Huna swali ambalo hujapewa darsa bado. Labda ulete jipya.Sasq kama huwezi kujibu maswali, vipi nakuwa nimeishiwa na hoja ?
Jibu maswali niliyo kuuliza. Ibada zako huwa una zifanyaje,kikao chako kabla ya kutoa salamu latika sala huwa unakisomaje?
La aya nimeshalimaliza bi mkubwa.
Wewe nimekwambia hujuwi maana yake hilo neno. Ngoja nikusaidie kwa kukupa darsa dogo maana ilm yako fupi...
Utapataje الوزن (mizani) bila ya kuwa na vitu viwili? Nikah نكاح kwenye Qur'an linamaanisha ndoa (mkataba wa kuoana). Hamuwezi kuoana na kuwa na زواج (pair) bila kuwa wawili mnaooana.
Nje ya Qur'an ndiyo unapata neno kujamiiana.
Kijana mbona unamkichwa kigumu au hujuwi unachotaka kuuliza?
Nasubiri Ayat za Qur'an ulizoahidi zenye adhabu ya kaburi, mwambie na mwenzako anaejiita Zurri akusaidie.
Hapa utakaa sawa, inaitwaje hiyo tafsiri ?Barwani licha ya tarjama pia kasherehesha kwa Tafsir yake fupi aliyoiuta maelezo na kila Aya kaweka namba chini unaibofya inakupeleka kwenye maelezo. Kumbuka hilo.
Nimecheka sana."Hata mwisho wewe, Mtume, usiwajue. Lakini Mwenyezi Mungu anajua hakika yao, na atawaadhibu duniani mara mbili - mara ya kwanza kwa kuwashinda maadui zenu, na hayo yatawaudhi wao; na mara nyingine kwa kuwafedhehi na kuwakashifu unaafiki wao. Tena, basi, watarejeshwa Siku ya Akhera kwenye adhabu ya Moto, na vitisho vyake vikubwa.
Ibada zako una sali vipi ?Huna swali ambalo hujapewa darsa bado. Labda ulete jipya.
Ushafundiahwa kuwa Aya ya 109 ya Surat Ttawba haina adhabu ya kaburi.
Wewe unataka kulazimisha tuweke maneno yako ya upuuzi kwenye Qur'an?
Hapa utakaa sawa, inaitwaje hiyo tafsiri ?
Kwahiyo unayakubali maelezo ys Sheikh Bar'wan ?
Nacheka sana.
Nimecheka sana.
Hii itakuwa njia nzuri sana.Mkuu huyu mama kama tunavyomuona ni JAAHILU TENA MURAKKABU.mana umempiga maswali hapo anakopi aya tu.
Na mimi nimemuuliza kuhusu waznu umeona anavyojibu inaonesha hajapata kidogo japo swarfu mana angeshajibu.
Kila nikimuuliza nafkiri akigugo anapata maelezo asiyoelewa tu.
Sasa cha kufanya tumsaidie.mana tunatumia njia ya kumuuliza maswali ili apate kuelewa lakini hayo maswali hayajibu kama anavyoulizwa anarukaruka,sasa tubadili njia yani tumpe darsa yeye alafu yeye ndo awe anauliza.
Hii njia itamzindua,lakini tukimuuliza maswala anakuwa hajibu anarukaruka na lengo halitimii.
Unaonaje mkuu Zurri ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa mmoja atakuwa ni mwanachama wa Bakwata....Hapa utakaa sawa, inaitwaje hiyo tafsiri ?
Kwahiyo unayakubali maelezo ys Sheikh Bar'wan ?
Nacheka sana.
Nimecheka sana.
Waliofaidika na hili darsa la huyu bibi, nipate like zenu.
Hapa utakaa sawa, inaitwaje hiyo tafsiri ?
Kwahiyo unayakubali maelezo ys Sheikh Bar'wan ?
Nacheka sana.
Nimecheka sana.
Nnangojea Ayat za Qur'an za adhabu ya kaburi ulizoahidi. Vipi?Huyu bibi mpuuzi tu hana darsa yeyote hasa kwenye mambo ya dini ni Mtupu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itakuwa njia nzuri sana.
Nyinyi tulieni niwape darsa. Hamna mlijualo bado mpo finyu sana. Mmeuacha mjadala umewashinda mnaniongelea mimi.Mkuu huyu mama kama tunavyomuona ni JAAHILU TENA MURAKKABU.mana umempiga maswali hapo anakopi aya tu.
Na mimi nimemuuliza kuhusu waznu umeona anavyojibu inaonesha hajapata kidogo japo swarfu mana angeshajibu.
Kila nikimuuliza nafkiri akigugo anapata maelezo asiyoelewa tu.
Sasa cha kufanya tumsaidie.mana tunatumia njia ya kumuuliza maswali ili apate kuelewa lakini hayo maswali hayajibu kama anavyoulizwa anarukaruka,sasa tubadili njia yani tumpe darsa yeye alafu yeye ndo awe anauliza.
Hii njia itamzindua,lakini tukimuuliza maswala anakuwa hajibu anarukaruka na lengo halitimii.
Unaonaje mkuu Zurri ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kujuwa sala zangu au ibada zangu?Ibada zako una sali vipi ?
Tashahudi yako unaisomaje kabla ya kutoa salamu ?
Sasa sijui swali gani ambalo umejibu ?
wenzako kakusaidia post na 3056 kamsome.Bibi wewe elewa unachoulizwa.
Tokea lini waznu kupatikana kwake ikawa sharti kuwe na vitu viwili?
Ndo mana nikasema kuwa mambo ya swarfu huyajui ndo mana unaongea upuuzi hapa,ona unavyojiaibisha mbele za watoto wako hapa ?
Wazni unaweza ukaupata bila hata ya vitu viwili na wala hakuna sharti hilo,na hapa ni ushahidi kuwa HUJUI CHOCHOOOOOOTEE KUHUSU SWARFU KWA sababu huna istilahi japo moja umepapasia kuonesha kuwa labda ulipitapita huko.
Mfano nikikuambia neno anakula ambalo kwa kiarabu ni يأكل limepimwa kwa wazni gani?
Hapo utajibu tu limepitwa kwa wazni wa يفعل na wala hapahitaji vitu viwili kama ambavyo mjinga wewe umesema bila aibu kabisa,si useme tu hujui.
Neno بقص limepimwa kwa waznu wa فعل
Neno أمكن limepimwa kwa waznu wa أفعل.
Na wala hapahitaji vitu viwili kupata wanzu hapo,hujui unajitutumua wewe jaahili kweli mama.Ama kweli hawapotei ila wajinga tu kama weye.
Sasa nataka uniambie..
Neno kuowana limepimwa KWA WAZNI UPI KWA KIARABU KATIKA FANI YA SWARFU..?
yani mpaka utoe jibu sahihi juu ya nilichokuuliza,ama ukiri hujui ama useme tu kuwa ufundishwe.
NIPE WAZNI WA NENO NINALOTAKA USINIPELEKE KWINGINE NA UJINGA WAKO.
Sent using Jamii Forums mobile app
wenzako kakusaidia post na 3056 kamsome.
Wewe umekazania kitu ambacho hukielewi. Nimejibu 3063.
Someni acheni uvivu.
Na hili nalijua na nina jua asili ya tarjama ya Sheikh Ali Muhsin al Bar'wan.Kwi kwi kwi teh teh teh. Wewe ndiyo umenichekesha kweli kweli. Unaniuliza kuhusu Barwan Hivi ulikuwanhujuwi kuwa tarjama yote ninayokubamiza nayo humu ni ya Barwan? Poyoyo kweli wewe.
Ubishi wa kitoto huo siyo wa kisomi. Unawekewa na link ya kwenda kuisoma unauliza inaitwaje?
Umesoma na umeona kataja kuwa adhabu mbili ni za duniani na moja ya akhera na kasema ni zipi. Kazi kwako. Hakuna adhabu ya kaburi kwenye hiyo Aya. Umeelewa eeh?
Eti "inaitwaje?" Kaisome utaona jina lake. Usingojee kila kitu kufanyiwa kijana. Qur'an inakufundisha "SOMA" siyo usomewe.
Na'am naikubali kwa sababu kasema ni maelezo yake yeye mwenyewe. Kuna sababu ipi ya kuyakataa maelezo yake?
Umeshushuka shuu ulivyomsoma eeh! Huwa sikisii.
Ile aya moja tu hujaijibu, na maelezo ya Bar'wan hayafanyiwi kazi sababu hajaegemeza toka kwa mtume wala kwa swahaba.Nyinyi tulieni niwape darsa. Hamna mlijualo bado mpo finyu sana. Mmeuacha mjadala umewashinda mnaniongelea mimi.
Hiyo ndiyo mwisho wenu wa kufikiri, mpo "too shallow".
Eti ana "copy" Aya. Ulitaka ni copy vihadithi vyenu uchwara?
Nasubiri kutoka kwenu Ayat za Quran za adhabu ya kaburi.
Huyo mmoja kisha zabwa kofi na Barwan aliyejifanya eti anamjuwa sana. Kashushuka shuu. Mpaka anajidai kuuliza "wewe unamkubali Barwan", Hivi alikuwa hajuwo tarjama zote za Kiswahili ninazoweka humu ni za Barwan? Majanga!
Ohoo, usikimbie hili swali, sio kwamba nataka kujua ibada yako, huna ibada yako kwa dhati bali kuna ibada alizotufunza mtume.Unataka kujuwa sala zangu au ibada zangu?
Maana salat ni moja tu ya ibada, kuna ibada nyingi sana katika Uislam.
Usitaharuki kwa kuona haya baada ya kujuwa kuwa Surat Tawba Aya ya 109 haiongelewi adhabu ya kaburi. Barwan kakutandika siyo mimi.
Kiri tu kuwa ulipotezwa kwa kufata hadith bila kuzielewa. Tubu Kwa Allah na usikubali tena kuongezea kitu kwenye Qur'an bila ya kuwa na yaqini nacho. Qur'an imekamilika haihitaji msaada wa yeyote yule. Unaehitaji msaada kuielewa ni wewe siyo Qur'an.
Sasa rekebisha swali lako na uulize vizuri. Tutakupa darsa.
Ma Shaa AllahUnaizungumziaje siku hii ya valentine?
Kiimani Ni sawa kuiadhimisha au si sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app