Bibi wewe elewa unachoulizwa.
Tokea lini waznu kupatikana kwake ikawa sharti kuwe na vitu viwili?
Ndo mana nikasema kuwa mambo ya swarfu huyajui ndo mana unaongea upuuzi hapa,ona unavyojiaibisha mbele za watoto wako hapa ?
Wazni unaweza ukaupata bila hata ya vitu viwili na wala hakuna sharti hilo,na hapa ni ushahidi kuwa HUJUI CHOCHOOOOOOTEE KUHUSU SWARFU KWA sababu huna istilahi japo moja umepapasia kuonesha kuwa labda ulipitapita huko.
Mfano nikikuambia neno anakula ambalo kwa kiarabu ni يأكل limepimwa kwa wazni gani?
Hapo utajibu tu limepitwa kwa wazni wa يفعل na wala hapahitaji vitu viwili kama ambavyo mjinga wewe umesema bila aibu kabisa,si useme tu hujui.
Neno بقص limepimwa kwa waznu wa فعل
Neno أمكن limepimwa kwa waznu wa أفعل.
Na wala hapahitaji vitu viwili kupata wanzu hapo,hujui unajitutumua wewe jaahili kweli mama.Ama kweli hawapotei ila wajinga tu kama weye.
Sasa nataka uniambie..
Neno kuowana limepimwa KWA WAZNI UPI KWA KIARABU KATIKA FANI YA SWARFU..?
yani mpaka utoe jibu sahihi juu ya nilichokuuliza,ama ukiri hujui ama useme tu kuwa ufundishwe.
NIPE WAZNI WA NENO NINALOTAKA USINIPELEKE KWINGINE NA UJINGA WAKO.
Sent using
Jamii Forums mobile app