Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Biblia, Luka 19:
27 Tena, wale adui zangu, wasiotaka niwatawale, waleteni hapa mwachinje mbele yangu.


Unafahamu nani aliyetoa maagizo hayo?

Usikate ayat kukidhi haja zako bibie!? Aliye Ongea Kauli hiyo ni KABAILA YESU ALINUKUU! Fuatilia Hicho kisa kuanzia hiyo aya nibizo kuwekea hadi huo mstari wa.27 ulio unukuu! walahi Yesu angeagiza makafir wageuzwe kibla asinge bakia Hata kafir moja ananajisi ARDHI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ohooo kumbe unafahamu maana ya kukata ayat eenh?

Bado hujajibu, maneno ya nani hayo? Kama hiyo haikutoshi, pata na hii:

Luka 22:
36 Akawaambia, Lakini sasa mwenye mfuko na auchukue, na mkoba vivyo hivyo; naye asiye na upanga, na auze joho yake akanunue.
 

Unataka jibu gani wakati nimekujibu aliye ongea ni KABAILA! Kwa nini unazunguka zunguka? Nimekupa CHANGAMOTO Tuwekee ayat humu YESU ameagiza Wafuasi wake wawauwe makafir kama alivyo agiza allah kwa kinywa cha Muhammad...weka tuisome na ukiiweka Mimi nitaretardi na kuwa mchawi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dada Faiza namba maoni yako juu ya Muswada wa vyama vya siasa?
 
Good,

Ahsantee.

Dale Carnegie nimepata kusoma kitabu chake hicho kilicho na kurasa 291.

Bad nina maswali zaidi ya kuuliza.

Shukrani kwa majawabu uliyopata kutoa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FF,

Naomba Majawabu yako,Maoni n.a. mtazamo juu ya Maswali haya niliyouliza.

Shukran.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi kukuambia Ndg Mgen

Unapenda kuropoka mambo usiyoyajua

Katika Uzi ZINAA KATIKA UISLAM,tuliwahi kulijadili jambo hili la TAQIYYAH,Kisha mkakaa kimya mpaka leo

Leo
unakuja huku na kulianzisha tena?!!!
Rudi kwenye uzi wetu kule,kisha uendelee na mada mlizozikimbia

Nadhani
Lengo lengo,ni vurugu na fujo katika uzi hususan ulianzishwa na Muislam ...
Nadhani hili ndio lengo lako kuu
Nadhani lkn.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza u muongo! Hiyo aya wapi imeandikwa "Wafuasi wake wawauwe makafir kama alivyo agiza allah kwa kinywa cha Muhammad"? Kama mnavyodanganyana!

Aya ya Surat Tawba (9) 29 umeiweka wewe na sijaona hayo maneno "wawauwe makafir" uliyoyaandika wewe kwenye hiyo aya, unataka nikujibu hewa?
 
Basi tuandikie wewe usahihi wa hiyo aya ili tusiamin uongo
 
Ni kweli Mtume Mohammed alioa binti wa miaka 6???

Noma
Hayo nimeyasikia sana lakini nadiriki kusema nimefanya "research" binafsi kuhusu hilo na iwe ni kweli au si kweli sijaliona tatizo.

Naomba uelewe kuwa ndoa ya Kiislam inatimia na kukamilika pale tu ambapo mwanamke anakubali kuoana kwa ridhaa yake na baada ya tendo la ndoa kufanyika (marriage consummated).

Baada ya kupata kuelewa huo, sasa napenda ufahamu kuwa kwa mila na desturi za makabila hata kwetu Tanzania (wengi hadi leo hii) wanafungishwa uchumba wangali wadogo kabisa (nasikia Wamasai hufunga (booking) uchumba hata mtoto hajazaliwa, kwa mimba tu. Kuwa binti akizaliwa atakuwa mke wa fulani.

Kwa maana hiyo, Mtume Muhammad sala Allahu alayhi wasalaam hana kosa hata ingekuwa kafunga uchumba na binti wa miaka mitatu wacha sita.

Muhimu hakutimiza ndoa (marriage consummated) binti akiwa na miaka 6. Hilo hapana ni uzushi tu.
 
Basi tuandikie wewe usahihi wa hiyo aya ili tusiamin uongo
Ya nini niweke tena na mgen kishaiweka na hiyo hiyo rejea juu kidogo post namba 2661 uone inasemaje. Kisha naomba urudi kutujulisha ulichokisoma kwenye hiyo aya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…