Tena naona raha kweli kuwapa darsa hapa. Nafahamu linawaingia, na bado.
Soma...
Qur'an 31:6Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua hadith (maneno ya upuuzi), ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha
وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ
Tena naona raha kweli kuwapa darsa hapa. Nafahamu linawaingia, na bado.
Soma...
Qur'an 31:6Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua hadith (maneno ya upuuzi), ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha
وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ
Kazi ni 12 hours every day, no timeOnana na imam wa hapo msikitini. Sura moja ya mistari saba inakuchukuwa siku ngapi kufundishwa ukaielewa? Sura hii tu inakutosha kujifunza na kuanzia kuswali, mengine atakuelekeza imam...
Qur'an 1:
1. KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 1
2. Sifa njema zote ni za Mwenyeezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; 2
3. Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; 3
4. Mwenye kumiliki siku ya malipo. 4
5. Wewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada. 5
6. Tuongoe njia iliyonyooka. 6
7. Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea. 7
Wewe nimekwambia hujuwi maana yake hilo neno. Ngoja nikusaidie kwa kukupa darsa dogo maana ilm yako fupi...Uko wapi waznu wa neno kuowana kwa kiarabu?
Mbona hutaki kujibu hili swala wewe mbibi?
Kama kweli tafsiri ya aya ile "fankihuu" kuwa oaneni na sio waoweni basi tuletee waznu wa neno kuowana katika misingi ya swarfu ikoje...?
Nataka waznu wa neno kuowana.
Sitaki porojo zingine.
Mpaka sasa hujaleta waznu.ninachotaka waznu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nasubiri Ayat za Qur'an ulizoahidi zenye adhabu ya kaburi, mwambie na mwenzako anaejiita @Zurri akusaidie.
Bi mkubwa wewe ni kilaza mno. Unaingia katika bahari usiyo weza kuogelea, unaulizwa mzizi wa neno, una hama unakuja kwenye maana ya maneno. Jadili uzani wa neno.Utapataje الوزن (mizani) bila ya kuwa na vitu viwili? Nikah نكاح kwenye Qur'an linamaanisha ndoa (mkataba wa kuoana). Hamuwezi kuoana na kuwa na زواج (pair) bila kuwa wawili mnaooana.
Adhabu kwenye hiyo Aya zipo mara tatu, hujalipenda Hilo? Au wewe umependa mara mbili tu?Bi mkubwa, bado hujaniambia ile "adhabu mara mbili" ina maanisha nini ?
Nacheka sana, adhabu ya mara ya tatu ni adhabu kubwa na hii iko wazi.Adhabu kwenye hiyo Aya zipo mara tatu, hujalipenda Hilo? Au wewe umependa mara mbili tu?
Tuthibitishie hilo kwa kujibu maana ya hizo aya, unakimbia nini ?Hakuna adhabu ya kaburi hapo wala kwengine kwenye Qur'an, hayo mdanganyane nyinyi tu. Umekazania adhabu ya nini adhabu ya nini, adhabu za duniani na akhera. Hakuna nyingine au wewe unajuwa Saudi ya Qur'an?
Zaidibya Aya nilizokupa usome?Sasa isome sarut Tawba yote. Utaelewa tu au ndiyo u katika...Tuthibitishie hilo kwa kujibu maana ya hizo aya, unakimbia nini ?
Hatuko kijiweni hapa.
Nacheka sana, adhabu ya mara ya tatu ni adhabu kubwa na hii iko wazi.
Sasa tuambie baada ya adhabu mara itafata adhabu ambayo ni siku ya Qiyama. Sasa adhabu ya kwanza ni ipi na ya pili ni ipi ? Huelewi wapi na unataka nini ? Usipoteze muda bibie kujitutumua penye hakuna, usiwe kama "SIFURI KISIRANI".
ajabu nakuuliza maswali madogo yanakushinda. Kumbuka hujaniambia unasomaje Tashahudi yako kabla ya kuota salamu, hujaniambia ibada zako unazifanyaje ? Huku nakuja kukumaliza kabisa.
Nilijua tu hili huwezi kujibu.Zaidibya Aya nilizokupa usome?Sasa isome sarut Tawba yote. Utaelewa tu au ndiyo u katika...
Qur'an 45:
8. Anaye sikia Aya za Mwenyezi Mungu akisomewa, kisha anashikilia yale yale aliyo katazwa, na anajivuna, kama kwamba hakuzisikia. Basi mbashirie adhabu chungu! 8
Bi mkubwa wewe ni kilaza mno. Unaingia katika bahari usiyo weza kuogelea, unaulizwa mzizi wa neno, una hama unakuja kwenye maana ya maneno. Jadili uzani wa neno.
Ungekuwa karibu yangu, makofi yange kuwa haki yako.
Ongelea jambo hili kilugha bi mkubwa.
Ni vyema umeelewa sasa hivi kuwa zinaongelewa adhabu tatu. Maana ukikazana mbili, mbili. At least umebadili chorus.
Nimekuwekea Tafsir ya Shaikh Barwani ya aya hiyo umeisoma? Au hujaipenda?
Bar'wan amesema wapi hizo adhabu mara mbili ni za hapa duniani ? Na marejeo yake ni wapi ?Elewa kuwa hizo adhabu mbili ni za duniani kwa mujibu wa tafsir ya Barwani.
Nacheka sana, naona unakaa sawa sasa. Hili limeshabainishwa kitambo sana.Na hayo maneno ya Aya ni ya Allah na yeye mwenyewe ndiye ajuae alitowa / atatowa adhabu zipi duniani. Sisi tumeamini na si wa kumpachikia maneno kuwa atatowa adhabu hii au ile.
Usilazimishe visivyokuwepo kijana.
Nachekq sana,hii kazi nimeimaliza bibie.Wewe uliyemsoma kakupachikia kuwa hiyo ni adhabu ya kaburi ujuwe kapachika tu, kwenye hivyo vihadithi vyenu vinavyokwenda kinyume na Qur'an.
Qur'an isiongelee adhabu ya kaburi wewe useme ipo!
Unasikitisha sana kijana.
Nacheka sana. Kazi yangu nimemaliza.Sasa kumbe wote mapoyoyo. Wapi aliandika anataka mzizi wa neno? Kwanza na "wazni" nikampa darsa akageuza akaja na "wazn" nikampa darsa lingine akageuza akaja na "waznu". Sasa wewe umemgeuzia inasema anataka "mzizi wa neno". Khaaa!
Si angesema mwanzo Tu anataka no nimfundishe kuhusu mzizi wa maneno? Sasa mzizi wa neno ndiyo kikwenu unaitwa "waznu"? Nyie kweli mapoyoyo.
Mzizi wa neno ni "جذر الكلمة" kwanKiwrabu au "root word' Kwa Kingereza siyo "wazni" wala "wazn" wala "waznu". Kumbukeni Hilo.
Sasa jifikirieni nani ni "kilaza" kati yenu na mimi?
Hahahaha kwi kwi kwi teh teh teh, kwanza nacheka hilo la kunipiga makofi, kumbe unanisikia tu hujaniona.
Kumbuka, mie ni Muislam sipigwi nikageuza la pili, kisasi ni haki kwangu.
Jumamosi kuanzia saa mbili asubuhi nipo mjini Dar, njoo jengo la CCM pale Lumumba chini, nje uwanjani, uje unipige hilo kofi kama u mwanamme kweli. Karibu sana.
Ndipo unapokimbilia hapo hapo ukishindwa hoja. Nilisema hilo toka mwanzo. SikushangaiNilijua tu hili huwezi kujibu.
Kazi yangu nimemaliza.
Ndipo unapokimbilia hapo hapo ukishindwa hoja. Nilisema hilo toka mwanzo. Sikushangai
Wapi adhabu ya kaburi katika Qur'an?
Kama umeshindwa kujibu hilo, kiri tu kuwa hakuna. Na nenda kwa wenzio mnaodanyana na vihadithi vyenu mje na ya za Qur'an za adhabu ya kaburi.
Hamtozipata ng'oo.
Nasubiri na ntakukunbusha mara Kwa mara kama huyo mwenzako niliyekwambia umsaidie mmeshindwa. Kumbuka hilo.
Mpaka sasa nimewalamba 2-0.
Hizo zingine porojo tu, ndeefu hazina mpango.Hili nalijua ndio maana nikawa kwenye adhabu mara mbili, hiyo adhabu kubwa inajulikana.
Kwanza nakuweka sawa, Sheikh Ali Muhsin al Barwan hana Tafsiri, amefanya tarjama ya neno kwa neno toja katika "al Muntakhab".
Nakukumbusha tu hayo maneno ya al Bar'wan ni sehemu ya aya au ni maneno ya ziada ? Sasa inakuwaje kunya anye kuku akinya bata amehara ?
Naona una kula matapishi yako sio. Hiki kina kirefu bi mkubwa.
Bar'wan amesema wapi hizo adhabu mara mbili ni za hapa duniani ? Na marejeo yake ni wapi ?
Nacheka sana, naona unakaa sawa sasa. Hili limeshabainishwa kitambo sana.
Nakukumbusha tu, mtume aliishi na maswahaba, na maswahaba walipo kuwa hawaelewi jambo katila aya walimuuliza mtume amani ya Allah iwe juu yake, sasa yale majibu ya mtume tuna yapata katika zake zenye sharafu. Hili hujui wewe na wajinga wenzako, ila sisi Allah aliye juu ametupa majibu.
Sasa nakupa angalizo, huu ujinga wa kukimbia maswali uuache.
Hili swali jepesi sana, ila kwa ujinga wako limekushinda.
Nachekq sana,hii kazi nimeimaliza bibie.
Sasa nalurudisha huki, mpaka ulae sawa. Ibada zako huwa unazifanyaje ? Maana ibada zote zimeelezewa katika Hadithi. Unasal vipi bi mkubwa ? Unaoshaje maiti unazikaje una kulaje una lalaje una fungaje una hijo vipi ?
Vipi Qur'aan imeelezea idadi ya rakaa za sala tano tunazo sali. ? Vipi mbona tuna sali ? Usiwe mjinga kuuzidi ujinga wenyewe.
Namalizia kwa kushindilia msumari, kikao chalo kabla ya kutoa salamu, huwa unakisomaje ?
Hivi kwama huwa una sali ?
Uislam hauujuwi.
Hakuna "hadith" za kiswahili weka kama zilivyoandikwa (original) ambatanisha na hiyo "tarjama" (tafsiri) yako. unaweka "tarjama" unasingizia "amesimulia Abu Huraira"? Abu Huraira lini alijuwa Kiswahili? Nani aliyeandika hiyo tarjama?