Faidika na darasa la FaizaFoxy; Uliza chochote utajibiwa

Sasq kama huwezi kujibu maswali, vipi nakuwa nimeishiwa na hoja ?

Jibu maswali niliyo kuuliza. Ibada zako huwa una zifanyaje,kikao chako kabla ya kutoa salamu latika sala huwa unakisomaje?

La aya nimeshalimaliza bi mkubwa.
Huna swali ambalo hujapewa darsa bado. Labda ulete jipya.

Ushafundiahwa kuwa Aya ya 109 ya Surat Ttawba haina adhabu ya kaburi.

Wewe unataka kulazimisha tuweke maneno yako ya upuuzi kwenye Qur'an?
 
Bibi wewe elewa unachoulizwa.

Tokea lini waznu kupatikana kwake ikawa sharti kuwe na vitu viwili?

Ndo mana nikasema kuwa mambo ya swarfu huyajui ndo mana unaongea upuuzi hapa,ona unavyojiaibisha mbele za watoto wako hapa ?

Wazni unaweza ukaupata bila hata ya vitu viwili na wala hakuna sharti hilo,na hapa ni ushahidi kuwa HUJUI CHOCHOOOOOOTEE KUHUSU SWARFU KWA sababu huna istilahi japo moja umepapasia kuonesha kuwa labda ulipitapita huko.

Mfano nikikuambia neno anakula ambalo kwa kiarabu ni يأكل limepimwa kwa wazni gani?

Hapo utajibu tu limepitwa kwa wazni wa يفعل na wala hapahitaji vitu viwili kama ambavyo mjinga wewe umesema bila aibu kabisa,si useme tu hujui.

Neno بقص limepimwa kwa waznu wa فعل

Neno أمكن limepimwa kwa waznu wa أفعل.

Na wala hapahitaji vitu viwili kupata wanzu hapo,hujui unajitutumua wewe jaahili kweli mama.Ama kweli hawapotei ila wajinga tu kama weye.

Sasa nataka uniambie..

Neno kuowana limepimwa KWA WAZNI UPI KWA KIARABU KATIKA FANI YA SWARFU..?

yani mpaka utoe jibu sahihi juu ya nilichokuuliza,ama ukiri hujui ama useme tu kuwa ufundishwe.

NIPE WAZNI WA NENO NINALOTAKA USINIPELEKE KWINGINE NA UJINGA WAKO.
Wewe nimekwambia hujuwi maana yake hilo neno. Ngoja nikusaidie kwa kukupa darsa dogo maana ilm yako fupi...

Utapataje الوزن (mizani) bila ya kuwa na vitu viwili? Nikah نكاح kwenye Qur'an linamaanisha ndoa (mkataba wa kuoana). Hamuwezi kuoana na kuwa na زواج (pair) bila kuwa wawili mnaooana.

Nje ya Qur'an ndiyo unapata neno kujamiiana.

Kijana mbona unamkichwa kigumu au hujuwi unachotaka kuuliza?

Nasubiri Ayat za Qur'an ulizoahidi zenye adhabu ya kaburi, mwambie na mwenzako anaejiita Zurri akusaidie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barwani licha ya tarjama pia kasherehesha kwa Tafsir yake fupi aliyoiuta maelezo na kila Aya kaweka namba chini unaibofya inakupeleka kwenye maelezo. Kumbuka hilo.
Hapa utakaa sawa, inaitwaje hiyo tafsiri ?

Kwahiyo unayakubali maelezo ys Sheikh Bar'wan ?

Nacheka sana.
"Hata mwisho wewe, Mtume, usiwajue. Lakini Mwenyezi Mungu anajua hakika yao, na atawaadhibu duniani mara mbili - mara ya kwanza kwa kuwashinda maadui zenu, na hayo yatawaudhi wao; na mara nyingine kwa kuwafedhehi na kuwakashifu unaafiki wao. Tena, basi, watarejeshwa Siku ya Akhera kwenye adhabu ya Moto, na vitisho vyake vikubwa.
Nimecheka sana.
 
Huna swali ambalo hujapewa darsa bado. Labda ulete jipya.

Ushafundiahwa kuwa Aya ya 109 ya Surat Ttawba haina adhabu ya kaburi.

Wewe unataka kulazimisha tuweke maneno yako ya upuuzi kwenye Qur'an?
Ibada zako una sali vipi ?

Tashahudi yako unaisomaje kabla ya kutoa salamu ?

Sasa sijui swali gani ambalo umejibu ?
 
Mkuu huyu mama kama tunavyomuona ni JAAHILU TENA MURAKKABU.mana umempiga maswali hapo anakopi aya tu.

Na mimi nimemuuliza kuhusu waznu umeona anavyojibu inaonesha hajapata kidogo japo swarfu mana angeshajibu.

Kila nikimuuliza nafkiri akigugo anapata maelezo asiyoelewa tu.

Sasa cha kufanya tumsaidie.mana tunatumia njia ya kumuuliza maswali ili apate kuelewa lakini hayo maswali hayajibu kama anavyoulizwa anarukaruka,sasa tubadili njia yani tumpe darsa yeye alafu yeye ndo awe anauliza.

Hii njia itamzindua,lakini tukimuuliza maswala anakuwa hajibu anarukaruka na lengo halitimii.

Unaonaje mkuu Zurri ?
Hapa utakaa sawa, inaitwaje hiyo tafsiri ?

Kwahiyo unayakubali maelezo ys Sheikh Bar'wan ?

Nacheka sana.

Nimecheka sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huyu mama kama tunavyomuona ni JAAHILU TENA MURAKKABU.mana umempiga maswali hapo anakopi aya tu.

Na mimi nimemuuliza kuhusu waznu umeona anavyojibu inaonesha hajapata kidogo japo swarfu mana angeshajibu.

Kila nikimuuliza nafkiri akigugo anapata maelezo asiyoelewa tu.

Sasa cha kufanya tumsaidie.mana tunatumia njia ya kumuuliza maswali ili apate kuelewa lakini hayo maswali hayajibu kama anavyoulizwa anarukaruka,sasa tubadili njia yani tumpe darsa yeye alafu yeye ndo awe anauliza.

Hii njia itamzindua,lakini tukimuuliza maswala anakuwa hajibu anarukaruka na lengo halitimii.

Unaonaje mkuu Zurri ?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii itakuwa njia nzuri sana.
 
Kwi kwi kwi teh teh teh. Wewe ndiyo umenichekesha kweli kweli. Unaniuliza kuhusu Barwan Hivi ulikuwanhujuwi kuwa tarjama yote ninayokubamiza nayo humu ni ya Barwan? Poyoyo kweli wewe.

Ubishi wa kitoto huo siyo wa kisomi. Unawekewa na link ya kwenda kuisoma unauliza inaitwaje?

Umesoma na umeona kataja kuwa adhabu mbili ni za duniani na moja ya akhera na kasema ni zipi. Kazi kwako. Hakuna adhabu ya kaburi kwenye hiyo Aya. Umeelewa eeh?

Eti "inaitwaje?" Kaisome utaona jina lake. Usingojee kila kitu kufanyiwa kijana. Qur'an inakufundisha "SOMA" siyo usomewe.

Na'am naikubali kwa sababu kasema ni maelezo yake yeye mwenyewe. Kuna sababu ipi ya kuyakataa maelezo yake?

Umeshushuka shuu ulivyomsoma eeh! Huwa sikisii.
 
Nyinyi tulieni niwape darsa. Hamna mlijualo bado mpo finyu sana. Mmeuacha mjadala umewashinda mnaniongelea mimi.

Hiyo ndiyo mwisho wenu wa kufikiri, mpo "too shallow".

Eti ana "copy" Aya. Ulitaka ni copy vihadithi vyenu uchwara?

Nasubiri kutoka kwenu Ayat za Quran za adhabu ya kaburi.

Huyo mmoja kisha zabwa kofi na Barwan aliyejifanya eti anamjuwa sana. Kashushuka shuu. Mpaka anajidai kuuliza "wewe unamkubali Barwan", Hivi alikuwa hajuwo tarjama zote za Kiswahili ninazoweka humu ni za Barwan? Majanga!
 
Ibada zako una sali vipi ?

Tashahudi yako unaisomaje kabla ya kutoa salamu ?

Sasa sijui swali gani ambalo umejibu ?
Unataka kujuwa sala zangu au ibada zangu?

Maana salat ni moja tu ya ibada, kuna ibada nyingi sana katika Uislam.

Usitaharuki kwa kuona haya baada ya kujuwa kuwa Surat Tawba Aya ya 109 haiongelewi adhabu ya kaburi. Barwan kakutandika siyo mimi.

Kiri tu kuwa ulipotezwa kwa kufata hadith bila kuzielewa. Tubu Kwa Allah na usikubali tena kuongezea kitu kwenye Qur'an bila ya kuwa na yaqini nacho. Qur'an imekamilika haihitaji msaada wa yeyote yule. Unaehitaji msaada kuielewa ni wewe siyo Qur'an.

Sasa rekebisha swali lako na uulize vizuri. Tutakupa darsa.
 
Bibi wewe elewa unachoulizwa.

Tokea lini waznu kupatikana kwake ikawa sharti kuwe na vitu viwili?

Ndo mana nikasema kuwa mambo ya swarfu huyajui ndo mana unaongea upuuzi hapa,ona unavyojiaibisha mbele za watoto wako hapa ?

Wazni unaweza ukaupata bila hata ya vitu viwili na wala hakuna sharti hilo,na hapa ni ushahidi kuwa HUJUI CHOCHOOOOOOTEE KUHUSU SWARFU KWA sababu huna istilahi japo moja umepapasia kuonesha kuwa labda ulipitapita huko.

Mfano nikikuambia neno anakula ambalo kwa kiarabu ni يأكل limepimwa kwa wazni gani?

Hapo utajibu tu limepitwa kwa wazni wa يفعل na wala hapahitaji vitu viwili kama ambavyo mjinga wewe umesema bila aibu kabisa,si useme tu hujui.

Neno بقص limepimwa kwa waznu wa فعل

Neno أمكن limepimwa kwa waznu wa أفعل.

Na wala hapahitaji vitu viwili kupata wanzu hapo,hujui unajitutumua wewe jaahili kweli mama.Ama kweli hawapotei ila wajinga tu kama weye.

Sasa nataka uniambie..

Neno kuowana limepimwa KWA WAZNI UPI KWA KIARABU KATIKA FANI YA SWARFU..?

yani mpaka utoe jibu sahihi juu ya nilichokuuliza,ama ukiri hujui ama useme tu kuwa ufundishwe.

NIPE WAZNI WA NENO NINALOTAKA USINIPELEKE KWINGINE NA UJINGA WAKO.

Sent using Jamii Forums mobile app
wenzako kakusaidia post na 3056 kamsome.

Wewe umekazania kitu ambacho hukielewi. Nimejibu 3063.

Someni acheni uvivu.
 
Nominee wa chama Democrats huko Marekani ambaye atachuana na Rais Trump kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka huu ni nani?
 
Kwi kwi kwi teh teh teh. Wewe ndiyo umenichekesha kweli kweli. Unaniuliza kuhusu Barwan Hivi ulikuwanhujuwi kuwa tarjama yote ninayokubamiza nayo humu ni ya Barwan? Poyoyo kweli wewe.

Ubishi wa kitoto huo siyo wa kisomi. Unawekewa na link ya kwenda kuisoma unauliza inaitwaje?

Umesoma na umeona kataja kuwa adhabu mbili ni za duniani na moja ya akhera na kasema ni zipi. Kazi kwako. Hakuna adhabu ya kaburi kwenye hiyo Aya. Umeelewa eeh?

Eti "inaitwaje?" Kaisome utaona jina lake. Usingojee kila kitu kufanyiwa kijana. Qur'an inakufundisha "SOMA" siyo usomewe.

Na'am naikubali kwa sababu kasema ni maelezo yake yeye mwenyewe. Kuna sababu ipi ya kuyakataa maelezo yake?

Umeshushuka shuu ulivyomsoma eeh! Huwa sikisii.
Na hili nalijua na nina jua asili ya tarjama ya Sheikh Ali Muhsin al Bar'wan.

Hujajibu swali, kwahiyo maelezo ya ziada ya al Bar'wan una yakubali ? Hapa ni takuuliza swali lingine, maneno yake ameyaegemeza wapi ?

Nakuliza hivi, tashahudi yako kabla hujatoa salamu unapo sali, huwa unaisomaje ? Hii wiki ya pili tunaitafuta, swali hili hujibu.
 
Nyinyi tulieni niwape darsa. Hamna mlijualo bado mpo finyu sana. Mmeuacha mjadala umewashinda mnaniongelea mimi.

Hiyo ndiyo mwisho wenu wa kufikiri, mpo "too shallow".

Eti ana "copy" Aya. Ulitaka ni copy vihadithi vyenu uchwara?

Nasubiri kutoka kwenu Ayat za Quran za adhabu ya kaburi.

Huyo mmoja kisha zabwa kofi na Barwan aliyejifanya eti anamjuwa sana. Kashushuka shuu. Mpaka anajidai kuuliza "wewe unamkubali Barwan", Hivi alikuwa hajuwo tarjama zote za Kiswahili ninazoweka humu ni za Barwan? Majanga!
Ile aya moja tu hujaijibu, na maelezo ya Bar'wan hayafanyiwi kazi sababu hajaegemeza toka kwa mtume wala kwa swahaba.

Yaani maelezo yake yanatakiwa yawekewe ushahidi.
 
Unataka kujuwa sala zangu au ibada zangu?

Maana salat ni moja tu ya ibada, kuna ibada nyingi sana katika Uislam.

Usitaharuki kwa kuona haya baada ya kujuwa kuwa Surat Tawba Aya ya 109 haiongelewi adhabu ya kaburi. Barwan kakutandika siyo mimi.

Kiri tu kuwa ulipotezwa kwa kufata hadith bila kuzielewa. Tubu Kwa Allah na usikubali tena kuongezea kitu kwenye Qur'an bila ya kuwa na yaqini nacho. Qur'an imekamilika haihitaji msaada wa yeyote yule. Unaehitaji msaada kuielewa ni wewe siyo Qur'an.

Sasa rekebisha swali lako na uulize vizuri. Tutakupa darsa.
Ohoo, usikimbie hili swali, sio kwamba nataka kujua ibada yako, huna ibada yako kwa dhati bali kuna ibada alizotufunza mtume.

Sasa niambie ibada zako zikoje,je ni kwa mtazamo wako au kwa mafunzo ya mtume ?

Maana katika Qur'aan hakuna namna ya kusali wala Qur'aan haijaelezea masharti na nguzo za sala kwa undani isipokuwa aya ya twahara (udhu) kwa ujumla.

Sasa tuambie ibada zako unazo fanya umezitoa wapi ?

Maswwli yangu yamejitosheleza ni wewe tu kuamua kujibu au kukimbia kama unavyo kimbia.

Nilikuuliza tu kikao chako kabla ya kutoa salamu katika sala, huwa unasoma nini ?
 
Unaizungumziaje siku hii ya valentine?
Kiimani Ni sawa kuiadhimisha au si sawa?

Sent using Jamii Forums mobile app
Ma Shaa Allah

Nitaizungumzia kiimani ya Kiislam...

Kwanza:
Siku ya wapendanao ni sikukuu ya Warumi wa zamani, ambayo iliendelea kusherehekewa hadi baada ya Warumi kuwa Wakristo.

Tamasha hili liliunganishwa na "mtakatifu" anayejulikana kama Valentine ambaye alihukumiwa kifo tarehe 14 Februari 270 CE. Hata baada ya kufa Wapagani waliendelea kusherehekea sikukuu hii, wakati ambao uzinzi na uovu hufanywa sana.

Pili:
Hairuhusiwi kwa Mwislamu kusherehekea sherehe zozote za kkikafiri, kwa sababu sherehe zinakuja chini ya mada ya maswala ambayo yanapaswa kutegemea Sharia za Kiislam.

Shaykh al-Islam Ibn Taymiyah alisema: Sherehe ni sehemu ya sharee'ah (Sharia) na Sharia ya Kwanza ni mafundisho ya Qur'an.

48. Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na njia yake. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka ange kufanyeni nyote umma mmoja, lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni. Basi shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo yenu nyote, na atakuja kuwaambieni yale mliyo kuwa mkikhitalifiana. 48

Qur'an 22:67
22_67.gif

67. Kila umma tumewajaalia na ibada zao wanazo zishika. Basi wasizozane nawe katika jambo hili. Na waite watu kwendea kwa Mola wako Mlezi. Hakika wewe uko kwenye Uwongofu Ulio Nyooka. 67

Kwa ufupi Valentine haifai kwa Waislam.
 
Back
Top Bottom