Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Tena naona raha kweli kuwapa darsa hapa. Nafahamu linawaingia, na bado.

Soma...

Qur'an 31:6
وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْتَرِي لَهْوَ الْحَدِيثِ لِيُضِلَّ عَن سَبِيلِ اللَّهِ بِغَيْرِ عِلْمٍ وَيَتَّخِذَهَا هُزُوًا ۚ أُولَٰئِكَ لَهُمْ عَذَابٌ مُّهِينٌ
Na miongoni mwa watu wapo wanao nunua hadith (maneno ya upuuzi), ili wawapoteze watu na njia ya Mwenyezi Mungu pasipo kujua, na wanaichukulia ni maskhara. Hao watapata adhabu ya kuwafedhehesha

Bi mkubwa, bado hujaniambia ile "adhabu mara mbili" ina maanisha nini ?
 
Uko wapi waznu wa neno kuowana kwa kiarabu?

Mbona hutaki kujibu hili swala wewe mbibi?

Kama kweli tafsiri ya aya ile "fankihuu" kuwa oaneni na sio waoweni basi tuletee waznu wa neno kuowana katika misingi ya swarfu ikoje...?

Nataka waznu wa neno kuowana.

Sitaki porojo zingine.

Mpaka sasa hujaleta waznu.ninachotaka waznu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Onana na imam wa hapo msikitini. Sura moja ya mistari saba inakuchukuwa siku ngapi kufundishwa ukaielewa? Sura hii tu inakutosha kujifunza na kuanzia kuswali, mengine atakuelekeza imam...

Qur'an 1:
1_0.gif

1. KWA JINA LA MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHEMA MWENYE KUREHEMU 1

1_2.gif

2. Sifa njema zote ni za Mwenyeezi Mungu, Mola Mlezi wa viumbe vyote; 2

1_3.gif

3. Mwingi wa Rehema Mwenye Kurehemu; 3

1_4.gif

4. Mwenye kumiliki siku ya malipo. 4

1_5.gif

5. Wewe tu tunakuabudu, na wewe tu tunakuomba msaada. 5

1_6.gif

6. Tuongoe njia iliyonyooka. 6

1_7.gif

7. Njia ya ulio waneemesha, siyo ya walio kasirikiwa, wala walio potea.
7
Kazi ni 12 hours every day, no time
 
Uko wapi waznu wa neno kuowana kwa kiarabu?

Mbona hutaki kujibu hili swala wewe mbibi?

Kama kweli tafsiri ya aya ile "fankihuu" kuwa oaneni na sio waoweni basi tuletee waznu wa neno kuowana katika misingi ya swarfu ikoje...?

Nataka waznu wa neno kuowana.

Sitaki porojo zingine.

Mpaka sasa hujaleta waznu.ninachotaka waznu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe nimekwambia hujuwi maana yake hilo neno. Ngoja nikusaidie kwa kukupa darsa dogo maana ilm yako fupi...

Utapataje الوزن (mizani) bila ya kuwa na vitu viwili? Nikah نكاح kwenye Qur'an linamaanisha ndoa (mkataba wa kuoana). Hamuwezi kuoana na kuwa na زواج (pair) bila kuwa wawili mnaooana.

Nje ya Qur'an ndiyo unapata neno kujamiiana.

Kijana mbona unamkichwa kigumu au hujuwi unachotaka kuuliza?

Nasubiri Ayat za Qur'an ulizoahidi zenye adhabu ya kaburi, mwambie na mwenzako anaejiita Zurri akusaidie.
 
Nasubiri Ayat za Qur'an ulizoahidi zenye adhabu ya kaburi, mwambie na mwenzako anaejiita @Zurri akusaidie.

Silei ujinga bi mkubwa, jibu maswali yangu kisha tuendelee. Siwezi kukuwekea aya nyingine kabla ya hii kuimaliza.

Ukijibu maswali yangu kuhusu hiyo aya nitakuwekea aya nyingine.
 
Utapataje الوزن (mizani) bila ya kuwa na vitu viwili? Nikah نكاح kwenye Qur'an linamaanisha ndoa (mkataba wa kuoana). Hamuwezi kuoana na kuwa na زواج (pair) bila kuwa wawili mnaooana.
Bi mkubwa wewe ni kilaza mno. Unaingia katika bahari usiyo weza kuogelea, unaulizwa mzizi wa neno, una hama unakuja kwenye maana ya maneno. Jadili uzani wa neno.

Ungekuwa karibu yangu, makofi yange kuwa haki yako.

Ongelea jambo hili kilugha bi mkubwa.
 
Bi mkubwa, bado hujaniambia ile "adhabu mara mbili" ina maanisha nini ?
Adhabu kwenye hiyo Aya zipo mara tatu, hujalipenda Hilo? Au wewe umependa mara mbili tu?

Aya za Qur'an hujazipitia? Au ndiyo wale ambao bado Allah hajawafungulia kuielewa Qur'an?

Unajihangaisha kama waluojitungia hadith na kupachika kwenye hiyo kuwa ni adhabu ya kaburi.

Hakuna adhabu ya kaburi hapo wala kwengine kwenye Qur'an, hayo mdanganyane nyinyi tu. Umekazania adhabu ya nini adhabu ya nini, adhabu za duniani na akhera. Hakuna nyingine au wewe unajuwa Saudi ya Qur'an?
 
Adhabu kwenye hiyo Aya zipo mara tatu, hujalipenda Hilo? Au wewe umependa mara mbili tu?
Nacheka sana, adhabu ya mara ya tatu ni adhabu kubwa na hii iko wazi.

Sasa tuambie baada ya adhabu mara itafata adhabu ambayo ni siku ya Qiyama. Sasa adhabu ya kwanza ni ipi na ya pili ni ipi ? Huelewi wapi na unataka nini ? Usipoteze muda bibie kujitutumua penye hakuna, usiwe kama "SIFURI KISIRANI".

ajabu nakuuliza maswali madogo yanakushinda. Kumbuka hujaniambia unasomaje Tashahudi yako kabla ya kuota salamu, hujaniambia ibada zako unazifanyaje ? Huku nakuja kukumaliza kabisa.
 
Hakuna adhabu ya kaburi hapo wala kwengine kwenye Qur'an, hayo mdanganyane nyinyi tu. Umekazania adhabu ya nini adhabu ya nini, adhabu za duniani na akhera. Hakuna nyingine au wewe unajuwa Saudi ya Qur'an?
Tuthibitishie hilo kwa kujibu maana ya hizo aya, unakimbia nini ?

Hatuko kijiweni hapa.
 
Zaidibya Aya nilizokupa usome?Sasa isome sarut Tawba yote. Utaelewa tu au ndiyo u katika...

Qur'an 45:
45_8.gif

8. Anaye sikia Aya za Mwenyezi Mungu akisomewa, kisha anashikilia yale yale aliyo katazwa, na anajivuna, kama kwamba hakuzisikia. Basi mbashirie adhabu chungu!
8
 
Nacheka sana, adhabu ya mara ya tatu ni adhabu kubwa na hii iko wazi.

Sasa tuambie baada ya adhabu mara itafata adhabu ambayo ni siku ya Qiyama. Sasa adhabu ya kwanza ni ipi na ya pili ni ipi ? Huelewi wapi na unataka nini ? Usipoteze muda bibie kujitutumua penye hakuna, usiwe kama "SIFURI KISIRANI".

ajabu nakuuliza maswali madogo yanakushinda. Kumbuka hujaniambia unasomaje Tashahudi yako kabla ya kuota salamu, hujaniambia ibada zako unazifanyaje ? Huku nakuja kukumaliza kabisa.

Ni vyema umeelewa sasa hivi kuwa zinaongelewa adhabu tatu. Maana ukikazania mbili, mbili. At least umebadili chorus.

Nimekuwekea Tafsir ya Shaikh Barwani ya aya hiyo umeisoma? Au hujaipenda?

Elewa kuwa hizo adhabu mbili ni za duniani kwa mujibu wa tafsir ya Barwani.

Na hayo maneno ya Aya ni ya Allah na yeye mwenyewe ndiye ajuae alitowa / atatowa adhabu zipi duniani. Sisi tumeamini na si wa kumpachikia maneno kuwa atatowa adhabu hii au ile.

Na huwezi kusema ni adhabu za kaburini kwa kuwa hakuna pahala kwenye Qur'an nzima palipoongelea adhabu za kaburi. Huo ni uzushi tu.

Lakini adhabu za duniani zipo na za akhera zipo ndani ya Qur'an.

Usilazimishe visivyokuwepo kijana.

Wewe uliyemsoma kakupachikia kuwa hiyo ni adhabu ya kaburi ujuwe kapachika tu, kwenye hivyo vihadithi vyenu vinavyokwenda kinyume na Qur'an.

Qur'an isiongelee adhabu ya kaburi wewe useme ipo!

Unasikitisha sana kijana.
 
Zaidibya Aya nilizokupa usome?Sasa isome sarut Tawba yote. Utaelewa tu au ndiyo u katika...

Qur'an 45:
45_8.gif

8. Anaye sikia Aya za Mwenyezi Mungu akisomewa, kisha anashikilia yale yale aliyo katazwa, na anajivuna, kama kwamba hakuzisikia. Basi mbashirie adhabu chungu!
8
Nilijua tu hili huwezi kujibu.

Kazi yangu nimemaliza.
 
Bi mkubwa wewe ni kilaza mno. Unaingia katika bahari usiyo weza kuogelea, unaulizwa mzizi wa neno, una hama unakuja kwenye maana ya maneno. Jadili uzani wa neno.

Ungekuwa karibu yangu, makofi yange kuwa haki yako.

Ongelea jambo hili kilugha bi mkubwa.

Sasa kumbe wote mapoyoyo. Wapi aliandika anataka mzizi wa neno? Kwanza na "wazni" nikampa darsa akageuza akaja na "wazn" nikampa darsa lingine akageuza akaja na "waznu". Sasa wewe umemgeuzia inasema anataka "mzizi wa neno". Khaaa!

Si angesema mwanzo Tu anataka no nimfundishe kuhusu mzizi wa maneno? Sasa mzizi wa neno ndiyo kikwenu unaitwa "waznu"? Nyie kweli mapoyoyo.

Mzizi wa neno ni "جذر الكلمة" kwanKiwrabu au "root word' Kwa Kingereza siyo "wazni" wala "wazn" wala "waznu". Kumbukeni Hilo.

Sasa jifikirieni nani ni "kilaza" kati yenu na mimi?

Hahahaha kwi kwi kwi teh teh teh, kwanza nacheka hilo la kunipiga makofi, kumbe unanisikia tu hujaniona.

Kumbuka, mie ni Muislam sipigwi nikageuza la pili, kisasi ni haki kwangu.

Jumamosi kuanzia saa mbili asubuhi nipo mjini Dar, njoo jengo la CCM pale Lumumba chini, nje uwanjani, uje unipige hilo kofi kama u mwanamme kweli. Karibu sana.
 
Ni vyema umeelewa sasa hivi kuwa zinaongelewa adhabu tatu. Maana ukikazana mbili, mbili. At least umebadili chorus.

Hili nalijua ndio maana nikawa kwenye adhabu mara mbili, hiyo adhabu kubwa inajulikana.
Nimekuwekea Tafsir ya Shaikh Barwani ya aya hiyo umeisoma? Au hujaipenda?

Kwanza nakuweka sawa, Sheikh Ali Muhsin al Barwan hana Tafsiri, amefanya tarjama ya neno kwa neno toja katika "al Muntakhab".

Nakukumbusha tu hayo maneno ya al Bar'wan ni sehemu ya aya au ni maneno ya ziada ? Sasa inakuwaje kunya anye kuku akinya bata amehara ?

Naona una kula matapishi yako sio. Hiki kina kirefu bi mkubwa.
Elewa kuwa hizo adhabu mbili ni za duniani kwa mujibu wa tafsir ya Barwani.
Bar'wan amesema wapi hizo adhabu mara mbili ni za hapa duniani ? Na marejeo yake ni wapi ?

Na hayo maneno ya Aya ni ya Allah na yeye mwenyewe ndiye ajuae alitowa / atatowa adhabu zipi duniani. Sisi tumeamini na si wa kumpachikia maneno kuwa atatowa adhabu hii au ile.
Nacheka sana, naona unakaa sawa sasa. Hili limeshabainishwa kitambo sana.

Nakukumbusha tu, mtume aliishi na maswahaba, na maswahaba walipo kuwa hawaelewi jambo katila aya walimuuliza mtume amani ya Allah iwe juu yake, sasa yale majibu ya mtume tuna yapata katika zake zenye sharafu. Hili hujui wewe na wajinga wenzako, ila sisi Allah aliye juu ametupa majibu.

Sasa nakupa angalizo, huu ujinga wa kukimbia maswali uuache.
Usilazimishe visivyokuwepo kijana.

Hili swali jepesi sana, ila kwa ujinga wako limekushinda.
Wewe uliyemsoma kakupachikia kuwa hiyo ni adhabu ya kaburi ujuwe kapachika tu, kwenye hivyo vihadithi vyenu vinavyokwenda kinyume na Qur'an.
Nachekq sana,hii kazi nimeimaliza bibie.

Sasa nalurudisha huki, mpaka ulae sawa. Ibada zako huwa unazifanyaje ? Maana ibada zote zimeelezewa katika Hadithi. Unasal vipi bi mkubwa ? Unaoshaje maiti unazikaje una kulaje una lalaje una fungaje una hijo vipi ?

Qur'an isiongelee adhabu ya kaburi wewe useme ipo!

Vipi Qur'aan imeelezea idadi ya rakaa za sala tano tunazo sali. ? Vipi mbona tuna sali ? Usiwe mjinga kuuzidi ujinga wenyewe.
Unasikitisha sana kijana.

Namalizia kwa kushindilia msumari, kikao chalo kabla ya kutoa salamu, huwa unakisomaje ?

Hivi kwama huwa una sali ?
 
Sasa kumbe wote mapoyoyo. Wapi aliandika anataka mzizi wa neno? Kwanza na "wazni" nikampa darsa akageuza akaja na "wazn" nikampa darsa lingine akageuza akaja na "waznu". Sasa wewe umemgeuzia inasema anataka "mzizi wa neno". Khaaa!

Si angesema mwanzo Tu anataka no nimfundishe kuhusu mzizi wa maneno? Sasa mzizi wa neno ndiyo kikwenu unaitwa "waznu"? Nyie kweli mapoyoyo.

Mzizi wa neno ni "جذر الكلمة" kwanKiwrabu au "root word' Kwa Kingereza siyo "wazni" wala "wazn" wala "waznu". Kumbukeni Hilo.

Sasa jifikirieni nani ni "kilaza" kati yenu na mimi?

Hahahaha kwi kwi kwi teh teh teh, kwanza nacheka hilo la kunipiga makofi, kumbe unanisikia tu hujaniona.

Kumbuka, mie ni Muislam sipigwi nikageuza la pili, kisasi ni haki kwangu.

Jumamosi kuanzia saa mbili asubuhi nipo mjini Dar, njoo jengo la CCM pale Lumumba chini, nje uwanjani, uje unipige hilo kofi kama u mwanamme kweli. Karibu sana.
Nacheka sana. Kazi yangu nimemaliza.
 
Nilijua tu hili huwezi kujibu.

Kazi yangu nimemaliza.
Ndipo unapokimbilia hapo hapo ukishindwa hoja. Nilisema hilo toka mwanzo. Sikushangai

Wapi adhabu ya kaburi katika Qur'an?

Kama umeshindwa kujibu hilo, kiri tu kuwa hakuna. Na nenda kwa wenzio mnaodanyana na vihadithi vyenu mje na ya za Qur'an za adhabu ya kaburi.

Hamtozipata ng'oo.

Nasubiri na ntakukunbusha mara Kwa mara kama huyo mwenzako niliyekwambia umsaidie mmeshindwa. Kumbuka hilo.

Mpaka sasa nimewalamba 2-0.
 
Sasq kama huwezi kujibu maswali, vipi nakuwa nimeishiwa na hoja ?

Jibu maswali niliyo kuuliza. Ibada zako huwa una zifanyaje,kikao chako kabla ya kutoa salamu latika sala huwa unakisomaje?

La aya nimeshalimaliza bi mkubwa.
 
Hili nalijua ndio maana nikawa kwenye adhabu mara mbili, hiyo adhabu kubwa inajulikana.

Kwanza nakuweka sawa, Sheikh Ali Muhsin al Barwan hana Tafsiri, amefanya tarjama ya neno kwa neno toja katika "al Muntakhab".

Nakukumbusha tu hayo maneno ya al Bar'wan ni sehemu ya aya au ni maneno ya ziada ? Sasa inakuwaje kunya anye kuku akinya bata amehara ?

Naona una kula matapishi yako sio. Hiki kina kirefu bi mkubwa.

Bar'wan amesema wapi hizo adhabu mara mbili ni za hapa duniani ? Na marejeo yake ni wapi ?

Nacheka sana, naona unakaa sawa sasa. Hili limeshabainishwa kitambo sana.

Nakukumbusha tu, mtume aliishi na maswahaba, na maswahaba walipo kuwa hawaelewi jambo katila aya walimuuliza mtume amani ya Allah iwe juu yake, sasa yale majibu ya mtume tuna yapata katika zake zenye sharafu. Hili hujui wewe na wajinga wenzako, ila sisi Allah aliye juu ametupa majibu.

Sasa nakupa angalizo, huu ujinga wa kukimbia maswali uuache.

Hili swali jepesi sana, ila kwa ujinga wako limekushinda.

Nachekq sana,hii kazi nimeimaliza bibie.

Sasa nalurudisha huki, mpaka ulae sawa. Ibada zako huwa unazifanyaje ? Maana ibada zote zimeelezewa katika Hadithi. Unasal vipi bi mkubwa ? Unaoshaje maiti unazikaje una kulaje una lalaje una fungaje una hijo vipi ?

Vipi Qur'aan imeelezea idadi ya rakaa za sala tano tunazo sali. ? Vipi mbona tuna sali ? Usiwe mjinga kuuzidi ujinga wenyewe.

Namalizia kwa kushindilia msumari, kikao chalo kabla ya kutoa salamu, huwa unakisomaje ?

Hivi kwama huwa una sali ?
Hizo zingine porojo tu, ndeefu hazina mpango.

Barwani licha ya tarjama pia kasherehesha kwa Tafsir yake fupi aliyoiuta maelezo na kila Aya kaweka namba chini unaibofya inakupeleka kwenye maelezo. Kumbuka hilo.

Kumbe hata husomi niliyokuwekea juu huko. Kumbe hata Barwani humsomi ipasavyo. Huo ndiyo ukisikia upoyoyo. Ndiyo maana unakuwa poyoyo sana.

MSOME Barwani kasema nini katika maelezo yake...

"Hata mwisho wewe, Mtume, usiwajue. Lakini Mwenyezi Mungu anajua hakika yao, na atawaadhibu duniani mara mbili - mara ya kwanza kwa kuwashinda maadui zenu, na hayo yatawaudhi wao; na mara nyingine kwa kuwafedhehi na kuwakashifu unaafiki wao. Tena, basi, watarejeshwa Siku ya Akhera kwenye adhabu ya Moto, na vitisho vyake vikubwa.

hiyo siyo tarjama, hiyo Tafsir fupi ambayo yeye kaiita "maelezo" ya Aya ya 109, tarjama siyo hiyo, tarjama ipo chini ya Aya. Si hapo. Kasome...

Uislam hauujuwi.

Hakuna "hadith" za kiswahili weka kama zilivyoandikwa (original) ambatanisha na hiyo "tarjama" (tafsiri) yako. unaweka "tarjama" unasingizia "amesimulia Abu Huraira"? Abu Huraira lini alijuwa Kiswahili? Nani aliyeandika hiyo tarjama?

Uko sahihi dada yangu! Sasa nimeanza kukuelewa

Happy dude [emoji67]‍[emoji538]
 
Back
Top Bottom