mbona nilishayajibu?
Siwezi kuingia kwenye mada ya maisha ya kaburi na siwezi kutoa aya mpska unijibu swali langu lile la KUKATA MKONO.
Ebu weka ambalo sijajibu
ukiacha kuchagua jua umechagua kuacha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji45] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] tisha mbayaInabidi, lakini umeshasema vijana, mara nyingi ukiwa kijana unakuwa mtukutu, twende nao hivyo hivyo huku tunawapa darsa. Wakikuwa wataacha.