FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #2,881
Jibu swali.
Ni upi wazni wa neno kuoana kwa kiarabu katika elimu ya nahwu?
Umeleta huo wazni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unatumia neno hata hulijuwi lina maana ipi, ngoja nikufaidishe na darsa dogo na ndiyo maana haswa ya huu uzi...
Nikujuze tu labda unachotaka kukiandika siyo "wazni", labda unataka kuandika "wazn" وزن au wingi wake ni "awzan" أوزان? Fikiri.
Ukisema au ukiandika "wazni" وزني kwa Kiarabu umemaanisha "uzito wangu"!
Umekazania muda mrefu "upi wazni", "upi wazni", nikakupuuza kwa kuwa niliona hata huelewi unachokiandika.
Sasa nnakuuliza, uzito wako unahusiana nini na hii mada kutaka mimi niuongelee?
Kumbuka, huwa sikisii.