Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Jibu swali.

Ni upi wazni wa neno kuoana kwa kiarabu katika elimu ya nahwu?

Umeleta huo wazni?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe unatumia neno hata hulijuwi lina maana ipi, ngoja nikufaidishe na darsa dogo na ndiyo maana haswa ya huu uzi...

Nikujuze tu labda unachotaka kukiandika siyo "wazni", labda unataka kuandika "wazn" وزن‎ au wingi wake ni "awzan" أوزان? Fikiri.

Ukisema au ukiandika "wazni" وزني kwa Kiarabu umemaanisha "uzito wangu"!

Umekazania muda mrefu "upi wazni", "upi wazni", nikakupuuza kwa kuwa niliona hata huelewi unachokiandika.

Sasa nnakuuliza, uzito wako unahusiana nini na hii mada kutaka mimi niuongelee?

Kumbuka, huwa sikisii.
 
Mamasi iseme tu kuwa swarfu hujui unalia lia tu na kutaka kuhama mada.

Niletee wazni wa neno kuowana kwa kiarabu katika fani ya swarfu.
Usinihamishe mada tafadhali,kama unatoa darsa hapa jibu hilo swali.
Neno kuowana tutalipima kwa wazni gani?
FaizaFoxy,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FaizaFoxy, Unataka kunihamisha mada?
Sihami mada.

Hakuna muislamu anaepinga adhabu za kaburi.hizo ni itikadi za kikafiri mama.
Na wanachuoni hawamuoni muislamu yule anaepinga adhabu za kaburi
Na usinitoe kwenye mada .

Uko wapi wazni wa neno kuowana katika fani ya swarfu?

Wewe si unatoa darsa hapa ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sioni hoja yako kwenye neno hadithi mama.

Kuhusu wazni hujanipa wazni wa neno kuowana.

Kama ulinips sawa ila kama hukunipa nipe huo wazni wa neno kuowana,kumbuka hapa kiarabu kinaenda kwa misingi yake bwana.

Sasa ili uwe mkweli tutafsiri neno tunkahu kama kuowana tuambie wazni utakaotumika kupimia neno kuowana.

Uko wapi wazni wake?
Kwa nnavyokujua lau ungekuwa unajua hapa zamani ulishajibu ila wazi huna ujialo umekalia ubishani tu humu ndani,kasome hata kama umezeeka kapige goti dini haitaki ujanja weye kadiani. FaizaFoxy,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
safuher,
Si Mimi wa kuhamisha mada. Nimekukumbusha tu, kuwa bado naingoja aya ya/za Qur'an ulizoahidi kuhusu adhabu ya kaburi. Miaka inakata sasa, umeshindwa kuipata? Muombe msaada kijana anaejiita Zurri akusaidie.

Hakuna suala kuikubali au kutokuikubali kwa sasa, kwa sasa ni wewe ulete aya uliyoahidi na kwa kuwa umeshajuwa kutumia "Google search" itakusaidia. Nakukumbusha tu.
 
safuher,
Utaiona wapi na imekuminya mbavu?

Mnasoma lakini hamuelewi. Sikushangai.

Rudia ulichoandika na nilichokujibu, labda, narudia, labda utaelewa.
 
safuher,
Rudia kunisoma tena, utaelewa tu...

Wewe unatumia neno hata hulijuwi lina maana ipi, ngoja nikufaidishe na darsa dogo na ndiyo maana haswa ya huu uzi...

Nikujuze tu labda unachotaka kukiandika siyo "wazni", labda unataka kuandika "wazn" وزن‎ au wingi wake ni "awzan" أوزان? Fikiri.

Ukisema au ukiandika "wazni" وزني kwa Kiarabu umemaanisha "uzito wangu"!

Umekazania muda mrefu "upi wazni", "upi wazni", nikakupuuza kwa kuwa niliona hata huelewi unachokiandika.

Sasa nnakuuliza, uzito wako unahusiana nini na hii mada kutaka mimi niuongelee?
 
Si Mimi wa kuhamisha mada. Nimekukumbusha tu, kuwa bado naingoja aya ya/za Qur'an ulizoahidi kuhusu adhabu ya kaburi. Miaka inakata sasa, umeshindwa kuipata? Muombe msaada kijana anaejiita Zurri akusaidie.

Hakuna suala kuikubali au kutokuikubali kwa sasa, kwa sasa ni wewe ulete aya uliyoahidi na kwa kuwa umeshajuwa kutumia "Google search" itakusaidia. Nakukumbusha tu.
Hapa sijakuelewa.
 
Hapa sijakuelewa.
Mkuu huyu mama anapinga adhabu na maisha ya kaburi.kuna mda mimi nilimshangaa huko nyuma nikadhani ni mjinga nikamps hsdithi zinazozungumzia adhabu za kaburi akazikataa.eti snadai aya tu.

Mimi nikamuacha kwa sababu hamkubali mtume nikaona hakuna atakaloelewa.

Ndo mana anadai aya mpaka leo.

Na aya mbona zipo nyingi sana kaka, ngoja nimuwekee hapa.

Huyu tukimpima katika mizani ya Uislamu ametoka katika Uislamu bila kukijua.

Mimi namuwekea aya hapa sasa hivi.
 
Si Mimi wa kuhamisha mada. Nimekukumbusha tu, kuwa bado naingoja aya ya/za Qur'an ulizoahidi kuhusu adhabu ya kaburi. Miaka inakata sasa, umeshindwa kuipata? Muombe msaada kijana anaejiita Zurri akusaidie.

Hakuna suala kuikubali au kutokuikubali kwa sasa, kwa sasa ni wewe ulete aya uliyoahidi na kwa kuwa umeshajuwa kutumia "Google search" itakusaidia. Nakukumbusha tu.

Bi mkubwa naanza na hii aya :

Allaah Aliyetukuka Anasema: “Na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanafiki; na katika wenyeji wa Madiynah pia wapo waliobobea katika unafiki. Wewe huwajui. Sisi tunawajua. Tutawaadhibu mara mbili, kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa” (at Tawbah : 101).

Adhabu ya kwanza katika Aayah inahusu adhabu ya hapa duniani na ya pili ni adhabu ya kaburi. Kisha Allaah Aliyetukuka Anasema: “Kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa”, ina maana ya adhabu ya Siku ya Qiyaama.

Nakuja kukuletea nyingine hapa, ngoja niingie Ijumaa kwanza.
 
Rudia kunisoma tena, utaelewa tu...

Wewe unatumia neno hata hulijuwi lina maana ipi, ngoja nikufaidishe na darsa dogo na ndiyo maana haswa ya huu uzi...

Nikujuze tu labda unachotaka kukiandika siyo "wazni", labda unataka kuandika "wazn" وزن‎ au wingi wake ni "awzan" أوزان? Fikiri.

Ukisema au ukiandika "wazni" وزني kwa Kiarabu umemaanisha "uzito wangu"!

Umekazania muda mrefu "upi wazni", "upi wazni", nikakupuuza kwa kuwa niliona hata huelewi unachokiandika.

Sasa nnakuuliza, uzito wako unahusiana nini na hii mada kutaka mimi niuongelee?
Huu ni ujinga wa wazi kwako mama unazidi kudhihiri.kusndika wazniy na wazni ni tofauti.

Mimi nimeandiuka wazni yaani وزن بكسر النون بغير ياء الملك.
Kwa hyo hapo ni ujinga

Katika fani za lugha neno la kawaida lina hukmu zake,neno wazni kilugha ni uzani tu kama vile uzito n k ukija kwenye swarfu neno wazni lina sheria zake .

Sasa hapa hatujadili lugha tunajadili sheria ya swarfu katika mzani.

Mfano katika lugha ya kawaida فاعل ni mtenda ila ukienda katika nahwu utakuta kuna taratibu haswa unasoma za kumjua huyo فاعل.

Sasa nataka katika sheria ya swarfu neno KUOWANA tunalioima kwa wazni gsni na litakuwaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na aya mbona zipo nyingi sana kaka, ngoja nimuwekee hapa.

Huyu tukimpima katika mizani ya Uislamu ametoka katika Uislamu bila kukijua.

Mimi namuwekea aya hapa sasa hivi.
Mkuu huyu mama hataki hadithi na aya atazigeuza hapa kwa sababu ni mbishi haswa.
Mimi nilimuacha na si unajua mjinga ukimuacha anadhani na kujiona mshindi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu ni ujinga wa wazi kwako mama unazidi kudhihiri.kusndika wazniy na wazni ni tofauti.

Mimi nimeandiuka wazni yaani وزن بكسر النون بغير ياء الملك.
Kwa hyo hapo ni ujinga

Katika fani za lugha neno la kawaida lina hukmu zake,neno wazni kilugha ni uzani tu kama vile uzito n k ukija kwenye swarfu neno wazni lina sheria zake .

Sasa hapa hatujadili lugha tunajadili sheria ya swarfu katika mzani.

Mfano katika lugha ya kawaida فاعل ni mtenda ila ukienda katika nahwu utakuta kuna taratibu haswa unasoma za kumjua huyo فاعل.

Sasa nataka katika sheria ya swarfu neno KUOWANA tunalioima kwa wazni gsni na litakuwaje ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Una matatizo kweli kweli, kumbe hata kusoma Kiarabu kwako ni shida. Sasa hicho ulichoandika ndiyo "wazni" ? Hiyo ni "wazn". Kasome kijana kabla hujaanza kubishana ujinga wako.

Rudia tena kusoma utanielewa tu, hata ukiwa na kichwa maji hakuna cha kukuzuwia kunielewa ninapokupa darsa.

Tartiiibu utaelewa hayo maneno yanatumika na wapi na vipi.

Hata huifahamu maana ya wazn na wazni. Unaleta porojo hapa. Mara "swarf" mara "wazn" mara huku mara kile. Nenda kasome juu huko nimekuwekea post nzima ya Kiarabu kitupu nini maana ya "Nikah" mbona hujaijibu?

Au imekuwa mtihani kwako? Sema Tu nikusaidie.
 
Bi mkubwa naanza na hii aya :

Allaah Aliyetukuka Anasema: “Na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanafiki; na katika wenyeji wa Madiynah pia wapo waliobobea katika unafiki. Wewe huwajui. Sisi tunawajua. Tutawaadhibu mara mbili, kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa” (at Tawbah : 101).

Adhabu ya kwanza katika Aayah inahusu adhabu ya hapa duniani na ya pili ni adhabu ya kaburi. Kisha Allaah Aliyetukuka Anasema: “Kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa”, ina maana ya adhabu ya Siku ya Qiyaama.

Nakuja kukuletea nyingine hapa, ngoja niingie Ijumaa kwanza.
Mbona hujaiweka Qur'an yenyewe na umeweka Tafsiri ya Kiswahili na maneno yako tu?

Hahahaha. Hiyo ndiyo adhabu ya kaburi kikwenu? Hata kusoma hamuelewi?

Halafu acha kutia maneno yako kwenye Qur'an. Qur'an imekamilika haihitaji maneno yako. Hayo mambo ya kaburi hayapo kwenye hiyo aya umeyaweka wewe. Achana na huo ujinga.

Soma hii bila maneno ya yeyote...

Qur'an 3:
3_185.gif

185. Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu. 185

"Mtapewa ujira wenu kqmili siku ya kiyama"
 
Wewe bibi mkubwa mbishi mpaka unakuwa kipofuwa macho na akili.

Nakuwekea matini na tarjama, na uniambie hiyo mara mbili ina maana gani ?

Anasema Allah aliye juu :

9_101.gif

101. Na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanaafiki; na katika wenyeji wa Madina pia wapo walio bobea katika unaafiki. Wewe huwajui. Sisi tunawajua. Tutawaadhibu mara mbili, kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa. (al Baraa : 101 )

Naomba unipe msimamo wako juu ya Hadithi ? Oh akiba.

Pili, hapa hutoki, subiri uone.
 
Kuna kitu nimekikumbuka nikacheka sana, hivi Tashahud yako katika sala zako huwa unaisomaje ? Au huwa husali wewe ?

Nacheka sana bi mkubwa. Kweli Elimu ni nuru na ujinga ni giza.
 
Wewe bibi mkubwa mbishi mpaka unakuwa kipofuwa macho na akili.

Nakuwekea matini na tarjama, na uniambie hiyo mara mbili ina maana gani ?

Anasema Allah aliye juu :

9_101.gif

101. Na katika mabedui walio jirani zenu wamo wanaafiki; na katika wenyeji wa Madina pia wapo walio bobea katika unaafiki. Wewe huwajui. Sisi tunawajua. Tutawaadhibu mara mbili, kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa. (al Baraa : 101 )

Naomba unipe msimamo wako juu ya Hadithi ? Oh akiba.

Pili, hapa hutoki, subiri uone.
Hapo hutoki wewe.

Sasa sema hapo hiyo adhabu yako yako ya kaburi uliyopachika maneno yako kule juu baada ya kuyaondowa iko wapi?
 
Sijaondoa neno hapo, ndio maana nimekuuliza hiyo "Mara mbili" hapo ni nini ?

Yale maelezo ya maana ya ile aya, yaani sherehe na ndio usahihi.

Pili, nimekuuliza hivi, Tashahud yako unaisomaje ? Nasubiri hili jibu. Nikisema hutoki ujue hutoi kweli.
 
Hiyo Surat Tawba haina adhabu ya kaburi usijidanganye kusherehesha na kupachika maneno yako halafu unajifanya hujaongeza lako kwenye hiyo post? Hiki nini?...

"Adhabu ya kwanza katika Aayah inahusu adhabu ya hapa duniani na ya pili ni adhabu ya kaburi. Kisha Allaah Aliyetukuka Anasema: “Kisha watarudishwa kwenye adhabu kubwa”, ina maana ya adhabu ya Siku ya Qiyaama."

Siyo maneno yako hayo? Yapo hayo kwenye Surat Tawba?

Wewe una haki ipi ya kuongeza maneno yako au sherehe yako ukidhani kuwa Allah kapuuza kitu kwenye Qur'an? Wakati Allah anasema...

Qur'an 6:38
6_38.gif

38. Na hapana mnyama katika ardhi, wala ndege anaye ruka kwa mbawa zake mbili, ila ni umma kama nyinyi. Hatukupuuza Kitabuni kitu chochote. Kisha kwa Mola wao Mlezi watakusanywa.
38
 
Back
Top Bottom