Jibu swali.
Ni upi wazni wa neno kuoana kwa kiarabu katika elimu ya nahwu?
Umeleta huo wazni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa sijakuelewa.Si Mimi wa kuhamisha mada. Nimekukumbusha tu, kuwa bado naingoja aya ya/za Qur'an ulizoahidi kuhusu adhabu ya kaburi. Miaka inakata sasa, umeshindwa kuipata? Muombe msaada kijana anaejiita Zurri akusaidie.
Hakuna suala kuikubali au kutokuikubali kwa sasa, kwa sasa ni wewe ulete aya uliyoahidi na kwa kuwa umeshajuwa kutumia "Google search" itakusaidia. Nakukumbusha tu.
Mkuu huyu mama anapinga adhabu na maisha ya kaburi.kuna mda mimi nilimshangaa huko nyuma nikadhani ni mjinga nikamps hsdithi zinazozungumzia adhabu za kaburi akazikataa.eti snadai aya tu.Hapa sijakuelewa.
Na aya mbona zipo nyingi sana kaka, ngoja nimuwekee hapa.Mkuu huyu mama anapinga adhabu na maisha ya kaburi.kuna mda mimi nilimshangaa huko nyuma nikadhani ni mjinga nikamps hsdithi zinazozungumzia adhabu za kaburi akazikataa.eti snadai aya tu.
Mimi nikamuacha kwa sababu hamkubali mtume nikaona hakuna atakaloelewa.
Ndo mana anadai aya mpaka leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si Mimi wa kuhamisha mada. Nimekukumbusha tu, kuwa bado naingoja aya ya/za Qur'an ulizoahidi kuhusu adhabu ya kaburi. Miaka inakata sasa, umeshindwa kuipata? Muombe msaada kijana anaejiita Zurri akusaidie.
Hakuna suala kuikubali au kutokuikubali kwa sasa, kwa sasa ni wewe ulete aya uliyoahidi na kwa kuwa umeshajuwa kutumia "Google search" itakusaidia. Nakukumbusha tu.
Huu ni ujinga wa wazi kwako mama unazidi kudhihiri.kusndika wazniy na wazni ni tofauti.Rudia kunisoma tena, utaelewa tu...
Wewe unatumia neno hata hulijuwi lina maana ipi, ngoja nikufaidishe na darsa dogo na ndiyo maana haswa ya huu uzi...
Nikujuze tu labda unachotaka kukiandika siyo "wazni", labda unataka kuandika "wazn" وزن au wingi wake ni "awzan" أوزان? Fikiri.
Ukisema au ukiandika "wazni" وزني kwa Kiarabu umemaanisha "uzito wangu"!
Umekazania muda mrefu "upi wazni", "upi wazni", nikakupuuza kwa kuwa niliona hata huelewi unachokiandika.
Sasa nnakuuliza, uzito wako unahusiana nini na hii mada kutaka mimi niuongelee?
Mkuu huyu mama hataki hadithi na aya atazigeuza hapa kwa sababu ni mbishi haswa.Na aya mbona zipo nyingi sana kaka, ngoja nimuwekee hapa.
Huyu tukimpima katika mizani ya Uislamu ametoka katika Uislamu bila kukijua.
Mimi namuwekea aya hapa sasa hivi.
Una matatizo kweli kweli, kumbe hata kusoma Kiarabu kwako ni shida. Sasa hicho ulichoandika ndiyo "wazni" ? Hiyo ni "wazn". Kasome kijana kabla hujaanza kubishana ujinga wako.Huu ni ujinga wa wazi kwako mama unazidi kudhihiri.kusndika wazniy na wazni ni tofauti.
Mimi nimeandiuka wazni yaani وزن بكسر النون بغير ياء الملك.
Kwa hyo hapo ni ujinga
Katika fani za lugha neno la kawaida lina hukmu zake,neno wazni kilugha ni uzani tu kama vile uzito n k ukija kwenye swarfu neno wazni lina sheria zake .
Sasa hapa hatujadili lugha tunajadili sheria ya swarfu katika mzani.
Mfano katika lugha ya kawaida فاعل ni mtenda ila ukienda katika nahwu utakuta kuna taratibu haswa unasoma za kumjua huyo فاعل.
Sasa nataka katika sheria ya swarfu neno KUOWANA tunalioima kwa wazni gsni na litakuwaje ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hujaiweka Qur'an yenyewe na umeweka Tafsiri ya Kiswahili na maneno yako tu?Bi mkubwa naanza na hii aya :
Allaah Aliyetukuka Anasema: “Na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanafiki; na katika wenyeji wa Madiynah pia wapo waliobobea katika unafiki. Wewe huwajui. Sisi tunawajua. Tutawaadhibu mara mbili, kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa” (at Tawbah : 101).
Adhabu ya kwanza katika Aayah inahusu adhabu ya hapa duniani na ya pili ni adhabu ya kaburi. Kisha Allaah Aliyetukuka Anasema: “Kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa”, ina maana ya adhabu ya Siku ya Qiyaama.
Nakuja kukuletea nyingine hapa, ngoja niingie Ijumaa kwanza.
Mbona hujaiweka Qur'an yenyewe na umeweka Tafsiri ya Kiswahili na maneno yako tu?
Hahahaha. Hiyo ndiyo adhabu ya kaburi kikwenu? Hata kusoma hamuelewi?
Halafu acha kutia maneno yako kwenye Qur'an. Qur'an imekamilika haihitaji maneno yako. Hayo mambo ya kaburi hayapo kwenye hiyo aya umeyaweka wewe. Achana na huo ujinga.
Soma hii bila maneno ya yeyote...
Qur'an 3:
185. Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu. 185
"Mtapewa ujira wenu kqmili siku ya kiyama"
Kuna kitu nimekikumbuka nikacheka sana, hivi Tashahud yako katika sala zako huwa unaisomaje ? Au huwa husali wewe ?Mbona hujaiweka Qur'an yenyewe na umeweka Tafsiri ya Kiswahili na maneno yako tu?
Hahahaha. Hiyo ndiyo adhabu ya kaburi kikwenu? Hata kusoma hamuelewi?
Halafu acha kutia maneno yako kwenye Qur'an. Qur'an imekamilika haihitaji maneno yako. Hayo mambo ya kaburi hayapo kwenye hiyo aya umeyaweka wewe. Achana na huo ujinga.
Soma hii bila maneno ya yeyote...
Qur'an 3:
185. Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu. 185
"Mtapewa ujira wenu kqmili siku ya kiyama"
Hapo hutoki wewe.Wewe bibi mkubwa mbishi mpaka unakuwa kipofuwa macho na akili.
Nakuwekea matini na tarjama, na uniambie hiyo mara mbili ina maana gani ?
Anasema Allah aliye juu :
101. Na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanaafiki; na katika wenyeji wa Madina pia wapo walio bobea katika unaafiki. Wewe huwajui. Sisi tunawajua. Tutawaadhibu mara mbili, kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa. (al Baraa : 101 )
Naomba unipe msimamo wako juu ya Hadithi ? Oh akiba.
Pili, hapa hutoki, subiri uone.
Sijaondoa neno hapo, ndio maana nimekuuliza hiyo "Mara mbili" hapo ni nini ?Hapo hutoki wewe.
Sasa sema hapo hiyo adhabu yako yako ya kaburi uliyopachika maneno yako kule juu baada ya kuyaondowa iko wapi?
Hiyo Surat Tawba haina adhabu ya kaburi usijidanganye kusherehesha na kupachika maneno yako halafu unajifanya hujaongeza lako kwenye hiyo post? Hiki nini?...Sijaondoa neno hapo, ndio maana nimekuuliza hiyo "Mara mbili" hapo ni nini ?
Yale maelezo ya maana ya ile aya, yaani sherehe na ndio usahihi.
Pili, nimekuuliza hivi, Tashahud yako unaisomaje ? Nasubiri hili jibu. Nikisema hutoki ujue hutoi kweli.